Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama nilivyo sema bei ya bidhaa Tanzania na Kenya hazijaachana.....mchele wa kupima Kenya utapata na kuanzia 80ksh per kilo same na Tanzania, sukari umesema kuanzia 115-120 na Kenya it's the same inachezea 110-120 kwenye maduka na markets, unga pia tuusan amesema inachezea 40-45 per kg ambayo haijaachana na Kenya 45-50 per kg kwenye visiagi na maduka.....it's logical vitu kwenye supermarkets zitakua ghali kidogo kutokana na value addition lakini ukilinganisha bidhaa kwenye markets Kenya na Tanzania zinachezea bei moja
Hahaha eti Kenya unga 40 hahaha labda pumba za kuku
 
Wakati sukari Tanzania ni 115 Kenya sukari ni 198 acha uongo
images
 
pesa za meter gauge hazihusiani na SGR we usifkiri world bank watakupa pesa kwa kitu kingine ujenge kitu kingine we nafkiri sheria za mikopo world bank huzijui vyema😀😀😀😀 kazi ya kukarabati meter gauge imeanza na wameanza kipande cha tanga to arusha almost 450km

wewe usiumize kichwa kuskia tanzania inajenga one of the modern electric train in africa kwa pesa zake tena kwa phase mbili mfululizo 😛😛😛😛 722km from dar to dodoma alaf mturuki kakubali kutoa soft loan kwa ajili ya 400km for phase 3 and 4

SGR Picha hamna?
 
Kuna tofauti wa unga wa pakiti na unga Wa kupima......unga wa kupima huku pia utapata na 40/45 per kilo
I was going to tell him the same thing. There's a very big difference between unga wa kupima na unga wa packet. Hata hapa Kenya kuna unga wa kupima na inapitikan kwa shilingi 45 kwa kilo kama sijakosea. Tofauti yetu na wao ni kwamba wakenya hawana desturi ya kununua unga wa kupima sana kwa sababu they prefer ile unga ya packey so asishangae akiona unga inauzwa kwa supermarket. Here in Kenya, unga wa kupima is mostly associated with what we commonly call "kagogo economy". Yani mtu ambaye hana hela ya kutosha kununua vitu in bulk so they resort to buying things in small quantities. Unga wa kupima, mafuta ya kupima na kadhalika.
 
Tanzania vyakula basic kama unga mchele maharage ni vyakula ambavyo kila nyumba inautamadun wa kuhifadh ndan kwa mwaka mzma ...mfano unakuta mtu nyumban ana gunia tano au sita na za mchele ...unga ukiisha ndan anapima debe mbili au moja anasaga maisha yanaendelea vitu tunavyonunua huku ni vdogo vdogo tuu..
Na vipi tena mnakuwa tu pale pale LDC? kwani hiyo bei haiwasaidii kumaliza umasikini?
 
kitu nimependa Tanzania vitu ni bei rahisi...mimi hapa ningekuwa naishi tanzania ningekuwa tajiri...warembo wote wa Bongo wangekuwa wananipea kila siku...coz if you have 1000 KSH in Tanzania inanunua shopping mzuri sana....hongereni kwa hilo...inflation mume maintain chini
 
Na vipi tena mnakuwa tu pale pale LDC? kwani hiyo bei haiwasaidii kumaliza umasikini?
Umasikini ni nini kwa tafsiri yako????

Elimu ya kuungaunga nayo ni janga!!!!hujui kwamba uzalishji ukiwa mzuri zile stori za chini ya dola moja kwa siku zinakosa mashiko.maana dola moja sasa itafanya makubwa zaidi.and that is tz.

Kaa unapiga kelele za ldc bila kujua maana yake.
 
Back
Top Bottom