Bitter pill
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 917
- 782
Kwani kujifunza ni kosa?mbona nyinyi mlikuja kujifunza mradi wa BRT?Mjifunze nini wakati mlishashindwa kucheza ngoma? Kaeni kando mshuhudie vile ngoma huchezwa
Kwani kujifunza ni kosa?mbona nyinyi mlikuja kujifunza mradi wa BRT?Mjifunze nini wakati mlishashindwa kucheza ngoma? Kaeni kando mshuhudie vile ngoma huchezwa
Hivi kwanini COLLO, unapenda sana kushabikia vitu vidogo sana visivyokua na impact yoyote ile katika maisha ya wananchi wa hizi nchi mbili?, inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mtoto na usivyofaa katika jamvi hili la JF, hivi pesa za diamond au Akothee zinatuhusu nini?, sisi tunataka kusikia nyimbo zao kwa sababu zinaburudisha na kufundisha, zinatangaza nchi zetu na lugha yetu ndani na nje ya Africa, hayo ni mambo ya kushindanisha, kwamba nani amefanikiwa zaidi katika hilo, wewe unazungumzia pesa, stupid.https://www.google.com/amp/s/edaily...rth-finally-revealed-124530/enews/celebs/amp/
Akothee worth USD 61 million
Diamond platnumz USD 5 million
Acha kukwepa swali. Nimekuuliza na hiyo unity yote mbona hamjatoka kwenye ile list ya aibu? Nijibu hilo kwanza then I will answer your questionbut at least jamiiforum which is owned by a tanzanian is putting us together whenever we need to discuss our ldc issues.
by the way, which kenyan made social media platform unites all kenyans when they need to discuss national matters without the interference of tribalism?
bora to barabara ya changaraweWacha kuegemea upande mmoja. Ni mara ngapi hapa kadoda na wenzake wametuletea picha za nyumba za wasanii wa Tanzania hapa ndani? Kama alichofanya Collomzee ni ujinga basi huo ujinga ulianzishwa na nyinyi mkiongozwa na kadodaHivi kwanini COLLO, unapenda sana kushabikia vitu vidogo sana visivyokua na impact yoyote ile katika maisha ya wananchi wa hizi nchi mbili?, inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mtoto na usivyofaa katika jamvi hili la JF, hivi pesa za diamond au Akothee zinatuhusu nini?, sisi tunataka kusikia nyimbo zao kwa sababu zinaburudisha na kufundisha, zinatangaza nchi zetu na lugha yetu ndani na nje ya Africa, hayo ni mambo ya kushindanisha, kwamba nani amefanikiwa zaidi katika hilo, wewe unazungumzia pesa, stupid.
Lakini hata ukija kwa upande wa hizo pesa, hili gazeti ni kutoka Kenya, tena linasema "according to her manager", lakini kuhusu Diamond halisemi according to his manager, unatumia taarifa za gazeti la Kenya, limemuhoji manager wa Akothee ambaye ni Mkenya, laki taarifa za Diamond hajataja sources alikotoa hizo taarifa, Kenya kwa sifa za kijingaa.
Uruthi sio hustlehttps://www.google.com/amp/s/edaily...rth-finally-revealed-124530/enews/celebs/amp/
Akothee worth USD 61 million
Diamond platnumz USD 5 million
Hawezi kujibu swali la kipuuzi kama hilo, kuna aibu kubwa duniani zaidi ya mtu au nchi kukosa chakula na kusaidiwa kupewa misaada ya chakula?, hivi kuna aibu kubwa zaidi ya jamii kuuana kutokana na sababu za ukabila?. Hivi ukiondoa jina la LDC, ni madhara gani yanatokana na kuwa LDC, kama tunaishi maisha bora zaidi ya Lower middle income country?.Acha kukwepa swali. Nimekuuliza na hiyo unity yote mbona hamjatoka kwenye ile list ya aibu? Nijibu hilo kwanza then I will answer your question
Sasa unataka tuanze kudiscuss ripoti kutoka kwa blog???sina uhakika kama unajua maana guard of honor??
😀😀😀😀
View attachment 674426
maana yake ni hii😛😛😛
View attachment 674427
View attachment 674429
View attachment 674432 View attachment 674433
Kwani nchi zilizoendelea hawatumii bus?kenya hawatumii?2018 and you're talking about buses....seriously???
Wewe uko na utoto saa zingine...Did you take a moment to look around the environment where that "luxury" bus is parked? Is that the state of the road where a luxury bus should be parked? And what's so luxury about that so ordinary bus? There are many such buses that ply the Nairobi-Mombasa route. Acha kutuletea uchafu saa zingine in the name of marketing Dar
Ni swali la kipuzi kwako na kwa wadanganyika wenzio kwa sababu you don't want to live with the bitter truth that you live in a least developed country and that it will take you ages to get out of that murky water that is ldc. Kuhusu chakula na misaada, when did kenya get relief food from Tanzania or any country for that matter? Do you know what relief food is? Nipe link inayosema kwamba kenya ilipokea relief food from Tanzania. The fact that we occasionally buy maize from Tanzania doesn't mean that we don't produce our own.Tanzania also buys milk from Kenya, does it mean that it doesn't produce its own milk? You need to go back to school and learn something called "international trade". Na ni maisha gani bura mnaisha wakati tuko na bigger middle class kuwaliko? Numbers don't lie kijana wa tanganyikaHawezi kujibu swali la kipuuzi kama hilo, kuna aibu kubwa duniani zaidi ya mtu au nchi kukosa chakula na kusaidiwa kupewa misaada ya chakula?, hivi kuna aibu kubwa zaidi ya jamii kuuana kutokana na sababu za ukabila?. Hivi ukiondoa jina la LDC, ni madhara gani yanatokana na kuwa LDC, kama tunaishi maisha bora zaidi ya Lower middle income country?.
Wacha hasira....ajuza wewe....leo umeshikwa makendekilaza wewe...
Hatutaki vilio apa...Kua middle income ww sio porojo za sisi, sasa unadhan icho kivuli cha lmic ni kila mkenya anafaidika nacho?Mko na shida mingi sana nyie,kama mmezoea tamba kwa watu watu west Africa wasiowafaham sio sisi...Btw Mwaka huu nakuja Apo Nrb cousin Wang kaolewa na Nyang'au. ...Ni swali la kipuzi kwako na kwa wadanganyika wenzio kwa sababu you don't want to live with the bitter truth that you live in a least developed country and that it will take you ages to get out of that murky water that is ldc. Kuhusu chakula na misaada, when did kenya get relief food from Tanzania or any country for that matter? Do you know what relief food is? Nipe link inayosema kwamba kenya ilipokea relief food from Tanzania. The fact that we occasionally buy maize from Tanzania doesn't mean that we don't produce our own.Tanzania also buys milk from Kenya, does it mean that it doesn't produce its own milk? You need to go back to school and learn something called "international trade". Na ni maisha gani bura mnaisha wakati tuko na bigger middle class kuwaliko? Numbers don't lie kijana wa tanganyika
ukweli mchungu ndio tatizo😀😀😀Sasa unataka tuanze kudiscuss ripoti kutoka kwa blog???
Kenya iko na shida zake just like any other develpoing country na hizo challenges tunapambana nazo as they come. Kitu hatutaki ni porojo eti kenya inapokea relief food. That has never happen and it will never. Na huyo cousin wako kaolewa na mkenya ni mjinga wa mwisho. Mbona kakubali kuolewa nchi iliyo na njaa na ambayo wananchi wake hawana ajira? Sadfa ulioje! Kwani atakula mawe huku?Hatutaki vilio apa...Kua middle income ww sio porojo za sisi, sasa unadhan icho kivuli cha lmic ni kila mkenya anafaidika nacho?Mko na shida mingi sana nyie,kama mmezoea tamba kwa watu watu west Africa wasiowafaham sio sisi...Btw Mwaka huu nakuja Apo Nrb cousin Wang kaolewa na Nyang'au. ...
sasa povu la nini😀😀😀😀😀😀Wewe uko na utoto saa zingine...Did you take a moment to look around the environment where that "luxury" bus is parked? Is that the state of the road where a luxury bus should be parked? And what's so luxury about that so ordinary bus? There are many such buses that ply the Nairobi-Mombasa route. Acha kutuletea uchafu saa zingine in the name of marketing Dar
hehehe wao wanatumia gari moshi😀😀😀😀Kwani nchi zilizoendelea hawatumii bus?kenya hawatumii?