tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Kilo ni ksh 45 Dar, kijijiji inaweza kua ksh 40Unga ni 115 apart from from kampuni zingine zile unga zao huwa ghali kiasi.........alafu mjue vile mko dumb, unga Tanzania ni shilingi ngapi?
Kilo ni ksh 45 Dar, kijijiji inaweza kua ksh 40Unga ni 115 apart from from kampuni zingine zile unga zao huwa ghali kiasi.........alafu mjue vile mko dumb, unga Tanzania ni shilingi ngapi?
For so what nikudanganye? Kwanza watanzania wengi hawana utamaduni wa kununua unga supermarket, unga wananunua kwenye local street stores au directly to the mills supermarket ni 0.0090 ndio huuza unga.
Tanzania vyakula basic kama unga mchele maharage ni vyakula ambavyo kila nyumba inautamadun wa kuhifadh ndan kwa mwaka mzma ...mfano unakuta mtu nyumban ana gunia tano au sita na za mchele ...unga ukiisha ndan anapima debe mbili au moja anasaga maisha yanaendelea vitu tunavyonunua huku ni vdogo vdogo tuu..Tuma ata bei ya bidhaa zingine kwa supermarket kama mchele nataka tumalize hii argument
Tunaendelea bei ya nyama ya cow Tanzania ni 250 mpaka 300 per kilogram (ksh) nipe ya KenyaTuma ata bei ya bidhaa zingine kwa supermarket kama mchele nataka tumalize hii argument
Hii njia nimepita mwaka jana mwishoni bado kipande kidogo chenye vumbi pale mbugani katavi national parkA nice road heading to Mpanda from Sumbawanga and beautiful street roads in Sumbawanga town
Unga ni 115 apart from from kampuni zingine zile unga zao huwa ghali kiasi.........alafu mjue vile mko dumb, unga Tanzania ni shilingi ngapi?
Bei ya sukari Tanzania ni 115 mpaka 120 kwa kilogram (ksh)Vipi mnalinganisha vitu kwa markets na supermarkets huku?...haziezi pelekana kamwe
Kuna tofauti wa unga wa pakiti na unga Wa kupima......unga wa kupima huku pia utapata na 40/45 per kiloKilo ni ksh 45 Dar, kijijiji inaweza kua ksh 40
Hahaha...yani sasa mnakataa watanzania wenzenu. kwani sirari iko wapi? that border town inaitwa Isibania upande wa Kenya na sirari upande wa Tanzania so kama hao omba omba wanatoka sirari basi hao sio wakenya. Yani sijaamini unakana watanzania wenzako. Maajabu haya!Hao ni wakenya wenzenu kutoka namanga, sirari na voi wanajifanya ni watanzania
Lete bei ya sangara (tilapia), Sato, kuku per kilogram huko Kenya nitakupa za TanzaniaVipi mnalinganisha vitu kwa markets na supermarkets huku?...haziezi pelekana kamwe
China donates 30 tons of food to drought-hit Kenya - China PlusNi swali la kipuzi kwako na kwa wadanganyika wenzio kwa sababu you don't want to live with the bitter truth that you live in a least developed country and that it will take you ages to get out of that murky water that is ldc. Kuhusu chakula na misaada, when did kenya get relief food from Tanzania or any country for that matter? Do you know what relief food is? Nipe link inayosema kwamba kenya ilipokea relief food from Tanzania. The fact that we occasionally buy maize from Tanzania doesn't mean that we don't produce our own.Tanzania also buys milk from Kenya, does it mean that it doesn't produce its own milk? You need to go back to school and learn something called "international trade". Na ni maisha gani bura mnaisha wakati tuko na bigger middle class kuwaliko? Numbers don't lie kijana wa tanganyika
How does Tsh6,000 become Ksh250 at the exchange rate of 20 shillings? At my local town the price of a kilogram of meat is Ksh300Tunaendelea bei ya nyama ya cow Tanzania ni 250 mpaka 300 per kilogram (ksh) nipe ya Kenya![]()
duh!! kama bao la kete
NonsenseNimeona mahali wameandika nyama stek kumaanisha steak😀😀😀😀 ama nakosea? wabongo lakini😀😀😀
![]()
Mind you hapo ni, 2015 now many places in Tanzania bei ni 5000 per kilogramHow does Tsh6,000 become Ksh250 at the exchange rate of 20 shillings? At my local town the price of a kilogram of meat is Ksh300
Kama nilivyo sema bei ya bidhaa Tanzania na Kenya hazijaachana.....mchele wa kupima Kenya utapata na kuanzia 80ksh per kilo same na Tanzania, sukari umesema kuanzia 115-120 na Kenya it's the same inachezea 110-120 kwenye maduka na markets, unga pia tuusan amesema inachezea 40-45 per kg ambayo haijaachana na Kenya 45-50 per kg kwenye visiagi na maduka.....it's logical vitu kwenye supermarkets zitakua ghali kidogo kutokana na value addition lakini ukilinganisha bidhaa kwenye markets Kenya na Tanzania zinachezea bei mojaBei ya sukari Tanzania ni 115 mpaka 120 kwa kilogram (ksh)
Na wewe si ulster za market mzee mbona kitu simple, largest Tanzanian community purchase in local markets nor supermarkets
yaani mbongo bora tu azungumze lugha ya Kiswahili maana utajipata ICU kwa kicheko😀😀😀Nonsense
Sitaki maneno matupu leta pictures kama nilivyofanya otherwise ni uongo usifikiri hatuijui KenyaKama nilivyo sema bei ya bidhaa Tanzania na Kenya hazijaachana.....mchele wa kupima Kenya utapata na kuanzia 80ksh per kilo same na Tanzania, sukari umesema kuanzia 115-120 na Kenya it's the same inachezea 110-120 kwenye maduka na markets, unga pia tuusan amesema inachezea 40-45 per kg ambayo haijaachana na Kenya 45-50 per kg kwenye visiagi na maduka.....it's logical vitu kwenye supermarkets zitakua ghali kidogo kutokana na value addition lakini ukilinganisha bidhaa kwenye markets Kenya na Tanzania zinachezea bei moja