Ukienda huko Nairaland aisee wanawapiga kamba kiasi cha wanaijeria kuamini Kenya ni Level za kina SA na Egypt, huwa nacheka sana, huko Duniani they send these carefully selected photos of Nairobi, together with their Cooked GDP which is sometimes good, ( of course Ni vizuri kujitangaza kwa mazuri yako, kwa hapa nawapongeza) BUT walichokosea ni kutuletea Tambo majirani zao tunaovuka boda kuingia kwao na kurudi daily, wakajisahau kuwa tunawajua hadi vitanda wanavyolalia
Pia
Kuna ripoti inaonyesha wakenya mil 3 wameathirika na Funza,
Hebu fikiria mazingira ya mtu kupata funza, ni mazingira ya ufukara wa hali ya juu, ni wazi huko vijijini kwao ni kama Ufukara wa kutupwa
Hiyo picha ni ya mwaka Jana huko Kenya kwenye baadhi ya Kampeni za kusaidia waathirika wa Funza.
View attachment 673646