I never knew Kenya is known worldwide for pooping in the bags kibera flying toilets is famous than KQ
Hahahahakuna watu wachafu na wenye maisha magumu na dhiki kama wakenya katika africa nzima😀😀😀
kama kua MLDC ndio huku bora tubaki LDC aisee mpaka kinyaa, elimu haikumsaidia mkenya😛

Pesa za metre gauge zinamwagwa kwa SGR na hazitoshi sababu ikiwa WB walikataa kuwapea loan ya SGR kwa kuwa si commercially viable instead mrekebishe hiyo mzee which you haven't done so far.kwetu meter gauge ina kazi yake na SGR inakazi yake na ni vitu viwili tofaut sana, so WB wametoa pesa kwa ajili ua kurekebisha meter gauge ili tutumia kwa kazi zetu kama local transportation😀😀😀😀
yani we kinachokuumiza ni wapi tanzania imetoa pesa ya kujenga 722km kwa kutumia pesa yake
pesa za meter gauge hazihusiani na SGR we usifkiri world bank watakupa pesa kwa kitu kingine ujenge kitu kingine we nafkiri sheria za mikopo world bank huzijui vyema😀😀😀😀 kazi ya kukarabati meter gauge imeanza na wameanza kipande cha tanga to arusha almost 450kmPesa za metre gauge zinamwagwa kwa SGR na hazitoshi sababu ikiwa WB walikataa kuwapea loan ya SGR kwa kuwa si commercially viable instead mrekebishe hiyo mzee which you haven't done so far.
Udaku kama mwanamke na story za blogs
maumivu yakizidi muone daktari😀😀😀😀Udaku kama mwanamke na story za blogs
2018 and you're talking about buses....seriously???
Taka taka ni wewetakataka.
nia yetu ni kufanya kila sector ya transport kua bora😀😀😀😀😀2018 and you're talking about buses....seriously???
Nenda hospital..There is no single city/town that can go head-to-head with Kenyan ones. Mwanza can't battle Mombasa, Arusha can't battle Kisumu. In fact our sixth largest city Thika is better than Mwanza.
The japanese are realy good and meticulous with their work, turns out ngong road is realy something..They should be awarded more contracts.
sina uhakika kama unajua maana guard of honor??
So what is the point?! If for kes 50k unapata kiwanja?.Hapo Dar hata ksh 50,000 napata kiwanja. Huku Kenya labda kijijini.