Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni swali la kipuzi kwako na kwa wadanganyika wenzio kwa sababu you don't want to live with the bitter truth that you live in a least developed country and that it will take you ages to get out of that murky water that is ldc. Kuhusu chakula na misaada, when did kenya get relief food from Tanzania or any country for that matter? Do you know what relief food is? Nipe link inayosema kwamba kenya ilipokea relief food from Tanzania. The fact that we occasionally buy maize from Tanzania doesn't mean that we don't produce our own.Tanzania also buys milk from Kenya, does it mean that it doesn't produce its own milk? You need to go back to school and learn something called "international trade". Na ni maisha gani bura mnaisha wakati tuko na bigger middle class kuwaliko? Numbers don't lie kijana wa tanganyika
where is ur maize?????😀😀😀😀😀
wapi unga kenya 😛😛😛 nchi inayumbishwa na njaa na inflation kila leo, from 90 to 139 alaf unasema muna unga
9467E1AC-CD24-4B83-8A53-7FEEB18EA60A.jpeg
 
vyuma vimekaza sana kenya.

6fc95a00308d3a9debacca4a03b9a7e4.jpg
kwanini visikaze wakati nchi haina umeme na inadeni of 60% to GDP ratio😀😀😀

mtu atatoa wapi pesa ya school fees wakat youth unemployment is over 40% in kenya

ataachaje kujinyonga wakati inflation of food is over 11%, unga umetoka 90ksh to 139ksh
 
Hahaha uwiiiii that is real shithole country
 
Nyinyi wenye hamna unemployment watanzania wanafanya nini omba omba kwenye miji ya Kenya??nenda Nairobi, Mombasa, kisumu, eldoret, Nakuru utapata watanzania wamejaa wakiomba omba. Yani hadi citizen TV wakafanya a whole documentary on that topic.. Is that what you're proud of, kuexport beggars to a country with high unemployment rate???
 
A nice road heading to Mpanda from Sumbawanga and beautiful street roads in Sumbawanga town
 
Attachments

  • IMG_20180107_165609.jpg
    IMG_20180107_165609.jpg
    98.9 KB · Views: 28
  • IMG_20180104_185810.jpg
    IMG_20180104_185810.jpg
    59.1 KB · Views: 28
  • IMG_20180104_185953.jpg
    IMG_20180104_185953.jpg
    74.4 KB · Views: 23
Nyinyi wenye hamna unemployment watanzania wanafanya nini omba omba kwenye miji ya Kenya??nenda Nairobi, Mombasa, kisumu, eldoret, Nakuru utapata watanzania wamejaa wakiomba omba. Yani hadi citizen TV wakafanya a whole documentary on that topic.. Is that what you're proud of, kuexport beggars to a country with high unemployment rate???
Hao ni wakenya wenzenu kutoka namanga, sirari na voi wanajifanya ni watanzania
 
Unga ni 115 apart from from kampuni zingine zile unga zao huwa ghali kiasi.........alafu mjue vile mko dumb, unga Tanzania ni shilingi ngapi?
rudi page mbili nyuma nilimuekea mwenzako unga 139ksh na ushahidi wakutosha😀😀
 
Unga ni 115 apart from from kampuni zingine zile unga zao huwa ghali kiasi.........alafu mjue vile mko dumb, unga Tanzania ni shilingi ngapi?
Unga Tanzania 50 ya Kenya kwa kilo rice super Tanzania ni 100 ya Kenya this is real thing siongei kishabiki uliza yeyote alie Tanzania.
 
Acha kukwepa swali. Nimekuuliza na hiyo unity yote mbona hamjatoka kwenye ile list ya aibu? Nijibu hilo kwanza then I will answer your question
List ya aibu zaidi ni y slums na njaa.
 
Unga Tanzania 50 ya Kenya kwa kilo rice super Tanzania ni 100 ya Kenya this is real thing siongei kishabiki uliza yeyote alie Tanzania.

mimi nilibeba unga halisi kutoka ushago......story ya kununua unga sijui.
 
Back
Top Bottom