shakar
Senior Member
- May 30, 2017
- 149
- 279
Zebra cross ipo huku bado mijitu unavuka on the other side, mpoje nyie watu lakini..haha
Zebra cross ipo huku bado mijitu unavuka on the other side, mpoje nyie watu lakini..haha
tanga tanzaniaPosta, Tanga
![]()
![]()
![]()
Tanga Residential Areas with free access to public Sports
![]()
![]()
![]()
Tanga Tourism
Saadani National Park.. Mbuga pekee Africa ambayo wanyama huogelea baharini.. Mbuga iliyo pembezoni mwa bahari na mto ndani yake
![]()
![]()
![]()
Amboni caves.. Mapango pekee Duniani yenye njia ya moja kwa moja ndani mpaka nchi ya jirani.. Ukipita moja kwa moja unaenda kutokea Kenya.. Na hapa wale alshabab Wa Kenya ndipo walipouliwa wakijarib kuingia Tz
![]()
![]()
![]()
![]()
Hospitali Kongwe ya historia na bado iko Imara.. Bombo hospital
![]()
![]()
Naenda Tanga wiki hii kuna maeneo mengi sanaaaa sema hayakua uploaded kwenye Mtandao.. Kwny Internet kuna Tanga ya 90s.. Kuna Garden za Kimataifa, Forodhani, Uhuru, Toyota nk. ... Kuna Raskazone Beach uko kuna Majengo ya Hatari karibu na Beach.. Kuna Tanga Beach Resort, Kange multi million residential areas sio poa.. Ntahakikisha napita kote uko..
Kigeugeu ilihit hadi tz budaakwa mziki gani anaoimba jaguar halafu awe na investment kubwa?. mziki wake wenyewe takataka.![]()
![]()
![]()
Unaleta ile picha ya zamani msee....bei sai ni 110
ngoja nikuoneshe ilipostiwa lini😀😀😀Unaleta ile picha ya zamani msee....bei sai ni 110
sent from iPhone 7
Haha u know very well that Kenya has 2 sides and the opposing side posted that ....maize floor ni 110 sai mzae
sikiliza citizen ya kwenu hio bei ni 139 kshHaha u know very well that Kenya has 2 sides and the opposing side posted that ....maize floor ni 110 sai mzae
takataka.Kigeugeu ilihit hadi tz budaa