Acha uongo wewe.. Kila nchi hata zile maskini kabisa zenye uhaba Wa chakula zinazalisha chakula tofauti inakuja kwenye production rate, ni kiasi gani wanazalisha icho chakula.. Mnaweza mkawa mnazalisha lakini ni asilimia 25-30 ya mahitaji ya Taifa zima. Sisi karibu asilimia 95 ya vyakula muhimu vinavyohitajika kwa taifa vinazalishwa nyumbani, mpaka vingine tunagawa misaada.. Vyakula vyote muhimu asilimia kubwa mnaagiza kutoka Tz.. Mahindi Michele na vingine vingi.. Angalia report yenu ya mwaka utaona tena mwaka 2017 ndio mmezidisha kiwango kikubwa sana cha kununua kutoka TzNyanya zinapandwa all over kenya, especially in greenhouses. I even have a greenhouse of tomatoes. The same applies with vitunguu. Viazi inatoka Molo, Nakuru na kwingineko tena kwa wingi. Kuna ng'ombe wengi sana northern Kenya na masaaini. So nyama tunayokula ni yetu. Kitale is known all over kenya for growing maize plus many other counties especially in western Kenya, so unga tunayotumia ni yetu. We only import to fill the deficit in demand. Mchele inagoka mingi sana in several parts of the country, Mwea tebere irrigation scheme in Kirinyaga county, kano in Kisumu County among other places. Hebu sasa niambie mnatulidha na nini?Hii mambo ya gesi sijui umetoa wapi?
Picha za SGR Susan.Unataka uone acc ya bot![]()
Hakuna wa kupimana nguvu na Tanzania kwenye sector ya bandari na usafiri wa majini hapa Africa mashariki na kati, Kenya ni big zero tu us.Lazima wakae tu![]()
![]()
Mbona mnapenda kujicontradict nyinyi wabongo? Ni mara ngapi hapa ichoboy na wenzako wametaja Iringa na Mbeya kuwa ni cities?Iringa ni manispaa,yawezekana ni jiji kwa standard za kenya mayb maana hakuna aliewah waambia lile Ni jiji
Hilo ndilo tatizo lako, vitu visivyokua na umuhimu mkubwa kwa wananchi, wewe ndiyo unashupalia, what is the percentage of Kenyans/Tanzanians use airports?, zungumzia roads, reli, houses, jobs, food, Hospitals, schools, nyie mnashikilia Malls, Flyovers, Airports na skyscrapers with little effects to mwananchibora uje polepole nisilete picha za tanzanian airports😀😀😀
Cities are Dar, Mwanza, Tanga, Mbeya and ArushaMbona mnapenda kujicontradict nyinyi wabongo? Ni mara ngapi hapa ichoboy na wenzako wametaja Iringa na Mbeya kuwa ni cities?
Kenya hakuna mikoa, we have counties. So sijui unazungumza kuhusu ninibora uje polepole nisilete picha za tanzanian airports😀😀😀
Wewe ndio unajichanganya...lini na wap ichoboy akasema iringa ni jiji?Mbeya ni jiji Ndio wala sio utaniMbona mnapenda kujicontradict nyinyi wabongo? Ni mara ngapi hapa ichoboy na wenzako wametaja Iringa na Mbeya kuwa ni cities?
County inasifa zipi. ..kijana kutoka homabayKenya hakuna mikoa, we have counties. So sijui unazungumza kuhusu nini
Mbona unanilazimisha nikuambie tuko na mikoa wakati hazipo? Kenya has county governments. Kila county iko na governor, senator, bunge (county assembly) na hata serikali iliyo na mawaziri (County government). Kuna serikali kuu na serikali ya county ambayo inajisimamia kivyake chini ya governor. Mikoa tuliwachia ldc kama nyinyi. Secondly, sitoki Homa bay ila natoka Migori japo homa bay inapakana na Migori.County inasifa zipi. ..kijana kutoka homabay
Kwa hivyo hata Tanga pia ni city. Kumbe hata Kericho pia ni cityCities are Dar, Mwanza, Tanga, Mbeya and Arusha
Hiyo system huku tuliifanya katika miaka ya 1970s kwa jina la madaraka mikoani, tuligundua ugumu wake ikabidi tuachane nao, tunafuatilia kwa makini kama utafanikiwa huko kwenu ili tujifunzeMbona unanilazimisha nikuambie tuko na mikoa wakati hazipo? Kenya has county governments. Kila county iko na governor, senator, bunge (county assembly) na hata serikali iliyo na mawaziri (County government). Kuna serikali kuu na serikali ya county ambayo inajisimamia kivyake chini ya governor. Mikoa tuliwachia ldc kama nyinyi. Secondly, sitoki Homa bay ila natoka Migori japo homa bay inapakana na Migori.
Kwa hivyo hata Tanga pia ni city. Kumbe hata Kericho pia ni city
Mjifunze nini wakati mlishashindwa kucheza ngoma? Kaeni kando mshuhudie vile ngoma huchezwaHiyo system huku tuliifanya katika miaka ya 1970s kwa jina la madaraka mikoani, tuligundua ugumu wake ikabidi tuachane nao, tunafuatilia kwa makini kama utafanikiwa huko kwenu ili tujifunze
Tanzania mikoa yote ina resources kila mkoa Tanzania una rasilimali kubwa na muhimu, Kenya mikoa yenye ahueni ya maisha hsizidi mitatu hiyo mingine yote ya Northern, Eastern and western ni shitholes pakame miundombinu hakuna hata trunk roads za kuiungajisha hakuna.
Unga unao?I know your extremely poor villages in mwanza region.....resources my foot.nchi yenu hata place fertile ina umaskini wa hali ya juu