Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haha city ziko 5 acheni ushambenga vijana, Barabara maji umeme ni story za zaman...zungumzia issue zingine
Pwahahaha nj ya Dar hamna mji wowote wa maana...ama nifululize picha za airport na kadhalika?😀😀😀😀
 
umeshaambiwa Kenya standards za kuita eneo mji zipo juu sana....sio kuita magofu ya kipumbavu kama mbeya na iringa miji
Iringa ni manispaa,yawezekana ni jiji kwa standard za kenya mayb maana hakuna aliewah waambia lile Ni jiji
 
Iringa ni manispaa,yawezekana ni jiji kwa standard za kenya mayb maana hakuna aliewah waambia lile Ni jiji
pengine kwa standards za LDC wenzenu Burundi😀😀😀😀tungekuwa tunatumia standards zenu za ki LDC hata Thika, Isiolo, Kitale na Kisii tungeziita cities...mfano, Isiolo airport is more modern than Dar airport
 
Pwahahaha nj ya Dar hamna mji wowote wa maana...ama nifululize picha za airport na kadhalika?😀😀😀😀
Relax,Arusha, Mwanza, thread ziko nyingi tu kareview!!Sijaona Tanga na Mbeya. ..ukitaka kujipa kazi fine. ..but he standard zilizopo kwenye vitabu ni majiji ...
mf Mbeya ni Mji wa wa kulima, Mbeya pekee inalisha mikoa mingine kumi, achilia mbali shughuli zingine as uvuvi na utalii
 
mimi sijawahi ona city ilio na airport hali mbaya kama arusha, mwanza etc...yaani basic infrastructure hakuna mnaita cities? na hizi ndio ur second and third largest cities?shocking!!
 
naona wamekimbia aviation sasa wanaongelea railway ya tuta tuta tuta😀😀😀😀hawa jamaa lakini😀😀😀
 
hata mwende sea transport tunawachapa kama mbwa....air transport tick, railway transport tick.....road transport tick....
 
Hata huku Kenya kuna watanzania wengi sana wanafanya kazi katika mitaa za nairobi na bakuli mkononi kama omba omba. Iweje tena Tanzania nchi tajiri iliyo na ajira kwa wananchi inawachilia raia wake kuja kuomba pesa katika mitaa za Nairobi kwa watu wasiokuwa na ajira? Food for thought

They flood our towns doing odd jobs na hapa wanatucheka ati hatuna employment.....huko Kisumu wanahalk second hand bedsheets na bidhaa kama fake powerbank etc.......ni tu ati Kenya hatusumbuani na anyone mwenye anatafuta riziki.......Tanzania wanatuchokoza kila siku but we just ignore them
 
wamesahau Lissu anatbiwa Nairobi...hakuna mwanasiasa ama mkenya mwenye akili zake timamu anaweza enda Tanzania kwa matibabu...
 
wamesahau Lissu anatbiwa Nairobi...hakuna mwanasiasa ama mkenya mwenye akili zake timamu anaweza enda Tanzania kwa matibabu...
Hujui ni kwann waliopt Kenya, ingewezekana apelekwe popote nashangaa mnavyokunyakunya
 
wanafunzi wa Tanzania toka eneo za border wanasomeshwa Kenya...sababu kubwa ni mafunzo ya kiingereza

Kingereza chenywe hamjui...nilisoma hadi chuo sikuwah funzwa na mkenya yyte,nimefanya kazi na wakenya content wise ni kawaida sana...icho kizungu mnapiganacho kelele tu bure, we ain't francophone anyway..
 
Hujui ni kwann waliopt Kenya, ingewezekana apelekwe popote nashangaa mnavyokunyakunya
hapa huwa wanapelekwa Europe ama SA kama ni barani...huwezi ukaskia amepelekwa tanzania sababu kwanza wakenya wanaddharau sana huduma za tanzania...tunawachukulia kuwa wavivu vile na pia ujuzi adimu...mtu anaweza hata akafa hospitalini kwenu kwa sababu ya mafua tu
 
hapa huwa wanapelekwa Europe ama SA kama ni barani...huwezi ukaskia amepelekwa tanzania sababu kwanza wakenya wanaddharau sana huduma za tanzania...tunawachukulia kuwa wavivu vile...mtu anaweza hata akafa hospitalini kwenu kwa sababu ya mafua tu
Binafsi ata mm Kenya sijawah ichukulia serious kwa kitu chochote,even matibabu but kwa issue ya lisu just spare energy yangu
 
mwanafunzi wa Kindergarten toka Kenya anamshinda mtanzania wa chuo kikuu we unasema nini sasa?
Yaani wewe na elimu yako sikufichi lugha ni sanaa, Naweza kua nmesoma sana lugha ikawa shida...but kindergarten atabaki kua kindergarten mpaka afuzu kua kuingia chuo kikuu...
Mkenya anajiona yeye ni bora mayb awe millionaire amkute mbongo juakali nasio vinginevyo...njaa ata mzungu njaa namwona bogus tu
 
Back
Top Bottom