REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,918
- 14,894
Hiyo garage lazima iwe bankruptcy sijui nani aliwaingiza mkenge hahaha wananchi wamegoma kununua gari mpaka government imeamua iokoe jahazi company isifungashe virago
bora uje polepole nisilete picha za tanzanian airports😀😀😀Tanzania mikoa yote ina resources kila mkoa Tanzania una rasilimali kubwa na muhimu, Kenya mikoa yenye ahueni ya maisha hsizidi mitatu hiyo mingine yote ya Northern, Eastern and western ni shitholes pakame miundombinu hakuna hata trunk roads za kuiungajisha hakuna.
ujinga wako hauna kifani ndugu...VW wameuza 100 units 2017 na serikali inanunua 300 kila mwaka....that is a milestone. especially for a new model...wakenya wamezoea sana Toyota, kwa hiyo wamejaribu sana VWHiyo garage lazima iwe bankruptcy sijui nani aliwaingiza mkenge hahaha wananchi wamegoma kununua gari mpaka government imeamua iokoe jahazi company isifungashe virago
Hahaha eti nacho kinajiita kiwanda? Kuunganisha a baby walker for one month is that a plant or garage? Mtakaa sanaujinga wako hauna kifani ndugu...VW wameuza 100 units 2017 na serikali inanunua 300 kila mwaka....that is a milestone. especially for a new model...wakenya wamezoea sana Toyota, kwa hiyo wamejaribu sana VW
Tanzania ya viwanda
tulia...kumbuka kampuni za magari Kenya ni tele...nyie mna viwanda ngapi tuanze hapo kwanza...Hahaha eti nacho kinajiita kiwanda? Kuunganisha a baby walker for one month is that a plant or garage? Mtakaa sana
Bullet train first in Tanzania in the whole eastern and Central Africa
Bro zile data kua mna 55 na izo zako za 78 zipi halali?Au tujumlishe tugawanye
Hii bullet train yetu inawauma sana hasa mkilinganisha na mitungi yenu ya gongo
Picha za bullet train while "working in silence"Sisi sio limbukeni wa picha, hata wakati tukijenga BRT hatukuweka picha, hadi mradi ulipokamilika, our principle is "Work in silence, let success be your noise"