Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mwache huyo mjinga anafikiri SGR ni shillingi mbili...
Mnajisikia aibu kwa kushindwa kujenga hata kilometa moja ya reli kwa kutumia pesa yenu huku mkijisifu kwa GDP isiyo na impact yoyote, sisi wenye GDP ndogo lakini inafanya kazi zenye manufaa kwa taifa letu
1)Tumetoa $3.1B kujenga electrical SGR
2)Tumetoa zaidi ya $250M kununua ndege 6
3)Tumetenga $2B kujenga hydroelectric dam, the biggest in EAC
4) Tumetenga takriban $450 kwa ajili ya kununua electric and diesel locomotives and wagons
5) National foreign exchange reserve is $5.9B, Kenya is $5.4B
Bado mnadhani mnaweza kujilinganisha na sisi?, leteni projects zenu mnazojenga kwa pesa yenu wenyewe tuone.
 
Picha ni muhimu zaidi.
 
lol....iringa hata Homabay inapiga bao safi
Homabay ndio aina mpya ya ugonjwa ama nn,sikia kijana iringa kuna msitu mmoja mkubwa sana wakuvuna miti...ule msitu pekee unathaman ya homabay na eldoret combined
 
Mnajisikia aibu kwa kushindwa kujenga hata kilometa moja ya reli kwa kutumia pesa yenu huku mkijisifu kwa GDP isiyo na impact yoyote, sisi wenye GDP ndogo lakini inafanya kazi zenye manufaa kwa taifa letu
1)Tumetoa $3.1B kujenga electrical SGR
2)Tumetoa zaidi ya $250M kununua ndege 6
3)Tumetenga $2B kujenga hydroelectric dam, the biggest in EAC
4) Tumetenga takriban $450 kwa ajili ya kununua electric and diesel locomotives and wagons
5) National foreign exchange reserve is $5.9B, Kenya is $5.4B
Bado mnadhani mnaweza kujilinganisha na sisi?, leteni projects zenu mnazojenga kwa pesa yenu wenyewe tuone.
Tunajua WB iliwapa mkopo was $200million kukarabati metre gauge yenu na hizo ndiyo zinatumika kuwatega wawekezaji was SGR bila mafanikio. Kama ni uwongo hebu weka Picha za ujenzi mchana na usiku 2018...
 
mimi sijawahi ona city ilio na airport hali mbaya kama arusha, mwanza etc...yaani basic infrastructure hakuna mnaita cities? na hizi ndio ur second and third largest cities?shocking!!
Who told you kwamba airport ni basic infrastructure? it is strategic infrastructure not basic, jaribu kutofautisha basic infrastructure kama barabara, umeme, maji, Hospitali, shule, police stations. na strategic infrastructure kama airports, Ports, Manufacturing industries, Malls, EPZ, nk.
 
hapa huwa wanapelekwa Europe ama SA kama ni barani...huwezi ukaskia amepelekwa tanzania sababu kwanza wakenya wanaddharau sana huduma za tanzania...tunawachukulia kuwa wavivu vile na pia ujuzi adimu...mtu anaweza hata akafa hospitalini kwenu kwa sababu ya mafua tu
Hahaha sasa nani anawafagilia nyie? Mbona nyie ni chupi tu huku Tanzania
 
mimi sijawahi ona city ilio na airport hali mbaya kama arusha, mwanza etc...yaani basic infrastructure hakuna mnaita cities? na hizi ndio ur second and third largest cities?shocking!!
Acha kukurupuka kijana , arusha haina aja ya kuwa na airport , ile unayotuma uku inatumika kwa ndege ndogo kwenda national parks , Arusha na Kilimanjaro zinatumia JRO airport ambapo IPO btn 50 km each side
 
Tunajua WB iliwapa mkopo was $200million kukarabati metre gauge yenu na hizo ndiyo zinatumika kuwatega wawekezaji was SGR bila mafanikio. Kama ni uwongo hebu weka Picha za ujenzi mchana na usiku 2018...
Hii bullet train yetu inawauma sana hasa mkilinganisha na mitungi yenu ya gongo
 
Who told you kwamba airport ni basic infrastructure? it is strategic infrastructure not basic, jaribu kutofautisha basic infrastructure kama barabara, umeme, maji, Hospitali, shule, police stations. na strategic infrastructure kama airports, Ports, Manufacturing industries, Malls, EPZ, nk.

Atajulia wapi Huyo mshamba!!!eti air port ni basic infrastructure!!!!

Na hiyo ndiyo elimu yao wanapiga nayo kelele.
 
Tunajua WB iliwapa mkopo was $200million kukarabati metre gauge yenu na hizo ndiyo zinatumika kuwatega wawekezaji was SGR bila mafanikio. Kama ni uwongo hebu weka Picha za ujenzi mchana na usiku 2018...
Sisi sio limbukeni wa picha, hata wakati tukijenga BRT hatukuweka picha, hadi mradi ulipokamilika, our principle is "Work in silence, let success be your noise"
 
lol....iringa hata Homabay inapiga bao safi
Tanzania mikoa yote ina resources kila mkoa Tanzania una rasilimali kubwa na muhimu, Kenya mikoa yenye ahueni ya maisha hsizidi mitatu hiyo mingine yote ya Northern, Eastern and western ni shitholes pakame miundombinu hakuna hata trunk roads za kuiungajisha hakuna.
 
Back
Top Bottom