Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzanians have no point arguing with us. walete malls, roads, airports, universities, schools sasa. we need to compare our infrastructure sasa sio hii ya kudiss KQ wakati wao hawana airline.

hawa vilaza wa LDC Tanzania hakuna kitu wanaweza tushinda nayo one on one.....labda hapa jf kwa hadithi za vijiweni za Darislum
 
Naona wenye ndege wamechil pembeni wakiangalia ndege yao ikitaka kuanza safari kwa bendera ya kenya huku wakenya wakishangilia wakijua kuwa ni yao

hebu Google jambojet na fly 540 upime nayo your non existent airline......sasa tofauti ya Tanzania na Chad ama mali ni nini....
 
Hiyo SGR imefika wapi? Magufuli ameukabidhi ujenzi huu only Tshs290 b sawa na $125 million ilhali unahitaji $1.2 b. So where is the money and where is the SGR?
Acha kujitoa akili.. Sisi SGR yetu tulitangaza Tender na Kampuni ya Uturuki ndio iliyoshinda so Pesa inatoka kulingana na awamu hapewi zote na huo ndio uzuri Wa mkataba.. Anapewa Pesa kulingana na asilimia aliyofikia.. Sasa nyie ni Loan tena loan ambayo itaitafuna Kenya sana kwa miaka mingi.. Mpk iyo SGR yenu ije i make profit ni miaka 80 baadae..
 
endelea kuota huku phase two kazi imeshaanza yani tunajenga phase one and two pamoja hehehe muache kabisa magufuli😀😀😀😀😀😀
2019 phase one tunapokea 300km
2020 phase two tunapokea 422km
 
Ni aibu kubwa kwa taifa LA Kenya vijana wameshinda bustani za cbd na kaki envelope
Alafu Nyanya , vitunguu, viazi, Nyama, unga , mchele na gesi ya kuandaa chakula mnatoa Tanzanian
Nilisha uliza humu how long Tanzania will spoon feed Kenyans
Fanyeni kazi vijana ingieni shambani mlime kuwa legelege mnapigwa adi na wanawake sio poa mnatua aibisha
Nyanya zinapandwa all over kenya, especially in greenhouses. I even have a greenhouse of tomatoes. The same applies with vitunguu. Viazi inatoka Molo, Nakuru na kwingineko tena kwa wingi. Kuna ng'ombe wengi sana northern Kenya na masaaini. So nyama tunayokula ni yetu. Kitale is known all over kenya for growing maize plus many other counties especially in western Kenya, so unga tunayotumia ni yetu. We only import to fill the deficit in demand. Mchele inagoka mingi sana in several parts of the country, Mwea tebere irrigation scheme in Kirinyaga county, kano in Kisumu County among other places. Hebu sasa niambie mnatulidha na nini?Hii mambo ya gesi sijui umetoa wapi?
 
tulikua na plan na tunaijenga one of the modern SGR in africa narudia one of the longest and modern electric SGR in africa, eat that😀😀😀😀😀
tena sio kwa mkopo by cash deal 722km from dar to dodoma
Leo sio bullet train tena? I thought Tanzania built a bullet train
 
Kwanini ninyi mnapenda kushindanisha vitu visivyokua na faida kwa wananchi wa kawaida?, hivi malls inasaidiaje wananchi wa kawaida?, roads ni muhimu sana, ndiyo sababu Tanzania imejenga barabara nyingi na ndefu za lami kuliko Kenya, hapa Tanzania hakuna mkoa ambao haujaunganishwa na lami, kwenu huko Wajir na Turkana hakuna lami.
Hapa hatutumii story za vijiweni. Hebu leta link to prove that Tanzania has more paved roads than Kenya. Leta haraka kijana!
 
Unasema nini wewe?, wakenya kibao wapo Tanzania kutafuta kazi za kufundisha na kilimo, umesahau Magufuli alipoingia madarakani aliposema wageni wote wanaofanya kazi Tanzania without work permit jinsi Kenya mlivyolalamika kwamba mnakuwa targeted?, wakenya wengi sana walirudi Kenya, sasa hivi ndiyo wanarudi kidogo kidogo baada ya kufuata sheria za nchi.
Hata huku Kenya kuna watanzania wengi sana wanafanya kazi katika mitaa za nairobi na bakuli mkononi kama omba omba. Iweje tena Tanzania nchi tajiri iliyo na ajira kwa wananchi inawachilia raia wake kuja kuomba pesa katika mitaa za Nairobi kwa watu wasiokuwa na ajira? Food for thought
 
In Kenya we don't just call towns cities. There are several considerations before a town is promoted to city status. Nasikia huko kwenu hadi mbeya na Iringa ni cities.
Endelea kusikia ivyo ivyo,unapenda sana udaku kijana
 
huko wana cities karibu kumi kumbe ukienda kule ni vibanda tu...hakuna barabara hakuna internet hakuna stima watu wanakunya msituni pamoja na simba kisha wanaita cities
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Haha city ziko 5 acheni ushambenga vijana, Barabara maji umeme ni story za zaman...zungumzia issue zingine
In Kenya we don't just call towns cities. There are several considerations before a town is promoted to city status. Nasikia huko kwenu hadi mbeya na Iringa ni cities.
 
yeah even that Thika yenye anaidharau...wanaita Iringa, Mbeya cities...what a joke
Kenya mna miji ya maana walau 4.Ujinga wa thika plz hatuutaki..yenyewe eldoret Ni kijiji tu sema kinaumeme
 
Nyinyi mtoe wapi over $3b na mmeshindwa kutoa $50m kutoa ile mikebe yenyu imeshikiliwa Canada, danganya toto jinga......kama ni kweli mlikua mnaomba pesa kutoka WB na Zuma ya nini???
mwache huyo mjinga anafikiri SGR ni shillingi mbili...
 
Tanzanians have no point arguing with us. walete malls, roads, airports, universities, schools sasa. we need to compare our infrastructure sasa sio hii ya kudiss KQ wakati wao hawana airline.
Udsm na nrb university
 
Kenya mna miji ya maana walau 4.Ujinga wa thika plz hatuutaki..yenyewe eldoret Ni kijiji tu sema kinaumeme
umeshaambiwa Kenya standards za kuita eneo mji zipo juu sana....sio kuita magofu ya kipumbavu kama mbeya na iringa miji
 
Back
Top Bottom