joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kwanini ninyi mnapenda kushindanisha vitu visivyokua na faida kwa wananchi wa kawaida?, hivi malls inasaidiaje wananchi wa kawaida?, roads ni muhimu sana, ndiyo sababu Tanzania imejenga barabara nyingi na ndefu za lami kuliko Kenya, hapa Tanzania hakuna mkoa ambao haujaunganishwa na lami, kwenu huko Wajir na Turkana hakuna lami.Tanzanians have no point arguing with us. walete malls, roads, airports, universities, schools sasa. we need to compare our infrastructure sasa sio hii ya kudiss KQ wakati wao hawana airline.