Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hata SGR yenu kenya mliacha kusikiliza wanauchumi wenu na world bank mkataka ushindani na tanzania siunaona leo deni linavowatesa
60% debt to Gdp ratio😀😀😀😀😀😀
mchina hamutomsahau

sasa badala ya kurudisha ndege za wenyewe mukaanza upya kununua zenu sasa badala yake loss inaitesa nchi miaka mitano
na mm ntawapa only three factors zilizochagia loss kubwa kq na ya muda mrefu

1} leasing aircrafts yani huyu ndio mchawi no 1
2} low tourism visit kenya and it bcz of tanzania kwa juhudi kubwa na zamakusudi za kikwete
3} kama munakumbukumbu nzuri kikwete alipunguza safari za kq per week kuja dar from 48 to 12 for almost 4 to 5 days na hio sababu iliyumbisha sana kq, kikwete alifanya hvo baada ya kenyata kuzuia magari ya tanzania kuingi JKIA kuchukua watalii, lakini badae kenyatta akaomba yaishe
Ushindani na Tanzania kwani nyinyi mna sgr??? 😀 😀 😀 ....we jamaa huwa bogus, huwa unawazia vitu unaandika??utashindanaje na vitu hakuna?
 
tulikua na plan na tunaijenga one of the modern SGR in africa narudia one of the longest and modern electric SGR in africa, eat that😀😀😀😀😀
tena sio kwa mkopo by cash deal 722km from dar to dodoma
 
tulikua na plan na tunaijenga one of the modern SGR in africa narudia one of the longest and modern electric SGR in africa, eat that😀😀😀😀😀
😀 😀 😀 tuta tuta tuna tuna mtatunga wimbo sasa........tuma mapicha acha porojo
 
sio tuta , tunajenga hapa tulipo tunajenga 722km modern electric Sgr in africa, kumbuka ni cash deal 3.16b usd
tanzania haina maneno mengi sisi tunataka utendaji sio maneno na sifa zisizo kua na maana😀😀😀
 
Those are the closed-mind policies of yours that I'm focusing on here! For them to have gone that far to impart knowledge as teachers in those far flung areas of Tz,there was a desperate local need for them! It was imperative for Tz govt to regularize their hiring! You don't demonize your saviours. That's why those young men in Nairobi will think twice before engaging in TZ
Sasa mbona unabadilisha goal post?, mwanzoni ulisema wakenya hawawezi kuja Tanzania kutafuta kazi, baada ya kukuthibitishia kwamba kuna wakenya wengi huku Tanzania, unabadilisha na kuanza kutushauri jinsi ya kuongoza nchi, kama kweli huo ushauri wako unasaidia, basi washauri viongozi wenu watengeneze ajira nyingi ili muachane na aibu ya kufukuzwa toka Tanzania mara kwa mara
 
😀 😀 😀 tuta tuta tuna tuna mtatunga wimbo sasa........tuma mapicha acha porojo
maumivu yakizidi muone daktari😀😀😀😀
49C1C45B-C813-43CB-B480-3F6726C076C2.jpeg
40ED9E31-9F64-4C40-B51B-A69D38671DD0.jpeg
925ACB49-7033-4956-BAA3-E104B41D23DC.jpeg

pia nakushauri upitie hapa ujionee kwa raha zako

SGR Railway Dar es salaam-Isaka-Kigali|Keza-Gitega-Musongati Railway Project| U/C - Page 16 - SkyscraperCity
 
sio tuta , tunajenga hapa tulipo tunajenga 722km modern electric Sgr in africa, kumbuka ni cash deal 3.16b usd
tanzania haina maneno mengi sisi tunataka utendaji sio maneno na sifa zisizo kua na maana😀😀😀
Nyinyi mtoe wapi over $3b na mmeshindwa kutoa $50m kutoa ile mikebe yenyu imeshikiliwa Canada, danganya toto jinga......kama ni kweli mlikua mnaomba pesa kutoka WB na Zuma ya nini???
 
Sasa mbona unabadilisha goal post?, mwanzoni ulisema wakenya hawawezi kuja Tanzania kutafuta kazi, baada ya kukuthibitishia kwamba kuna wakenya wengi huku Tanzania, unabadilisha na kuanza kutushauri jinsi ya kuongoza nchi, kama kweli huo ushauri wako unasaidia, basi washauri viongozi wenu watengeneze ajira nyingi ili muachane na aibu ya kufukuzwa toka Tanzania mara kwa mara
bro mpe hio😀😀😀😀😀
3357899A-33A1-4827-88C1-3051AB7F6F43.jpeg
 
Nyinyi mtoe wapi over $3b na mmeshindwa kutoa $50m kutoa ile mikebe yenyu imeshikiliwa Canada, danganya toto jinga......kama ni kweli mlikua mnaomba pesa kutoka WB na Zuma ya nini???
tunapenda kuchukua mikopo ya soft loan sisi hatuendi kichwa kichwa kama hakuna soft loan tunaangalia alternative nyingine, hata mturuki kakubali kujenga phase 3 and 4 kwa soft loan
hatutoi pesa kwa sababu kesi imesukwa na ndio maana tuna deal nayo effectively 😀😀😀

hehe eti atoe wapi 3b usd we unajua miradi anayojenga ni pesa ngapi ????😛😛😛

mchina kawapiga only phase one 4b usd hapo hujaeka interest😀😀😀 hehe mchina sio mtu aise

4b usd only 450 km tena diesel old engine trains

3.16b usd for 722 km modern electric train in tz😀 tena cash deal
 
Hiyo SGR imefika wapi? Magufuli ameukabidhi ujenzi huu only Tshs290 b sawa na $125 million ilhali unahitaji $1.2 b. So where is the money and where is the SGR?
 
Back
Top Bottom