REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,918
- 14,894
Wewe unaweweseka kweli wapi hapo pameandikwa leaders soma hapo au umeshavuta gundi?What do you mean by "KQ leaders company"? Tumia tu kiswahili bro. Tutakuelewa tu bado
Wewe unaweweseka kweli wapi hapo pameandikwa leaders soma hapo au umeshavuta gundi?What do you mean by "KQ leaders company"? Tumia tu kiswahili bro. Tutakuelewa tu bado
Has been in loss since 1970s na ndege za kukodi sio zenu leo lenders wakitaka ndege zao mtaanza kurusha mikokoteni angani?Eti mtanzania hufanya jambo kwa faida? Hehehe....ujamaa uliwafaidi nini? Na hiyo shirika lenu ya ndege imewafaidi nini hadi wa leo? Wakati air Tanzania ndio inajikskamua kununua ndege 2018, Kenya airways has been in operation since 1970s. Are you seeing the difference?
In Kenya we don't just call towns cities. There are several considerations before a town is promoted to city status. Nasikia huko kwenu hadi mbeya na Iringa ni cities.Thika nalo jiji?![]()
![]()
How can a company make loses each and every year since 1970 and still remain in business? Hata kibanda ya kuuza karanga za diamond haiwezimudu kufanya hivyo. That aside, how much profit has air tanzania made since It started operation? Ama hata haijaanza biashara bado mko kwa "tuta"?Has been in loss since 1970s na ndege za kukodi sio zenu leo lenders wakitaka ndege zao mtaanza kurusha mikokoteni angani?
At least atcl we have our own aircrafts 100% company ownership
huko wana cities karibu kumi kumbe ukienda kule ni vibanda tu...hakuna barabara hakuna internet hakuna stima watu wanakunya msituni pamoja na simba kisha wanaita citiesIn Kenya we don't just call towns cities. There are several considerations before a town is promoted to city status. Nasikia huko kwenu hadi mbeya na Iringa ni cities.
the idiot doesnt know that KQ has been contributing massivly to our GDP since the 70s...anafikiria tumekuwa east africa's largest economy kwa kukaa chini pale dar na kuuza diamond karangaHow can a company make loses each and every year since 1970 and still remain in business? Hata kibanda ya kuuza karanga za diamond haiwezimudu kufanya hivyo. That aside, how much profit has air tanzania made since It started operation? Ama hata haijaanza biashara bado mko kwa "tuta"?
Inaamana Dar is not an important city. Hapo tuongee tu ukweli. Economics tells us that when demand is high, price tend to go up. Now when the price of land is that cheap in Dar what does it tell you? It means Dar is not a competitive city yani haivutii investors. Have you wondered why all major international companies and UN bodies have their regional/African headquarters in Nairobi? I can tell you for free that if these international companies and UN bodies had their headquarters their in Dar, price of land haingekuwa that cheap. Go to any city of international importance utapata kwamba the price of land and even property is above the roof.Sasa huoni kama ni faida kwa Mwananchi wa kawaida?
Una kiwango gani cha elimu? Labda tuanze hapo
Maana naweza kuwa najibizana na misukule pasi kuelewa.
Hujui kitu wewe, ndege zenyewe za kukodi wanapata faida ndogo inachukuliwa yote na lenders KQ government wanabakia kupiga miayo kazi ni kulipa tu wenye ndege maji yamewafika shingoni mmeshindwa kulipa wafanyakazi mpaka mmeamua muwarudishie mindege yao waliowakodisha sababu mmegeuzwa chumaulete.How can a company make loses each and every year since 1970 and still remain in business? Hata kibanda ya kuuza karanga za diamond haiwezimudu kufanya hivyo. That aside, how much profit has air tanzania made since It started operation? Ama hata haijaanza biashara bado mko kwa "tuta"?
Dar haina tofauti na Mombasa...when a city is important, you will always find land prices skyrocketing...in EA, almost 99% of all multinational companies like Google, Microsoft, Coca Cola have set up in Nairobi...only 1% in Kampala, Dar and Kigali...ndio maana land kule Dar ni kama kununua premendeInaamana Dar is not an important city. Hapo tuongee tu ukweli. Economics tells us that when demand is high, price tend to go up. Now when the price of land is that cheap in Dar what does it tell you? It means Dar is not a competitive city yani haivutii investors. Have you wondered why all major international companies and UN bodies have their regional/African headquarters in Nairobi? I can tell you for free that if these international companies and UN bodies had their headquarters their in Dar, price of land haingekuwa that cheap. Go to any city of international importance utapata kwamba the price of land and even property is above the roof.
Hahaha...and then someone wonders why they are an ldc. Huko kwao miji kama kisii na kericho zingeshaitwa cities kitambo sanahuko wana cities karibu kumi kumbe ukienda kule ni vibanda tu...hakuna barabara hakuna internet hakuna stima watu wanakunya msituni pamoja na simba kisha wanaita cities![]()
![]()
![]()
![]()
ATCL ndio mnyama yupi wewe fala? in africa,Kenya airways is a five star airline and top 5 in africa...sasa atcl ndio nini weweHujui kitu wewe, ndege zenyewe za kukodi wanapata faida ndogo inachukuliwa yote na lenders KQ government wanabakia kupiga miayo kazi ni kulipa tu wenye ndege maji yamewafika shingoni mpaka mmeamua muwarudishie mindege yao sababu mmegeuzwa chumaulete.
ATCL will teach you how to do business
yeah even that Thika yenye anaidharau...wanaita Iringa, Mbeya cities...what a jokeHahaha...and then someone wonders why they are an ldc. Huko kwao miji kama kisii na kericho zingeshaitwa cities kitambo sana
These Tanzanians are arguing with a lot of emotion and bitterness. As such, they don't reason most of the time provided they've said something negative about Kenya even if it's blatant lies. Yani hawajawahi kuamini kwamba Kenya inawashinda kwa sectors zote muhimu. Japo hata sisi pia tuko na chalenges kibao kama tu wao, lakini chuki na roho mbaya umewakaba hadi hawawezi kukubaliana na ukweli kwamba kwa sasa, tushapiga hatua kuwalikothe idiot doesnt know that KQ has been contributing massivly to our GDP since the 70s...anafikiria tumekuwa east africa's largest economy kwa kukaa chini pale dar na kuuza diamond karanga![]()
![]()
Mshukuru the breaking of eac of that time east Africa airways ndio mkaikwapua ndege hizo nyingi ni za Tanzania na Uganda lakini pamoja na hilo zali bado mko backward mmeishia kukodi tu ndege pamoja na kwamba mliiba ndege zote za east Africa airways ambazo hazikua za kukodithe idiot doesnt know that KQ has been contributing massivly to our GDP since the 70s...anafikiria tumekuwa east africa's largest economy kwa kukaa chini pale dar na kuuza diamond karanga![]()
![]()
Of coz yes to some extent u're just 0.5 ahead... VIVA TZ pole pole tunasonga mbeleThese Tanzanians are arguing with a lot of emotion and bitterness. As such, they don't reason most of the time provided they've said something negative about Kenya even if it's blatant lies. Yani hawajawahi kuamini kwamba Kenya inawashinda kwa sectors zote muhimu. Japo hata sisi pia tuko na chalenges kibao kama tu wao, lakini chuki na roho mbaya umewakaba hadi hawawezi kukubaliana na ukweli kwamba kwa sasa, tushapiga hatua kuwaliko
Eti mtanzania hufanya jambo kwa faida? Hehehe....ujamaa uliwafaidi nini? Na hiyo shirika lenu ya ndege imewafaidi nini hadi wa leo? Wakati air Tanzania ndio inajikskamua kununua ndege 2018, Kenya airways has been in operation since 1970s. Are you seeing the difference?
Na mbona bado mko LDC kama ujamaa ilisaidia "kuondoa" hayo yote?
You are just a typical danganyikan who can't live with the truth that Kenya ishapiga hatua kuwaliko. Just a moment ago you were talking about how KQ has been making losses since 1970 sasa hivi unasema wanapta faida ndogo. Cha kushangaza ni kwamba nyinyi hamna shirika la ndege ambayo inapata fiada hata robo ya ile "ndoho" KQ inapata. Why the sudden change of tune? Number mtazidi kusoma nyinyi wa ********.Hujui kitu wewe, ndege zenyewe za kukodi wanapata faida ndogo inachukuliwa yote na lenders KQ government wanabakia kupiga miayo kazi ni kulipa tu wenye ndege maji yamewafika shingoni mmeshindwa kulipa wafanyakazi mpaka mmeamua muwarudishie mindege yao waliowakodisha sababu mmegeuzwa chumaulete.
ATCL will teach you how to do business
Utamjua tu atakapoanza kuwapelekea moto early this June midege yetu inawasili hahaha utaona balaa lake juzi tumeajiri cabin crew almost 100 tutaanza kuwarusha kichurachura mpaka tuheshimianeATCL ndio mnyama yupi wewe fala? in africa,Kenya airways is a five star airline and top 5 in africa...sasa atcl ndio nini wewe