Paper tiger, No wonder cant afford tomatoes na petrol 😁Hii nguvu yote,unatumia kuokota kota ma links kwa X kucheka wakenya wenye wako vizuri kiuchumi si you direct it kwa mama yenu afanye kazi..ona sasa mumeshuka mko number 12 ata hamko top 10..uganda itaja wapita kwa kasi...View attachment 3590572
Muulize, if the economy is that good, then why are they on the streets today?hujui chochote kuhusu uchumi just shut up
Wamezoea disorganisation na ndio maana hata port Yao is very dirty and disorganised.Inaitwa poor urban planning in bongoslum, mafala wamezoea traffic ya trucks heading to the port thinking Kenya should be the same. Hajui Mombasa port and Nairobi ICD zikona special roads for trucks heading to the port which have been connected to the bypasses. Alafu railway pia inaingia completely ndani ya port kuchukua ama kudrop mizigo. Bongolalas know nothing about urban planning.
Waiyaki way inakaa Kigoma ujiji. 😂😂😂Things under construction… jifurahishe kilaza …
I'm just talking facts. Majority of Kenyan debts ni local yenu ni ya foreigners. With time your country will be auctioned.ukimaliza kuongea pumba utatuambia
Na ya kwetu pamoja na kwamba Yako Juu ila najua Serikali itaweka ruzuku yatashuka zaidi ni Bajeti tuu inasubiriwa mwezi ujao.Wasio na disposable income wala hawana shida, ila GDP ya makaratasi sasa
View attachment 3590629
SGR yenu ni gharama kuendesha na hivi mafuta yamepanda taabu tupu kwa wasafirishaji mizigo, meanwhile, TZ SGR is operating on clean energy, logistic services zinaendelea unaffected by fuel price hike.So sisi ndio SGR yetu haina port link? Hiyo ndio number tunasoma ama kuna ingine?😂😂🤣😂
Because tunajielewa. Nyinyi hata mkikanyagwa na matope mmenyamaza Tu juu ya uwuoga.Muulize, if the economy is that good, then why are they on the roads today?
Who will let his cargo to wait at the port for 16 days for clearance then another 3 days in the bush because of mechanical issues? Your SGR and port are relatives of problems to traders.SGR yenu ni gharama kuendesha na hivi mafuta yamepanda taabu tupu kwa wasafirishaji mizigo, meanwhile, TZ SGR is operating on clean energy, logistic services zinaendelea unaffected by fuel price hike.
They will do the bare minimum and hype it as if its the best thing in the world. Nikisema SGR yao inaishia kwa yard wanajam. 😂 😂 😂Wamezoea disorganisation na ndio maana hata port Yao is very dirty and disorganised.
Hivi umesoma mpaka level gani? Unjau ipi ni afadhali kati ya domestic debt kubwa au foreign debt kubwa? Sisi nchi yetu inaendeshwa kisomi no wonder ur Governemnt cannot even clean up the streets kwasababu haina fedhaWith 70% of the debt being domestic. Sasa kuna Tanzania where 90% of all debts ni za foreigners Kenya ikiwemo🤣🤣😂🤣
Pambana na hali yako Hormuz Strait is under closure for the best part of this year😁Who will let his cargo to wait at the port for 16 days for clearance then another 3 days in the bush because of mechanical issues? Your SGR and port are relatives of problems to traders.
Matajiri wako barabarani wakipinga bei ya nyanya na mafuta kupanda. This world is a funny place to be.Tanzania is poorer than Kenya and that's the fact.