President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,525
- 94,002
Ya hiyo ni more administrative haina political representativeNa bado kuna level moja umeiruka hapo lakini iko more admnistrative inaitwa Tarafa / Zone kama sikosei. Tarafa moja inaweza ikawa na more than one wards ila sidhani kama ziko kila mkoa.
Kaka ukizinguka nchi ya Tanzania, kuna vijiji na mitaa zimejenga stands na masoko from OSR.
Hapa hakuna kiwanda ni propaganda tuSame factors alizozingatia a multinational oil major TOTAL kwa location ya EACOP 😁
View: https://www.instagram.com/reel/DYRetpQNwnb/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
View: https://www.instagram.com/p/DYRlv7DIkYY/?e=e9068efb-dec5-4f6e-a360-369e8cbf77af&g=5
MY TAKE
2.5 mln PAX capacity Terminal at Mwanza airport!
Pia Tanzania kuna budget ya serikali kuu budget za serikali za mitaaNa usichojua kenya kuna budget ya serikali kuu na budget ya county
Hata ILO ipo TanzaniaUN HQ ipo USA asikudanganye mtu.
Hata Tanzania ipo UN office inaitwa International Residual Mechanism for Criminal Tribunals (IRMCT)
Universal Postal Union (UPU)
Are you Aliko Dangote's secretary?Ila bado refinery itajengwa Tanga kama kuna hiyo plan mark my words.
Kaka tusiende mbali tu haya hapa 10Msije mkawa mnahesabu na makampuni ya mabeberu 😁, utasikia Nestle and the likes wako humo ndani 🤣🤣🤣 wakati investment yao KE haifiki hata hito value.
| Na. | Kampuni | Sekta | Wamiliki Wakuu (Main Shareholders) |
| 1 | Safaricom PLC | Mawasiliano | Vodafone & Vodacom (39.9%), Serikali ya Kenya (35%), na Umma kupitia NSE (25%). |
| 2 | Equity Group | Benki | Arise B.V. (12%+), James Mwangi (3.4%), IFC, na wawekezaji wa taasisi. |
| 3 | KCB Group | Benki | Serikali ya Kenya (Treasury - 19.7%), NSSF Kenya (9.7%), na umma kupitia NSE. |
| 4 | East African Breweries | Vinywaji | Asahi Group Holdings (65%) — Baada ya kununua hisa kutoka kwa Diageo mwaka 2026. |
| 5 | Kenya Pipeline (KPC) | Nishati | Serikali ya Kenya (35%) na Umma (65%) kupitia IPO iliyofanyika Machi 2026. |
| 6 | Co-operative Bank | Benki | Co-op Holdings Co-operative Society (64.5%) — Inayomilikiwa na vyama vya ushirika Kenya. |
| 7 | Absa Bank Kenya | Benki | Absa Group Limited (68.5%) kutoka Afrika Kusini. |
| 8 | NCBA Group | Benki | Nedbank (66%) — Kufuatia ununuzi wa hisa (acquisition) ulioanza Mei 2026. |
| 9 | Standard Chartered | Benki | Standard Chartered PLC (74.3%) ya Uingereza. |
| 10 | Stanbic Holdings | Benki | Standard Bank Group (74.9%) kutoka Afrika Kusini kupitia Stanbic Africa Holdings. |
UN has ONLY four offices in the world:Hata ILO ipo Tanzania
Keep putting your foot in the mouth … ile ujinga mko naye ni mingi …. Let’s take your example, Safaicom .. 35% GOK and 25% Kenyan shareholders… meaning 60% of the company is Kenyan owned….. wivu na hasira sasa inakusaidia vipi…😆😆Kaka tusiende mbali tu haya hapa 10
Na. Kampuni Sekta Wamiliki Wakuu (Main Shareholders) 1 Safaricom PLC Mawasiliano Vodafone & Vodacom (39.9%), Serikali ya Kenya (35%), na Umma kupitia NSE (25%). 2 Equity Group Benki Arise B.V. (12%+), James Mwangi (3.4%), IFC, na wawekezaji wa taasisi. 3 KCB Group Benki Serikali ya Kenya (Treasury - 19.7%), NSSF Kenya (9.7%), na umma kupitia NSE. 4 East African Breweries Vinywaji Asahi Group Holdings (65%) — Baada ya kununua hisa kutoka kwa Diageo mwaka 2026. 5 Kenya Pipeline (KPC) Nishati Serikali ya Kenya (35%) na Umma (65%) kupitia IPO iliyofanyika Machi 2026. 6 Co-operative Bank Benki Co-op Holdings Co-operative Society (64.5%) — Inayomilikiwa na vyama vya ushirika Kenya. 7 Absa Bank Kenya Benki Absa Group Limited (68.5%) kutoka Afrika Kusini. 8 NCBA Group Benki Nedbank (66%) — Kufuatia ununuzi wa hisa (acquisition) ulioanza Mei 2026. 9 Standard Chartered Benki Standard Chartered PLC (74.3%) ya Uingereza. 10 Stanbic Holdings Benki Standard Bank Group (74.9%) kutoka Afrika Kusini kupitia Stanbic Africa Holdings.
Leta hapa proof.Keep putting your foot in the mouth … ile ujinga mko naye ni mingi …. Let’s take your example, Safaicom .. 35% GOK and 25% Kenyan shareholders… meaning 60% of the company is Kenyan owned….. wivu na hasira sasa inakusaidia vipi…😆😆
| Jina la Kampuni | Thamani (USD) | Mmiliki Mkuu & Asilimia ya Hisa (%) |
| TANESCO | $4.5 Bilioni+ | Serikali ya Tanzania (100%) |
| PSSSF (Mfuko wa Hifadhi) | $3.5 Bilioni+ | Serikali (100% - Kwa niaba ya Watumishi wa Umma) |
| NSSF | $3.2 Bilioni+ | Serikali (100% - Kwa niaba ya Sekta Binafsi) |
| MeTL Group | $2.5 - $3.0 Bilioni | Familia ya Dewji (100%) |
| CRDB Bank PLC | $2.7 Bilioni | DANIDA (21%), PSSSF (13.3%), Serikali (5%), Umma (60.7%) |
| NMB Bank PLC | $2.6 Bilioni | Arise B.V. (34.9%), Serikali (31.8%), NSSF/PSSSF & Umma (33.3%) |
| TPA (Bandari) | $2.0 Bilioni+ | Serikali ya Tanzania (100%) |
| Bakhresa Group | $1.5 - $2.0 Bilioni | Familia ya Bakhresa (100%) |
| TTCL Corporation | $700 Milioni+ | Serikali ya Tanzania (100%) |
| Twiga Minerals | $1.5 Bilioni+ | Barrick Gold (84%), Serikali ya Tanzania (16%) |
Lini utapona ugonjwa wako wa akili?UN has ONLY four offices in the world:
New York
Geneva
Vienna
Nairobi
The Nairobi office is the largest of the four in acreage and set for further expansion that will see UN agencies like UNICEF and UNFPA move to Nairobi
Government oppression since independence has altered their thinking DNA… it’s only good if it’s for them but if same thing is for Kenya, all hell breaks loose. That’s my friend is the true definition of indoctrination..The tune has changed. Just a few days ago, Tanganyikans' post on this refinery was laced with so much praise. Kwani wakati huo hamkujua hamkuarifiwa na investor? Nyinyi ni mapumba tu
Nadhani English ndio tatizo kwako.We have more helicopters in Kenya than the rest of East African countries combined.