REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
😢Ruto na Dangote wanajibishana.
😢Ruto na Dangote wanajibishana.
Sasa kama county zao zinategemea 85% ya bajeti zao kutoka central government wataelewa maana ya osrHalafu mwambie tupo mpaka na serikali za mitaa na vijiji zipo na Own Source Revenues
Nishakuambia bongoslum hamuwezi jenga hata choo bila kujulisha central government, iwe ni own source revenue ama pesa ya central government. The state is the controlling authority because their is now transfer of power. Ni nini huelewi.Inabidi ukajifunze sana owns source revenue haiko intergrated na central government popote, View attachment 3587820
Sisi tunatembea na formula, above 10bil ,70% ya osr ni for development na inakuwa chini ya municipal council.
Allocation za from central government kwenye infrastructure inaanzia bungeni.
Kuna municipality 184 na hapa ni own source revenue only .
Kaka ukizinguka nchi ya Tanzania, kuna vijiji na mitaa zimejenga stands na masoko from OSR.Sasa kama county zao zinategemea 85% ya bajeti zao kutoka central government wataelewa maana ya osr
Siyo kweli. Hapa unaandika uongo kwa kujifurahisha tu. OSR haihusishi central government. Madiwani wakikaa na kukubaliana utekelezaji unaendelea.Nishakuambia bongoslum hamuwezi jenga hata choo bila kujulisha central government, iwe ni own source revenue ama pesa ya central government. The state is the controlling authority because their is now transfer of power. Ni nini huelewi.
Sasa wewe leta proof ya claims zako Buda sio maneno, hata ingekuwa Ina control as you claim lakin projects zikamilike ni perfect as compared to kenya.Nishakuambia bongoslum hamuwezi jenga hata choo bila kujulisha central government, iwe ni own source revenue ama pesa ya central government. The state is the controlling authority because their is now transfer of power. Ni nini huelewi.
Kila kitu inafanywa under supervision of Samia Bin Suluhu. Hakuna transfer of power bongoslum.Siyo kweli. Hapa unaandika uongo kwa kujifurahisha tu. OSR haihusishi central government. Madiwani wakikaa na kukubaliana utekelezaji unaendelea.
Je unajuwa kuwa madiwani wanatunga By-laws per their own council?
Just imagine, UN general assembly or security council meeting in Nairobi
View: https://www.facebook.com/reel/830651786785204/
10 billion is only 500 million kenya shillings.Sasa wewe leta proof ya claims zako Buda sio maneno, hata ingekuwa Ina control as you claim lakin projects zikamilike ni perfect as compared to kenya.
Nimekupa mfano tu all municipalities above 10bil zinatumia 70% ya revenue yake for development na dar mpaka sasa Ina 448 as projected own source revenue projection, ebu tuletee za Nairobi Buda .
Hivi Nairobi imetenga kiasi gani kwa development?
Eac headquarter si mzigo lakini UN headquarter ni mzigo? Mchawi weweIngekuwa beneficial basi nchi kadhaa zingekuwa zimegombania kuhost hiyo kitu ,ila imegundulika ni mzigo tu without huge economic benefits.
Umekosa point ya kujadili umeanza kejeli. Sisi tunakueleza kuwa mfumo wa Tanzania mpaka serikali ya kijiji au mtaa inajiendesha yenyewe kwa OSR.Kila kitu inafanywa under supervision of Samia Bin Suluhu. Hakuna transfer of power bongoslum.
UN HQ ipo USA asikudanganye mtu.Eac headquarter si mzigo lakini UN headquarter ni mzigo? Mchawi wewe
Sasa economic benefits gani unaona itazileta wakati hao Wana tax exemptions.Eac headquarter si mzigo lakini UN headquarter ni mzigo? Mchawi wewe
Huyo tumpuuze tu10 billion is only 500 million kenya shillings.
Sasa unataka kutuambia eti your local government inaweza jenga hospitali kama hii bila idhini ya Samia Suluhu just because wakona own source revenue. 😂 😂 😂 Endelea kuota.
![]()