Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa nani anapiga kelele kati yet nanyi?
Nyie ndiyo mmetangaza refinery itajengwa Tanga, halafu mnatuambia tajiri kasema Mombasa, sasa sisi tunahusika vipi na mradi hatuujui wala hatujataarifiwa na investor? Procedure mtu akitaka kuinvest Tz anakuja kuonana na uongozi hapa anaweka proposal yake mezani sasa hilo halijafanyika na wala sisi hatujui huo mradi scope yake ni nini.
 
Nyie ndiyo mmetangaza refinery itajengwa Tanga, halafu mnatuambia tajiri kasema Mombasa, sasa sisi tunahusika vipi na mradi hatuujui wala hatujataarifiwa na investor? Procedure mtu akitaka kuinvest Tz anakuja kuonana na uongozi hapa anaweka proposal yake mezani sasa hilo halijafanyika na wala sisi hatujui huo mrani scope yake ni nini.
The tune has changed. Just a few days ago, Tanganyikans' post on this refinery was laced with so much praise. Kwani wakati huo hamkujua hamkuarifiwa na investor? Nyinyi ni mapumba tu
 
The tune has changed. Just a few days ago, Tanganyikans' post on this refinery was laced with so much praise. Kwani wakati huo hamkujua hamkuarifiwa na investor? Nyinyi ni mapumba tu
Ila bado refinery itajengwa Tanga kama kuna hiyo plan mark my words.
 
Tatizo la Ruto ni kufikiria Kenya is having an upperhand in this! He is so wrong! When it comes to mining n oil n gas businesses Kenya is a sorry partner!
Ruto anataka kujifanya mpiga debe ili apate,kuichomeka kenya lakini Museveni na Samia wapo kimya, hatuongei na mchunga mbuzi tunaongea na mwenye mbuzi
 
mwaiofhawaii Teargass nairobae

Mfumo wa Tanzania unaenda mpaka kwenye street level.

Ngoja niwafundishe na muelewe real devolution maana nyie wakenya mlirukia tu treni.

Tanzania siasa zinaanza kwenye grassroots.
Mwenyekiti wa Mtaa
Huyu anachaguliwa katika mtaa au kijiji husika. Kila chama cha siasa kinaweka mgombea wake.
Baada ya hapo inaundwa serikali ya kijiji au mtaa. Ndani ya kijiji hicho kunakuwa na wajumbe nao wanachaguliwa kwa kupiwa kura.
Kijiji au mtaa kinakuwa na kamati mbalimbali yaani kama wizara.
Katika kijiji hicho kunakuwa na mtumishi wa serikali anayeitwa Executive (VEO kwa kijiji na MEO kwa mtaa)

Kitu hiki hakipo huko kenya.
Juu ya kijiji utakutana na Kata.
Kila kata Inakuwa na kiongozi anayeitwa Diwani. Vilevile huyu hupigiwa kura na kata yote. Kila Chama cha Siasa kinaweka mgombea wake. Hapo kwenye kata kunakuwa na kamati mbalimbali. Yaani diwani anaundwa Serikali ya Kata. Kwenye kata kunakuwa na mwakilishi wa Serikali anayeitwa WEO.

Kata zote ndani ya halmashauri moja zinaungana na kutengeneza council.

Madiwani wanachagua diwani mmoja atakayekuwa mwenyekiti wao (Kwenye Municipal and City anaitwa Mayor) Kwenye council ambazo hazijafikia level ya municipal anaitwa mwenyekiti wa council. Huyo mwenyekiti aliyechaguliwa na madiwani ni sawa na gavana kwenu kenya.

Ndani ya council kunakuwa na mkurugenzi anaitwa DED. Yeye anakuwa Katibu wa Council.

Sasa mpaka hapo mmejifunza nini wakenya kuhusu devolution ya Tanzania?

NB: Kijiji kinakuwa na own source of revenue kwa maendeleo ya kijiji.
Kinakusanya pesa kupitia ulinzi shirikishi, sungusungu nk.
Na bado kuna level moja umeiruka hapo lakini iko more admnistrative inaitwa Tarafa / Zone kama sikosei. Tarafa moja inaweza ikawa na more than one wards ila sidhani kama ziko kila mkoa.
 
Back
Top Bottom