Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yes, in Lake Tanganyika, that's why TOTAL wanted the pipeline to pass via that route cause of the DRC and TZ oil fields owned by TOTAL.
Also mpatie kuna part ya document ilitolewa mwaka 2004 kuhusu mafuta na gas Tanzania upande wa bahari. Hapo Tanga inasemekana kuna reserve ya mafuta 4 billion barrels

1778575502805.png
 
Wazungu ndio kawaida yao alot of promises implementation nil hii yote ni to counter Chinese advances in Africa. it is high time now African tukatae empty promises wazungu hawako tayari kuona Africa ikiendelea sikuzote ni shamba lao kujipigia raw materials tuu.
Anzeni na wale wazungu wamejaza your mining sector.
 
Anzeni na wale wazungu wamejaza your mining sector.
Embu mpeni mzungu wa watu Nairobi-Mombasa highway tuone kwanza inakuwaje? Wazungu wetu wa mining sector tuliwa summon wote na wakatoa a free carried share of btn 16 - 20% owned by government through TPDC, 5% CSR, 3% skills development levy, 30% corporate tax with an option for TPDC to participate in further share uptake, Hapa sijaweka PAYEE tax. Sasa piga hesabu hapo tunachukua kiasi Gani kwa mining projects. Pia muulize CEO wa Barrick tulimfukuza mzungu gani hapa Tz tukamwambia hatumtaki na kampuni ukafungwa sasa hivi Tz mining framework ndio model ya Barrick Gold kwa Africa nzima hatutaki mchezo sisi sio waabudu wakoloni aka British Bulldog Nyangau.
 
Mwambie hata ile expenditure account lazima ifunguliwe kwenye bank za Tanzania. Kwahiyo manunuzi yote ya ndani na nje lazima wamuombe BOT awapatie dollar au dhahabu ndio wafanye manunuzi.
 
Kama Tajiri kachagua Mombasa Ruto ni nani kumtaka afanye research to establish the location of oil refinery kati ya Tanga, Mombasa, or Lamu? Can you read the script kujua inakoelekea ama kichwa ni mtungi wa makamasi?
Hakuna script hapo, Dangote alishachagua Mombasa. Case closed.
 
Back
Top Bottom