Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The powers your municipalities have ni legislation pekee, the rest lazima central government iwe consulted.
Hii nimeieleza kwa kina sana jana. Lakini unaendelea kubisha tu bila sababu. Sometimes kujifunza siyo ujinga.

Tanzania we use D by D policy mbona hutaki kukubali?
Unatakiwa uelewe:
1. Kisheria, kila Halmashauri inawajibika kutenga 10% ya OSR kwa ajili ya kutoa mikopo isiyo na riba kwa makundi maalum:
  • 4% kwa vikundi vya Wanawake.
  • 4% kwa vikundi vya Vijana.
  • 2% kwa vikundi vya Watu wenye Ulemavu.
2. Ujenzi wa masoko, Stend za Mabasi, Taa za barabarani kwenye barabara zisizo za TANROADS, Ujenzi wa viwanja vya mpira.
Ngoja nianze kukuonesha Projects zinazojengwa na zilizojengwa na Halmashauri kwa kupitia OSR zao:

Tunaanza na Arusha:
1778662971404.png
 
Sindio, kwani unadhani Changamwe ilikua inarefine maziwa. Usiwe mjinga, si ikona crude oil storage.
Haupo timamu akilini, Dangote anaongelea 20 billion dollars worth of refinery wewe unaleta story za home backyard business, that kind of refinery hata Tanzania ipo toka uhuru! Na kuna pipeline ya refined petroleum inatoka Dar to Zambia
 
Naona Ghrofa la MNF halijakamilika kwenye picha. Probabily picha hiyo ni ya 2013 au 2012 more than 16 year ago. Pole.
Mnapenda sana kutumia hizi visingizio za miaka asa if anything has changed in regards to Dar planning. Dar bado ni ile ile ya uswazi hovels kila corner. Ama unataka niingie Google Earth? 🤣🤣
 
Haupo timamu akilini, Dangote anaongelea 20 billion dollars worth of refinery wewe unaleta story za home backyard business, that kind of refinery hata Tanzania ipo toka uhuru! Na kuna pipeline ya refined petroleum inatoka Dar to Zambia
Ilianza na Mombasa hakuna berths for oil tankers and storage facilities, next munaweka picha za facilities for comparison, sahii imekua ni comparison refinery ya Dangote. Kenya had a 80k bpd refinery hio yenu ilikua ndogo sana a third of what is in Changamwe.
 
Back
Top Bottom