President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 33,988
- 93,338
Tanzania has never discussed the refinery issue. We have our own plans. Kama mnajenga jengeni.Hio swali uliza Dangote. Yeye ndio amechagua Mombasa sio mimi.
Tanzania has never discussed the refinery issue. We have our own plans. Kama mnajenga jengeni.Hio swali uliza Dangote. Yeye ndio amechagua Mombasa sio mimi.
A diplomatic response, to massage your ego after loud mouths.Tayari ashaamua ni Mombasa😂😂🤣
Anayeuza mafuta sio UG ni TOTAL ndio anajua anapeleka wapi soko lipi UG anayo say only kwenye surplus crude ambayo ndio itakuwa targeted kwa refinery fuatilia speech ya Museveni on thisDangote ndio ataamua, maana Museveni yuko tayari kuuza sehemu ya crude kwa Dangote.
Kenya hana cha ku-offer. Ni mpiga kelele tu.
Hiyo refinery, inaweza kujengwa na Uganda, TZ na Dangote bila kuhusisha Kenya.
Baada ya Kenya kupoteza EACOP, na sisi tunayo na tuna LNG amepaniki.
South Sudan aliokuwa anawategemea na wao mafuta yao wanauza kupitia Sudan.
Kwasasa anapambana na yeye kujichomeka kwenye mradi kwa kununua hizo hisa za REFINERY.
Shida kubwa wakenya wengi ni VIAZI hawaelewi zaidi ya kukaza mafuvu, tu ila viongozi wao WAMEZIDIWA.
Sindano imeingia. Mumeanza kulia. 😂😂😂Tanzania has never discussed the refinery issue. We have our own plans. Kama mnajenga jengeni.
He got met with powerful cartels of the cement industry. Now he has decided to venture into the industry where no Kenyan is operating and he will not have to deal with the cartels he met last time he wanted to set up the cement factory.Dangote ran away from Kenya and built a cement factory in mtwara was Kenya a socialist state then?
Plan zinafanywa Kenya, Implementation zinafanyika TanzaniaDangote hatambui Tanga. 😂 😂 😂
Rudi usome kile Dangote alisema kwa FT, wacha kufanya guesswork.
Yani wanaona as if ni Kenya imeamulia Dangote where to set up the refinery 😂😂🤣Bado ako denial, hii ishaenda. 😂 😂 😂
Sindano iingie kwa maneno? 🤣 🤣 🤣 🤣Sindano imeingia. Mumeanza kulia. 😂😂😂
Sasa mbona mnalia?😂😂🤣Tanzania has never discussed the refinery issue. We have our own plans. Kama mnajenga jengeni.
Dangote is a business and not a diplomat. His interests in terms of profits and not personal relationships.A diplomatic response, to massage your ego after louds mouths.
Yaani Dangote ajenge Refinery karibu na Al Shabab 🤣🤣🤣🤣Ujenzi wa Refinery unachukua zaidi ya miaka 10. Je, kenya inaaminika? Dangote anataka kuziingiza nchi za EA zi support jambo lake.Katoa masharti kwa Kasongo.. Je, ataweza kuyatimiza? Ana influence ya kutosha kuwapanga viongozi wote wa E.A wakubali kuguarantee hiyo refinery na kumpatia uhakika wa soko wa mafuta yake?
Unadhani Dangote anatoa tu Hela mfukoni kwake kisa anazo nyingi? Anataka security kutoka kwa each member states... Ambapo TZ, UG na Burundi hawawezi ku support hiyo kitu... Na Rwanda pia.
Kuna thread humu ndani ya mtifuano wa EACOP!Hii mambo si imekukasirisha Sana🤣🤣😂😂
The guy hadi amepeana very valid reasons why he wants it in Mombasa lakini bongolala's think it's about the pipeline because Ruto told them so. 😂 😂 😂Yani wanaona as if ni Kenya imeamulia Dangote where to set up the refinery 😂😂🤣
Remember Total has no plan of refining UG oil. The same total is in Nigeria and Angola but they have never built any refinery there despite their huge oil reserve.Anayeuza mafuta sio UG ni TOTAL
Mmeshatupatia idea tayari, subiri sasa tuanze siasa zetu.Sasa mbona mnalia?😂😂🤣
The only masharti Ruto amepewa is to say Yes or No.Katoa masharti kwa Kasongo.. Je, ataweza kuyatimiza? Ana influence ya kutosha kuwapanga viongozi wote wa E.A wakubali kuguarantee hiyo refinery na kumpatia uhakika wa soko wa mafuta yake?
Unadhani Dangote anatoa tu Hela mfukoni kwake kisa anazo nyingi? Anataka security kutoka kwa each member states... Ambapo TZ, UG na Burundi hawawezi ku support hiyo kitu... Na Rwanda pia.
You know very well why EACOP didn't pass through Kenya, those factors are not at play currently.Kuna thread humu ndani ya mtifuano wa EACOP!