Yani Dangote anataka kuleta uswahili kwa waswahili OG! He is just playing poker...
Ana refine mafuta msa kutokea wapi? TZ na UG wana hisa EACOP na kwa pamoja wanaweza kujenga refinery kwa mapato yao na kuwa na uhakika wa supply ya mafuta. Hapo msa itabidi ku import crude oil na kuanza kuyasafisha.
Pili hayo masharti kapewa Kasongo atayaweza? TZ na UG tuna mafuta yetu hata yakienda nje as crude tutanunua refined oil kwa Bei ya Chini nje na kuyaleta hapa... Soko la Dangote atapata wapi?
TZ na UG haziwezi ku guarantee huo mradi as East Africa states, pia Burundi... Na Rwanda piaa maana ana maslah8 makubwa kwa TZ na UG kuliko ukunduni..
Tulieni.. Raha ya mbio ni kwenye finishing line