Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,311
- 18,151
Mihogo?😳😳😳😳😳😳😳Uwe unaelewa , Tanzania watu hawafuati brands actually wanaojaribu kutengeneza brands mara nyingi zinakufa sababu watu wanataka vitu vipya daily
Ila zipo na sana tu ila hazitengenezi faida kama local chains.
Mfano kazimoto parks
Aslay mihogo
Shish food.
Na kibao tu
And you still want us to talk about middle-class?
No wonder mnapanda mihogo hadi ndani ya Dar is slum