Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dailynews.co.tz? 🤣🤣🤣🤣
Hehe na hii ni ya Tanzania

Screenshot_20260502-082630~2.jpg

Citizen wakaribu kupunguza kidogo tu ila wapi nyinyi ni maskini ( extreme poverty)
Screenshot_20260502-082248~2.jpg
 
Nani kakuambia Artcaffe na Java are not Kenyan brands?

Uwe unaelewa , Tanzania watu hawafuati brands actually wanaojaribu kutengeneza brands mara nyingi zinakufa sababu watu wanataka vitu vipya daily
Ila zipo na sana tu ila hazitengenezi faida kama local chains.
Mfano kazimoto parks
Aslay mihogo
Shish food.
Na kibao tu
 
Buda Kila region watu wanatengeneza brands zao tz, sisi hatuangalii majina kama nyinyi na ndo maana tukija migawaha imesambaa nchi nzima kwa Kila region. nyinyi mnakula kwa kutegemea brands sababu vyakula vibovu na mnapenda kuiga. Huku mtu kuna mtu na brand zake tu za kilocal kuuza mihogo makande na anauza kuliko hata hizo KFC
Sis hatushobekei uzungu kwanza kwenda kwenye sehem kama hizo huwa ni watoto tu🤣🤣🤣
Hawa kondoo huwa wanaona hivyo vyakula vya KFC ni big deal kwa sababu wameanza kula ukubwani. 😂😂😂
1777700907992.jpeg
 
Buda Kila region watu wanatengeneza brands zao tz, sisi hatuangalii majina kama nyinyi na ndo maana tukija migawaha imesambaa nchi nzima kwa Kila region. nyinyi mnakula kwa kutegemea brands sababu vyakula vibovu na mnapenda kuiga. Huku mtu kuna mtu na brand zake tu za kilocal kuuza mihogo makande na anauza kuliko hata hizo KFC
Sis hatushobekei uzungu kwanza kwenda kwenye sehem kama hizo huwa ni watoto tu🤣🤣🤣
Informal economy kwa sababu you have a very small middle-class. Sasa ulikua unabishana kuhusu disposable income na middle class wenu ni wa kuhesabika.
 
Si ndo maana tunawaambia kuwa nyinyi ni malimbukeni , middle income hawi brainwashed kula kwenye hizo restaurant zenu,
Wewe uliza kwanza bei halafu linganisha na hizo brands zenu
 
Hehe na hii ni ya Tanzania

View attachment 3582732
Citizen wakaribu kupunguza kidogo tu ila wapi nyinyi ni maskini ( extreme poverty)
View attachment 3582733

As of 2025-2026, approximately 51.3% of Tanzanians are estimated to live on less than $3.00 a day (based on 2021 PPP). [1, 2]
In mid-2025, the World Bank officially raised the international poverty line to $3 per person per day to better reflect the rising cost of living and updated purchasing power data. [1, 2]

Si ndo maana tunawaambia kuwa nyinyi ni malimbukeni , middle income hawi brainwashed kula kwenye hizo restaurant zenu,
Wewe uliza kwanza bei halafu linganisha na hizo brands zenu
People are likely to eat out at restaurants if they have disposable income. Unataka kubadilisha lifestyle ya dunia so as to justify your poverty.
 
As of 2025-2026, approximately 51.3% of Tanzanians are estimated to live on less than $3.00 a day (based on 2021 PPP). [1, 2]
In mid-2025, the World Bank officially raised the international poverty line to $3 per person per day to better reflect the rising cost of living and updated purchasing power data. [1, 2]

As of 2025-2026, approximately 51.3% of Tanzanians are estimated to live on less than $3.00 a day (based on 2021 PPP). [1, 2]
In mid-2025, the World Bank officially raised the international poverty line to $3 per person per day to better reflect the rising cost of living and updated purchasing power data. [1, 2]

Siku nyingine ukajifunze zaidi , yaan wao wenyewe wanakiri data zilizotumika ni za 2018 na bado hawana data za 2025 labda baada ya intergration ndo zinaweza patikana as early as 2026 halafu nawe unaenda okota tu🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20260502-090641~2.jpg
Screenshot_20260502-090641~3.jpg
 
Siku nyingine ukajifunze zaidi , yaan wao wenyewe wanakiri data zilizotumika ni za 2018 na bado hawana data za 2025 labda baada ya intergration ndo zinaweza patikana as early as 2026 halafu nawe unaenda okota tu🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3582741View attachment 3582743
They are projections based on 2021 PPP, it might even be worse than those projections. The last time I checked, Kenya has a higher GDP PPP than bongoslum.
 
As of 2025-2026, approximately 51.3% of Tanzanians are estimated to live on less than $3.00 a day (based on 2021 PPP). [1, 2]
In mid-2025, the World Bank officially raised the international poverty line to $3 per person per day to better reflect the rising cost of living and updated purchasing power data. [1, 2]

The difference between us and them is that sisi tunaleta data za World Bank. Wao wanaleta za personal opinions na za blogs
 
People are likely to eat out at restaurants if they have disposable income. Unataka kubadilisha lifestyle ya dunia so as to justify your poverty.
Sasa hawawez kula hizo leftovers Buda vyakula vipi kibao na restaurants kibao, nyinyi kwa sababu ya umaskini wa mnahisi kula kula hayo takeways ni sifa
Yaan tuache kula nyama choma za maana kwenye migahawa ya maana tuje kula leftovers eti za KFC and the like🤣🤣🤣.
Kweli umaskini wa kifikra upo sana Kenya.
However mnaojiona wajanja kushabikia timu za ulaya eti za kwenu hazina value, matokeo yake hata clubs zenu haziwezi raise hata funds
 
They are projections based on 2021 PPP, it might even be worse than those projections. The last time I checked, Kenya has a higher GDP PPP than bongoslum.
Tuoneshe wapi wameandika projections, maana wao wamekiri hawana data na zimetumika za 2018 🤣🤣🤣🤣
Imagine unatumia data ambazo Zina zaidi miaka 8.
Yaan chaguzi mbili zimepita 🤣🤣🤣
 
Sasa hawawez kula hizo leftovers Buda vyakula vipi kibao na restaurants kibao, nyinyi kwa sababu ya umaskini wa mnahisi kula kula hayo takeways ni sifa
Yaan tuache kula nyama choma za maana kwenye migahawa ya maana tuje kula leftovers eti za KFC and the like🤣🤣🤣.
Kweli umaskini wa kifikra upo sana Kenya.
However mnaojiona wajanja kushabikia timu za ulaya eti za kwenu hazina value, matokeo yake hata clubs zenu haziwezi raise hata funds
Is KFC the only restaurant you know? Ndio maana tunasema bado muna akili za kimaskini.
 
Back
Top Bottom