Mi nashangaa ana maneno mengi sana halafu anachotaka kukifanya hata hakifanyi. Muda wote ni mikwara na kupiga domo tu. I'll do this, I'll do that na hapost hivyo vitu anavyotishia kuvipost. He's so annoying 😂😂wewe andaa research yako utuletee
View attachment 3582684
View attachment 3582685
View attachment 3582686
huyu mwenzako kila kitu akifanya lazima aje kutusimulia apa 😂, mzoeeMi nashangaa ana maneno mengi sana halafu anachotaka kukifanya hata hakifanyi. Muda wote ni mikwara na kupiga domo tu. I'll do this, I'll do that. He's so annoying 😂😂
Sasa huoni kama nyinyi ndo maskini wa fikra , sisi hatutegei kuwa hizo brands tunatengeneza zetu . Mtakuja elewa baada ya muda, si unaona matajiri wa kibongo wameanza mpaka kuwapa misaada ya hospitals, hiyo ni baada ya kuanzisha brands zao na zikadominate soko.Which disposable income? Do you even have any restaurant chain that rival JAVA or ArtCaffe in number of chains? Bongolala mnapenda sana kuropokwa.
Hospitali 10 si mchezo, hapa kuna vichwa maji havinashtukia soko la Kenya , sipati picha wale jamaa wa kusindika UNGA wa sembe wakijua faida iliyopo huko watakavyosababisha vurugu ,maana moo UNGA wa sembe imebidi soko la ndani alikimbie tu
Nasubiria ruto aruhusu kina katarama wafanye kazi Kenya uone , mzee abood na shabiby watakavyoshusha units za kutosha
Kabisa. Hii Kenya yote inafaa ijae Tanzanian companies kila konaNasubiria ruto aruhusu kina katarama wafanye kazi Kenya uone , mzee abood na shabiby watakavyoshusha units za kutosha
There was supposed to be an office tower!
Those are Kenyan brands, and they are all over the country. Ulianza na kiherehere vile Kenya does not have disposable income, sasa umeshift to maskini wa fikra after proving you wrong.Sasa huoni kama nyinyi ndo maskini wa fikra , sisi hatutegei kuwa hizo brands tunatengeneza zetu . Mtakuja elewa baada ya muda, si unaona matajiri wa kibongo wameanza mpaka kuwapa misaada ya hospitals, hiyo ni baada ya kuanzisha brands zao na zikadominate soko.
Buda Kila region watu wanatengeneza brands zao tz, sisi hatuangalii majina kama nyinyi na ndo maana tukija migawaha imesambaa nchi nzima kwa Kila region. nyinyi mnakula kwa kutegemea brands sababu vyakula vibovu na mnapenda kuiga. Huku mtu kuna mtu na brand zake tu za kilocal kuuza mihogo makande na anauza kuliko hata hizo KFCThose are Kenyan brands, and they are all over the country. Ulianza na kiherehere vile Kenya does not have disposable income, sasa umeshift to maskini wa fikra after proving you wrong.
Dailynews.co.tz? 🤣🤣🤣🤣View attachment 3582676
View attachment 3582680
Sasa tanzania slum unatoa wap na wealth is distributed? huezi kuta mtu hana kitu kabisa ama kakosa food, Wote
unlike kenya Tanzania we have TASAF(TASAF | Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini - Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu) UKISHUKA under $3 then government takes care of your needs, uko kwenu kila mtu kivyake so if kuna mtu yupo kwenye extremely poverty no one cares, hence you have to fight for yourself
Nani kakuambia Artcaffe na Java are not Kenyan brands?Sasa huoni kama nyinyi ndo maskini wa fikra , sisi hatutegei kuwa hizo brands tunatengeneza zetu . Mtakuja elewa baada ya muda, si unaona matajiri wa kibongo wameanza mpaka kuwapa misaada ya hospitals, hiyo ni baada ya kuanzisha brands zao na zikadominate soko.
Hehe na hii ni ya TanzaniaDailynews.co.tz? 🤣🤣🤣🤣
Nani kakuambia Artcaffe na Java are not Kenyan brands?