Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's business, brands and business go hand in hand. Ukose elimu, ukose exposure, ukose pesa, enyewe we ni fala.
Buda brands unajenga mwenyewe yako , sio kutegemea franchise,
Brands zipo ila sio za kutegemea fastfood kama zenu ndo maana nimekupa mifano kuna brands za kama mihogo ( aslya mihogo)
Kazimoto porks and parks , zote hizo Zina majina makubwa Tena zinakaribiana na hizo KFC na Zina bei kubwa kuliko KFC ila hakuna siku KFC ataizidi kazimoto au aslay mihogo kwa mauzo🤣🤣🤣🤣
 
Wameipanda kabisa hadi ndani ya Dar is slum. Na si eti ni those small backyard gardens. They have acres of cassava plantations in Dar is slum 🤣🤣🤣
And they wonder why there are a lot of malnutrition in Tanzania.
 
kuna brands za kama mihogo ( aslya mihogo)
Kazimoto porks and parks , zote hizo Zina majina makubwa Tena zinakaribiana na hizo KFC na Zina bei kubwa kuliko KFC ila hakuna siku KFC ataizidi kazimoto au aslay mihogo kwa mauzo🤣🤣🤣🤣
Leta their last year revenue tulinganishe na either JAVA ma artcaffe.

This is Artcaffe 2025 revenue, sasa leta ya hiyo mihogo yenu😂😂

1000259838.jpg
 
Buda brands unajenga mwenyewe yako , sio kutegemea franchise,
Brands zipo ila sio za kutegemea fastfood kama zenu ndo maana nimekupa mifano kuna brands za kama mihogo ( aslya mihogo)
Kazimoto porks and parks , zote hizo Zina majina makubwa Tena zinakaribiana na hizo KFC na Zina bei kubwa kuliko KFC ila hakuna siku KFC ataizidi kazimoto au aslay mihogo kwa mauzo🤣🤣🤣🤣
Hio Kazimoto porks ina branches in major towns? 😂 😂 Your country is poor, franchising only thrives in Dar is a slum, the other towns ni vijiji.
 
Ungetaja kitu kingine but not mihogo. It is a poor man's food

View: https://vt.tiktok.com/ZS9uL8Y5y/
Sio maskini wa fikra kama nyinyi buana .
Leo Kila mgeni anayekuja tz anataka kula vitu chips mayai , yaan tayari tuna chakula flan hivi tumekibrand imekuwa kama ndo utambilisho wa taifa same tunavyofanya kwenye mihogo.
Hivi mgeni akija Kenya anapata utambulisho wa chakula gani? Githeri au muthokoi
 
Hio Kazimoto porks ina branches in major towns? 😂 😂 Your country is poor, franchising on thrives in Dar is a slum, the other towns ni vijiji.

Kwa sababu hutembei unahisi yuko dar tu , 🤣🤣🤣🤣 Buda nyinyi kaen chini tu ila ikija kweny kutengeneza vitu vyetu nyinyi mko nyuma sana .
Kazimoto ipo Dodoma , mwanza anafungua unataka nini sasa
 
Buda brands unajenga mwenyewe yako , sio kutegemea franchise,
Brands zipo ila sio za kutegemea fastfood kama zenu ndo maana nimekupa mifano kuna brands za kama mihogo ( aslya mihogo)
Kazimoto porks and parks , zote hizo Zina majina makubwa Tena zinakaribiana na hizo KFC na Zina bei kubwa kuliko KFC ila hakuna siku KFC ataizidi kazimoto au aslay mihogo kwa mauzo🤣🤣🤣🤣
Hawa kondoo Starbucks walivyofungua Coffee shop Dar Es Salaam wakaanza kulinganisha na ile Java yao ila hawataki sisi tulinganishe migahawa yetu ni hizo KFC. 😂😂😂
Hii ndo Starbucks coffee shop pekee East Affrica.
Na wala hatujitambi nayo maana local brands nzuri zipo kibao.
1777704807405.jpeg

1777704764856.jpeg
 
Kwa sababu hutembei unahisi yuko dar tu , 🤣🤣🤣🤣 Buda nyinyi kaen chini tu ila ikija kweny kutengeneza vitu vyetu nyinyi mko nyuma sana .
Kazimoto ipo Dodoma , mwanza anafungua unataka nini sasa
Kwa hivyo wana branches mbili. 😂 😂 😂
 
Hio Kazimoto porks ina branches in major towns? 😂 😂 Your country is poor, franchising on thrives in Dar is a slum, the other towns ni vijiji.

Lakini atleast hatutegemei eneo moja , vipi nikiendak isiolo mandera wajir naweza Kuta hata restaurant moja ya level hata normal aslay mihogo ? Umaskini ni fikra kama zenu ,imagine Leo mnajisifia eti kula kwa kutegemea brands 🤣🤣🤣
 
Kenyan brand Kenyan owned. With more than 29 restaurants chains.
Bigger number of chains than any restaurant in bongoslum.
1777705375538.jpg
 
Hio Kazimoto porks ina branches in major towns? 😂 😂 Your country is poor, franchising on thrives in Dar is a slum, the other towns ni vijiji.
Nimemwambia alete the annual revenues za hizo mihogo restaurants tuone.
 
Hawa kondoo Starbucks walivyofungua Coffee shop Dar Es Salaam wakaanza kulinganisha na ile Java yao ila hawataki sisi tulinganishe migahawa yetu ni hizo KFC. 😂😂😂
Hii ndo Starbucks coffee shop pekee East Affrica.
Na wala hatujitambi nayo maana local brands nzuri zipo kibao.
View attachment 3582756
View attachment 3582755
Hizi brands huwa zinachechemea sana maana hata hao wageni wakishaingia kitaa huwa hawarudi.
Umaskini ni fikra tu, 🤣🤣🤣
 
Lakini atleast hatutegemei eneo moja , vipi nikiendak isiolo mandera wajir naweza Kuta hata restaurant moja ya level hata normal aslay mihogo ? Umaskini ni fikra kama zenu ,imagine Leo mnajisifia eti kula kwa kutegemea brands 🤣🤣🤣
Munategemea Dar pekee, we already proved Mwanza has nothing na eti ni your 2nd biggest city. 😂 😂 😂
 
Akileta nitag. 😂😂😂
Wewe leteni ya hizo brands zenu? Toka lini private company ikawa required ku disclose mauzo yake? Sale utazipima kwa namba of visitors unapotembelea na labda takeaways , sasa KFC
Tunajua kwenu elimu hamna
[IFRS 19 Subsidiaries without Public Accountability: Disclosures] (issued May 2024, effective 2027, with earlier application permitted): This standard is designed specifically for subsidiaries that do not have public accountability. It permits them to apply the recognition and measurement requirements of full IFRS but with significantly reduced disclosure requirements.
Financial data yoyote ya private huwezi ipata mpaka wenyewe watake 🤣🤣🤣

Nyinyi na umaskini wenu vipi mnaweza tuletea mauzo ya mwaka kfc
 
Back
Top Bottom