Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The major difference between Kenyans and Bongostanis is Bongo y’all cowards . While a Kenyan would see an public issue and post it, you guys would rather walk away silently else you face the wrath of CCM goons . There is no difference between Bongo and North Korea when it comes to government rule. And you know that’s the truth …
Hujui kitu wewe
Ingia Facebook, Instagram, X, Jamii Forums pitia threads pitia topics uone watu wanavyo criticize government
Sasahivi watu hawaogopi. You're stuck in the 90s
 
Disposable income inaonekana kwa internal consumption sio matokeo ya kutembea kutafuta kazi.
Hakuna mkenya wakulipia ticket ya 12,000ksh ku watch football lakini Tanzania watu wanalipa.
Tanzania ndo inaongoza kwa importation ya luxury coaches kwa east Africa na central Kenya mlinunua nganya moja Nairobi nzima kelele.
Imagine kampuni moja inaweka order ya 50 units, hiyo ni total annual purchase ya Kenya nzima .
High consumption ya luxury Ina maana mko vizuri , sisi hatuhangaiki na kuagiza chakula.
Maskini nyinyi Buda.
Dunia ya Leo bado mna shule za chini ya mito 2026
Which disposable income? Do you even have any restaurant chain that rival JAVA or ArtCaffe in number of chains? Bongolala mnapenda sana kuropokwa.
 
I am piling up my research. I am now on Bongo social forums looking for ammunation … it’s going better than i even expected . There is plenty of material. It’s gonna get rough for you …😆😆
do all your research, you might as well take a trip to Tz and find an ugly place like pipeline 😂
 
Bongoslum kuna disposable income gani kijiji kama Mbeya hata haina hata Cinema.
Unatoa wap disposable income while hujafika uchumi wa juu? do you think Taking position 10 of extremely poor countries came by mistake? infact your the only country that rely 100% on loans apps and never repay the loan
 
apa sasa ndo unaweza kusema unaweka fainali

1777665688348.png
 
The major difference between Kenyans and Bongostanis is Bongo y’all cowards . While a Kenyan would see an public issue and post it, you guys would rather walk away silently else you face the wrath of CCM goons . There is no difference between Bongo and North Korea when it comes to government rule. And you know that’s the truth …
Acha kelele nyingi kama unaona tunaogopa kupost njoo bongo nenda kazipige picha uzilete apa alafu ukawaambie WHO kwamba kuna slums zimesahaulika ziko bongo, infact usiende tu dar nenda hata lindi ndan ndan kabisa uko theworst place you can think of tuletee picha ya slum
 
The major difference between Kenyans and Bongostanis is Bongo y’all cowards . While a Kenyan would see an public issue and post it, you guys would rather walk away silently else you face the wrath of CCM goons . There is no difference between Bongo and North Korea when it comes to government rule. And you know that’s the truth …
1777666261953.png


1777666480924.png

Sasa tanzania slum unatoa wap na wealth is distributed? huezi kuta mtu hana kitu kabisa ama kakosa food, Wote


unlike kenya Tanzania we have TASAF(TASAF | Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini - Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu) UKISHUKA under $3 then government takes care of your needs, uko kwenu kila mtu kivyake so if kuna mtu yupo kwenye extremely poverty no one cares, hence you have to fight for yourself
 
The major difference between Kenyans and Bongostanis is Bongo y’all cowards . While a Kenyan would see an public issue and post it, you guys would rather walk away silently else you face the wrath of CCM goons . There is no difference between Bongo and North Korea when it comes to government rule. And you know that’s the truth …
wewe andaa research yako utuletee

1777666908535.png


1777667100490.png


1777667174235.png
 
Back
Top Bottom