concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Munategemea Dar pekee, we already proved Mwanza has nothing na eti ni your 2nd biggest city. 😂 😂 😂
Sawa haya tuleteeni za wajiri mandera na garissa
Munategemea Dar pekee, we already proved Mwanza has nothing na eti ni your 2nd biggest city. 😂 😂 😂
Kuna hii local brand inakimbiza.
View attachment 3582764
Jamaa huwa anaongea Tu bila evidence.Akileta nitag. 😂😂😂
But you said they were selling more than JAVA and Artcaffe, what evidence did you have to make that conclusion?Wewe leteni ya hizo brands zenu? Toka lini private company ikawa required ku disclose mauzo yake?
Dominos, Coldstone, Papa John's, Burger King, Rocomamas zote haziko bongoslum. So what is your point?Hawa kondoo Starbucks walivyofungua Coffee shop Dar Es Salaam wakaanza kulinganisha na ile Java yao ila hawataki sisi tulinganishe migahawa yetu ni hizo KFC. 😂😂😂
Hii ndo Starbucks coffee shop pekee East Affrica.
Na wala hatujitambi nayo maana local brands nzuri zipo kibao.
View attachment 3582756
View attachment 3582755
We maku unajua TZ tuna hadi nyama choma festival toka miaka ya 90 huko,eti kenya only country known with nyama choma,fala hamna nchi inayochoma nyama kama TZ,maku wwSo you think Kenya hakuna nyama choma? Kenya is the only country known with nyama choma in East Africa. Nyinyi baking na mihogo yenu😂
Kwa hivyo Wajir, Mandera na Garissa ni kama Mwanza huko bongoslum. Wow, enyewe wewe ni fala.Sawa haya tuleteeni za wajiri mandera na garissa
Enyewe Mwanza hua kijiji. Local chain with 3 locations. 😂 😂 😂Kuna hii local brand inakimbiza.
View attachment 3582764
Sijawahi sikia Watanzania wakilalamika kwanini haziko Tanzania kwa sababu tuna local brands zinafanya vizuri ila nimeona post za wakunya , nywele ngumu wakilalamika mitandaoni kwanini Starbucks haipo ukunyani.Dominos, Coldstone, Papa John's, Burger King, Rocomamas zote haziko bongoslum. So what is your point?
Kuwa na location 3 haifanyi Mwanza kuwa kijiji, local brands ziko nyingi.Enyewe Mwanza hua kijiji. Local chain with 3 locations. 😂 😂 😂
Local brands gani, do have any local chain with more than 25 restaurants?Sijawahi sikia Watanzania wakilalamika kwanini haziko Tanzania kwa sababu tuna local brands zinafanya vizuri ila nimeona post za wakunya , nywele ngumu wakilalamika mitandaoni kwanini Starbucks haipo ukunyani.
Ni kijiji, kama local brands haziko huko hata international brands haziwezi patikana.Kuwa na location 3 haifanyi Mwanza kuwa kijiji, local brands ziko nyingi.
Kwamba ili iitwe local brand inatakiwa iwe na more than migahawa 25?Local brands gani, do have any local chain with more than 25 restaurants?
Kwamba hakuna local brands?Ni kijiji, kama local brands haziko huko hata international brands haziwezi patikana.
Una moyo Sana kupigizana kelele na hiyo kilaza.Kwamba hakuna local brands?
View: https://vt.tiktok.com/ZS9uL8Y5y/
Sio maskini wa fikra kama nyinyi buana .
Leo Kila mgeni anayekuja tz anataka kula vitu chips mayai , yaan tayari tuna chakula flan hivi tumekibrand imekuwa kama ndo utambilisho wa taifa same tunavyofanya kwenye mihogo.
Hivi mgeni akija Kenya anapata utambulisho wa chakula gani? Githeri au muthokoi
Wacha nimuweke ignore list. 😂😂😂Una moyo Sana kupigizana kelele na hiyo kilaza.
Tag me if he does thisShow me any data from WB where your poverty rate is less than Kenya?
Maybe local brands from Mwanza, ushatuonyesha a coffee chain in bongoslum with 3 locations. Why is Mwanza missing. 😂 😂 😂Kwamba hakuna local brands?