Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unachagua kaka vigezo. Vigezo umeweka mwenyewe. Nimeongelea Kigezo nambari 3 kama ulivyosema. Moshi ipo na miundo mbinu na services bora sana Mbeya haiwezi hata kukaribia. Je unakubaliana na mimi Mbeya inazidiwa miundombinu na Moshi?
Miundombinu kwako ni kama ipi kwanza tuanze , barabara ,majengo na kadhalika si ndo hivyo? Je una idadi ya barabara za Rami kwa mbeya versus Tanga, au unamaanisha vitu kama umeme? Bado hata tukisema tuangalie umeme bado tunaweza Fanya comparison ya matumizi ya umeme kwa mbeya versus Tanga hasa kwa eneo la t1 ili tuweze pata wapi kuna viwanda vingi au matumizi mengi yanayotokana na uzalishaji.
Kuhusu vitu kama hospitali au shule .
Moshi bado italabaki nyuma ndugu.
Hivi vitu usivipime kwa macho data zipo na Kila siku ziko updated.
 
Uchawi.

1000256360.jpg
 
Kaka sidhani kama unaifahamu Moshi. Moshi ndiyo inaongoza kwa kuwa na shule nyingi hapa Tanzania. Ndani ya manispaa ya Moshi Lami ni nyingi ukilinganisha na Mbeya. Hospital Moshi inaipita Mbeya. Hotels za kutosha moshi kuzidi Mbeya. Kaka moshi ipo na miundombinu bora kuzidi Mbeya. Tukija kwenye planning moshi imepangiliwa vyema kuzidi mbeya. Mbeya haipo planed

Tuje kwenye upande wa Tanga. Kwa upande wa Infrustructure and planning Tanga ipo mbele mno zaidi ya Mbeya. Ukija viwanda Tanga ipo na viwanda vikubwa japo kuwa huko mbeya kuna wafugaji lakini kiwanda kikubwa cha maziwa kipo Tanga nk.
 
Hii point yako ya mwisho imenichekesha sana.. eti “japokua huko Mbeya kuna wafugaji lakini kiwanda kikubwa cha maziwa kipo Tanga”. 😂😂😂 dah Mbeya inachekesha sana.
 
Kaka sidhani kama unaifahamu Moshi. Moshi ndiyo inaongoza kwa kuwa na shule nyingi hapa Tanzania. Ndani ya manispaa ya Moshi Lami ni nyingi ukilinganisha na Mbeya. Hospital Moshi inaipita Mbeya. Hotels za kutosha moshi kuzidi Mbeya. Kaka moshi ipo na miundombinu bora kuzidi Mbeya. Tukija kwenye planning moshi imepangiliwa vyema kuzidi mbeya. Mbeya haipo planed

Tuje kwenye upande wa Tanga. Kwa upande wa Infrustructure and planning Tanga ipo mbele mno zaidi ya Mbeya. Ukija viwanda Tanga ipo na viwanda vikubwa japo kuwa huko mbeya kuna wafugaji lakini kiwanda kikubwa cha maziwa kipo Tanga nk.
Mkuu unazijua main source ya mapato ya mbeya na Moshi au Tanga ni zipi ?
Unajua mbeya jijini mapato makuu hayatokani na kilimo Wala ufugaji.
Issue unangalia majengo tu ila ukija kwenye economic activities mbeya Iko mbali sana , ungesema arusha au mwanza sawa ila Tanga na Moshi bado sana .
 
Mimi huko natembelea na hii kazi ya tathmini tunaifanya sana naweza kukuambia mpaka mwakani au 2026/2027 inajikadiria kiasi gani Cha mapato ila wewe utategemea kupata data za mtandaoni.
Siri moja nikupe tu mwaka karibia majiji yote yata double mapato ila Tanga haiatavuka bil 27 ila mbeya itazid hapo
 
this ish can only be found in Tanzania. This one is a town in Tz. 👇🏾 moshi town.. mind you, these pictures are just showing half of the town
IMG_3914.jpeg
IMG_3985.jpeg
IMG_4568.jpeg
while this is a city in the same country.. Mbeya city 👇🏾
IMG_4558.jpeg
IMG_4559.jpeg
😂😂😂 Dah. Kama si sababu za kisiasa, ni sababu zipi zinazoipa hadhi Mbeya kuwa jiii.? President of China. Kulingana na vigezo alivyoleta jamaa zetu wa mbeya.?
 
Mimi huko natembelea na hii kazi ya tathmini tunaifanya sana naweza kukuambia mpaka mwakani au 2026/2027 inajikadiria kiasi gani Cha mapato ila wewe utategemea kupata data za mtandaoni.
Siri moja nikupe tu mwaka karibia majiji yote yata double mapato ila Tanga haiatavuka bil 27 ila mbeya itazid hapo
Aah hapa unaongea uongo bhana. Bandari ya Tanga inazidi na wala hairudi nyuma. Usitulinganishe na wauza mchele mkuu.
 
Hakuna jinsi lazima mafuta yasafishiwe Tanga mahali pipeline inapo land for local consumption and exports via marine tankers and trucks. It also makes business sense to rope in DRC oil via a short pipeline to the EACOP na pia South Sudanese oil. Pipeline ya Kenya itabidi iende Uganda Kwanza ikaungane na ya South Sudan ndio ishuke Hoima then Tanga.
maisha kwel hayana Formular, tanzania haina mafuta alafu Net exporter wa mafuta
 
Mkuu unazijua main source ya mapato ya mbeya na Moshi au Tanga ni zipi ?
Unajua mbeya jijini mapato makuu hayatokani na kilimo Wala ufugaji.
Issue unangalia majengo tu ila ukija kwenye economic activities mbeya Iko mbali sana , ungesema arusha au mwanza sawa ila Tanga na Moshi bado sana .
Kaka mimi sitaki kukukosea adabu. Japo kuwa unaipenda sana mbeya. Nafurahi maana vigezo uliviweka mwenyewe. Kigezo nambari moja tumekubaliana sasa naomba tuende kwenye vigezo hivi:

2. Shughuli za kiuchumi
Uchumi imara wenye biashara, viwanda, huduma, masoko, benki, na mapato ya ndani ya kutosha.
Uwezo wa kukusanya mapato ya kuendesha huduma za jiji.

3 .Miundombinu
Barabara za uhakika
Maji safi
Umeme
Hospitali
Shule
Mfumo wa taka
Huduma za usafiri

4. Mpango wa matumizi ya ardhi
Urban planning/master plan rasmi
Maendeleo yaliyopangwa badala ya makazi holela
 
this ish can only be found in Tanzania. This is one is a town in Tz. 👇🏾 moshi town.. mind you, these pictures are just showing half of the town View attachment 3580852View attachment 3580853View attachment 3580856while this is a city in the same country.. Mbeya city 👇🏾View attachment 3580857View attachment 3580858😂😂😂 Dah. Kama si sababu za kisiasa, ni sababu zipi zinazoipa hadhi Mbeya kuwa jiii.? President of China. Kulingana na vigezo alivyoleta jamaa zetu wa mbeya.?
Kaka naumia sana kaka. Mwenzetu hataki kabisa kukubaliana na hilo. Tumekubali kuwa Mbeya inaizidi moshi kwenye mapato kutokana na Moshi hakuna kilimo. Je vigezo vingine vipi?
 
Aah hapa unaongea uongo bhana. Bandari ya Tanga inazidi na wala hairudi nyuma. Usitulinganishe na wauza mchele mkuu.
Leta data Mimi napenda data sio maneno matupu. Kama ni bandari, unajua bandari ya mtwara Iko busy sana kupakia makaa ya mawe daily na mizigo mingine kuizid Tanga? Ila pamoja na yote mtwara haipngozi kimapato.
Unajua Kila semi ya makaa ya mawe inayoingia mtwara bandari inalipa almost 30,000 tsh kwa siku na kuna semi zaid ya 500 hushusha mizigo ?
Wewe usibishe kqa maneno leta data.
Mimi nishakuwekea ya Tanga versus mbeya kwa miaka mitatu na hakuna mwaka Tanga imeizid mbeya
 
Back
Top Bottom