Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The US$ 42 bln LNG plant that gives Kenya sleepless nights!
tanzania-gas-and-lng-project_seite_1-jpg.3580640

tanzania-gas-and-lng-project_seite_2-jpg.3580641

tanzania-gas-and-lng-project_seite_3-jpg.3580643
tanzania-gas-and-lng-project_seite_4-jpg.3580644
tanzania-gas-and-lng-project_seite_5-jpg.3580645

tanzania-gas-and-lng-project_seite_6-jpg.3580646
 
Naona Mathare hakuna maendeleo watu washaanza kubattle miji yao wenyewe, mwingine anaenda kupata refinery uko sjui tutapumua, Hio refinery ikishaanza kazi sasa si Tanga GDP itakua x10 Nairobi
TZ kila mji una thamani yake. Ni suala la muda kwa kila mji utafunguliwa.

Hata Lindi, Ruvuma, Mtwara kwasasa panafunguka.

  • Uranium project, processing
  • $42B has project
  • Mchuchuma, Liganga (Chuma, Coal)
  • Kilimo (Korosho, Ufuta)

Mnaona na viwanja vya ndege vimefunguliwa Sumbawanga.

Ukifika JNIA utakuta huko ndio kumejaa routes za wachina.

Mwanza ni logistic hub ya kibiashara kanda ya Ziwa.
  • Utalii (Mwanza International airport ikijengwa, maana kwenda Serengeti ni karibu
  • Kuna MV NEW Mwanza inataka kuanza routes za Uganda, Kisumu, Mwanza,
  • SGR, Fella Dry Port na Magufuli bridge to Rwanda, burundi

Huko Kigoma ndio kumechanganyia zaidi.

Meli zimejengwa kama Njugu na bandari kuchangamsha biashara na CONGO.

TZ hakuna Mkoa MZIGO. Ni issue ya vipaumbele tu.
 
Hivyo viwanda vya madini sijui migodi vipo vingapi Tz.? Dar kuna migodi.? Dar kuna kilimo.? Dar kuna mbuga za wanyama.? Mbona hiyo miji haikaribii maendeleo ya Dar hata robo.?

Unatakiwa ujue bandari na mafuta ni vichocheo vikubwa vya uchumi na maendeleo ya watu kuliko takataka yoyote. Kwahiyo nyie mtaendelea kuwa chini tu.
Ndio vitakuwepo Mikoani Sasa.Huko Dar kuli enjoy uwekezaji wa Serikali Wala sio sababu ya Bandari sijui depot's and such nonsense

Kuna Miji mingi ya Duniani ambayo Ina Bandari lakini sio Miji mikuu ya Uchumi kulinganisha na Hinterland.

Dom ndio itakuwa second Kwa Dar sio hivyo Vimji vyenu vinavyonuja umaskini
 
Wew kweli ni bazuka, Tanga iko na bomba la mafuta, oil refinery ikiisha, tukimaliza kuongeza berth 4 tu bandari + SGR . Miradi hii itaifanya Tanga iwe kimbilio la watz na foreigners. Ndio kwanza bomba la mafuta limeanza (under construction) tayari real estate imeanza kukua, vipi tukimaliza hii miradi.?

Unajua ni container deport ngapi zitajengwa Tanga .? Gari ngapi zitafuata mafuta Tanga.? Viwanda vingapi vitajengwa.? Yaani kwa kifupi Tanga itapitwa maendeleo na Dar tu hiyo miradi ikiisha.

Kwanza hiyo miradi ikijengwa kaskizini yote itaitegemea Tanga kuingiza mizigo yao, sijui ni trillions ngapi Tanga itakua ikipiga, hatutategemea chochote kutoka Dar from there on.
Sasa Bomba la Mafuta ndio nini labda? Tanga itaishia kuwa daraja au mlango ila sebule au chumba ni Miji mingine iliyochangamka na yenye uchumi.

Nyie mtaendelea kuwa maskini.Lindi hapo $42B inaenda kuingia je ndio kusema Lindi itakuwa na maendeleo kuzidi Tanga au Morogoro? 😂😂😂😂
 
TZ kioa mji una thamani yake. Ni suala la.muda kwa kola.mjinutafungukiwa.

Hata Lindi, Ruvuma, Mtwara kwasasa panafunguka.

  • Uranium project, processing
  • $42B has project
  • Mchuchuma, Liganga (Chuma, Coal)
  • Kilimo (Korosho, Ufuta)

Mnaona na viwanja vya ndege vimefunguliwa Simbawanga.

Ukifika JNIA utakuta huko ndio kumejaa routes za wachina.

Mwanza ni logistic hub ya kibiashara kanda ya Ziwa.
  • Utalii (Mwanza International airport ikijengwa, maana kwenda Serengeti ni karibu
  • Kuna MV NEW Mwanza inataka.kuamza routes za Uganda, Kisumu, Mwanza,

Huko.Kogoma ndio.kumechanganyia zaodo.

Meli zimejemgwa kama Njugu na bandari kuchangamsha biashara na CONGO.

TZ hakuna Mkoa MZIGO. Ni issue ya vipaumbele tu.
Ila Mwanza kuna kitu hakijakaa sawa! Aidha ni rushwa au siasa! Uwanja unachelewa sana!
 
Ila Mwanza kuna kitu hakijakaa sawa! Aidha ni rushwa au siasa! Uwanja unachelewa sana!
Mwanzo inaonekana walitaka kujenga kawaida tu, jengo dogo.

Baadaye wakaghairi kuwa Mwanza inahitaji International Airport. So inahitaji uwekezaji mkubwa zaidi kama JNIA, KIA au Msalato
 
Ndio vitakuwepo Mikoani Sasa.Huko Dar kuli enjoy uwekezaji wa Serikali Wala sio sababu ya Bandari sijui depot's and such nonsense

Kuna Miji mingi ya Duniani ambayo Ina Bandari lakini sio Miji mikuu ya Uchumi kulinganisha na Hinterland.

Dom ndio itakuwa second Kwa Dar sio hivyo Vimji vyenu vinavyonuja umaskini

Sasa Bomba la Mafuta ndio nini labda? Tanga itaishia kuwa daraja au mlango ila sebule au chumba ni Miji mingine iliyochangamka na yenye uchumi.

Nyie mtaendelea kuwa maskini.Lindi hapo $42B inaenda kuingia je ndio kusema Lindi itakuwa na maendeleo kuzidi Tanga au Morogoro? 😂😂😂😂
Bwana we teseka na kijiji ya mbeya. 😂😂😂 takataka. Ila Tanga is something.. mbeya ni upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom