Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka mashine za kukoboa mpunga na mashine za kupukuchua mahidi hazilipi gawiwo kwenye jiji? Je, vipi kuhusu maduka ya pembejeo hayalipi kwenye halmashauri? Tukiongea kilimo tunaongea mnyororo wa thamani kaka.
Ooh Kumbe kama kuna maduka mengi ya kilimo Ina maana ni biashara sio kulima mahindi ni sawa na kusema pwani inategemea kuuza cement kwa ajili ya mapato yake.
Kwenye category za mapato maduka hayadondokei kwenye mapato yatokanayo na kilimo.
Mashine ya kukoboa mahindi ni kiwanda vilevile ila tozo zake ni tofauti na mkulima.
Mashine zitalioa service levy , corporate tax ,sdl na hata hivyo kwa mbeya si kati ya majiji ambayo vyanzo vyake vikuu ni mashine bali ni kama leseni,service levy na mabango kama ilivyo kwa dar
 
Kaka ukiongea leseni, huwezi ukafanya chochote nchini Tanzania bila leseni kaka. Maduka ya kilimo yanawekwa sehemu ya wakulima kaka. Huwezi kwenda kuweka mashine ya kukoboa mpunga Manyara kaka.
Huko kuna magulio na minada mbalimbali ya mazao ya kilimo. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye hotels, Mbeya haiwezi kuizidi Moshi Hotels. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye viwanda, Mbeya haiwezi kuizidi Tanga viwanda. So chanzo kikuu cha mapato ya Mbeya ni kilimo.

Kubali kaka. Tunawaheshimu sana kaka kwa kutulisha
 
Kuna hotels kweli mbeya jamani.? Service lavy za viwanda.? Kweli mbeya kuna viwanda kaka.? Sheli.? Nadhani mbeya hivi vitu ni kama hakuna kabisa. Ujenzi.? Huu ujenzi ni ujenzi wa nini mkuu.?

Haya yote uliyoyasema bado yanatokea kwa uchache sana Mbeya ukilinganisha na Tanga au moshi hasa kwa kipindi hiki.

Anyways Mbeya ni kijiji kikubwa tu na sio vinginevyo.
Ndo maana nakuambia kabla ya kupinga unatakiwa uwe na evidence, sio maneno , vyanzo vikuu kwa karibia manispaa na majiji yote sio mazao ni service levy na leseni .
Na ndo maana nakuuliza hivi unajua mbeya DC imeizinguka mbeya jiji kwa pande zote na ndo inakusanya mapato ya mazao ?
Viwanda vikubwa vya mazao viko nje ya mbeya ,vingi viko mbalali na songwe huko.
Kabla ya kunipinga walau ungenipa vyanzo vikuu unavyovijua na data Mimi nimekueleza mbeya jiji mapato yake mengi hayatokani na mazao, bali ni kama ilivyo dar ,morogoro mjini .
Ingekuwa ni issue ya viwanda basi pwani ndo ingekuwa inaongoza taifa kwa sababu ndo inaviwanda vingi kuliko mkoa wowote Tanzania sasa hivi
 
Ke
1000018356.jpg
1000018357.jpg
1000018364.jpg
1000018361.jpg
1000018362.jpg
1000018367.jpg
1000018368.jpg
1000018366.jpg

1000018114.jpg
 
Attachments

  • 1000018360.jpg
    1000018360.jpg
    70 KB · Views: 22
Kaka ukiongea leseni, huwezi ukafanya chochote nchini Tanzania bila leseni kaka. Maduka ya kilimo yanawekwa sehemu ya wakulima kaka. Huwezi kwenda kuweka mashine ya kukoboa mpunga Manyara kaka.
Huko kuna magulio na minada mbalimbali ya mazao ya kilimo. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye hotels, Mbeya haiwezi kuizidi Moshi Hotels. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye viwanda, Mbeya haiwezi kuizidi Tanga viwanda. So chanzo kikuu cha mapato ya Mbeya ni kilimo.

Kubali kaka. Tunawaheshimu sana kaka kwa kutulisha
Ndo maana na Mimi nataka unielekeze mashamba ya mpunga yaliyopo mbeya mjini au jiji.
Nimekuambia kuna mbeya jiji na kuna mbeya DC, hapa tunaongelea mbeya jiji inayoanzia uyole mpaka mbalizi
 
Kaka ukiongea leseni, huwezi ukafanya chochote nchini Tanzania bila leseni kaka. Maduka ya kilimo yanawekwa sehemu ya wakulima kaka. Huwezi kwenda kuweka mashine ya kukoboa mpunga Manyara kaka.
Huko kuna magulio na minada mbalimbali ya mazao ya kilimo. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye hotels, Mbeya haiwezi kuizidi Moshi Hotels. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye viwanda, Mbeya haiwezi kuizidi Tanga viwanda. So chanzo kikuu cha mapato ya Mbeya ni kilimo.

Kubali kaka. Tunawaheshimu sana kaka kwa kutulisha
Niambie mashamba yako maeneo gani hapa
Screenshot_20260428-174437~2.jpg
 
Kaka ukiongea leseni, huwezi ukafanya chochote nchini Tanzania bila leseni kaka. Maduka ya kilimo yanawekwa sehemu ya wakulima kaka. Huwezi kwenda kuweka mashine ya kukoboa mpunga Manyara kaka.
Huko kuna magulio na minada mbalimbali ya mazao ya kilimo. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye hotels, Mbeya haiwezi kuizidi Moshi Hotels. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye viwanda, Mbeya haiwezi kuizidi Tanga viwanda. So chanzo kikuu cha mapato ya Mbeya ni kilimo.

Kubali kaka. Tunawaheshimu sana kaka kwa kutulisha
Jiji kama dar linaishi kwa leseni,parking,hotel levy na service levy na leseni na service levy ni 70% ya mapato ya dar .
Hakuna mazao hapa.
Hapa hatuzungimzii corporate tax ambayo inakusanywq tra
 
Vigezo hivi vinaitupa nje Mbeya, Mbeya ni shamba la nchi

2. Shughuli za kiuchumi
Uchumi imara wenye biashara, viwanda, huduma, masoko, benki, na mapato ya ndani ya kutosha.
Uwezo wa kukusanya mapato ya kuendesha huduma za jiji.

3 .Miundombinu
Barabara za uhakika
Maji safi
Umeme
Hospitali
Shule
Mfumo wa taka
Huduma za usafiri

4. Mpango wa matumizi ya ardhi
Urban planning/master plan rasmi
Maendeleo yaliyopangwa badala ya makazi holela
Wewe unaropoka na hujui unachoandika.

Kwa hiyo Kwa akili Yako finyu Mkoa wa 3 kuchangia Pato la Taifa unaweza kosa hayo uliyoandika?

Hujui unachoandika au unaleta ushabiki mbuzi so tusichoshane
 
Kaka ukiongea leseni, huwezi ukafanya chochote nchini Tanzania bila leseni kaka. Maduka ya kilimo yanawekwa sehemu ya wakulima kaka. Huwezi kwenda kuweka mashine ya kukoboa mpunga Manyara kaka.
Huko kuna magulio na minada mbalimbali ya mazao ya kilimo. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye hotels, Mbeya haiwezi kuizidi Moshi Hotels. Huwezi kusema Mbeya inakusanya kodi kutoka kwenye viwanda, Mbeya haiwezi kuizidi Tanga viwanda. So chanzo kikuu cha mapato ya Mbeya ni kilimo.

Kubali kaka. Tunawaheshimu sana kaka kwa kutulisha
Unaweza nitajia viwanda vitano vikubwa vilivyopo moshi ? Tulinganishe na mbeya jiji
 
Mbeya mjini shughuli yake kubwa ya uchumi ni ipi heb tuanze hapo kwanza.? Ukiskia mbeya kuizidi Tanga ni mkoa wa Mbeya vs mkoa wa Tanga na si Tanga city vs Mbeya city. Kwasababu Tanga city ina viwanda vikubwa tena vingine ni vikubwa nchi nzima, Tanga iko na bandari ya pili kwa ukubwa Tz. Hiyo mbeya city uchumi wake ni upi.? Chanzo chake cha mapato ni kipi.?
Ebu nitajie viwanda vyuo na shule kubwa Tano Tano zilizopo Moshi tulinganishe na mbeya
 
Basi wauza mchele wanatuzidi kimapato and it for obvious reasons.. ila ki miundombinu hakuna kitu, ni aibu tupu. Ni yale yale niliyosema Mbeya ni kijiji kikubwa chenye watu wengi.
Hata Dar kwani Kila sehemu Kuna miundombinu mizuri? Mbeya ni kubwa na haipewi attention sana na Serikali lakini haiondoi ukweli kwamba ni Jiji la Uchumi.

Wewe Kwa akili Yako tuu ya kawaida hujiulizi hakuna Bandari lakini Own source za Jiji mwaka Jana ni 28bln ,wewe unadhani zinatoka wapi?

Ujenzi wa Barabara njia 4 km 32 kutoka Uyole Hadi Songwe Airport unaendelea,Uyole-Songwe Bypass unaendelea ambapo vitaambatan na hii interchange pale Mafiat 👇 👇
Screenshot_20260207-074831.jpg

Tanga is Slum mtafika lini level hizo?
 
Mbeya mjini shughuli yake kubwa ya uchumi ni ipi heb tuanze hapo kwanza.? Ukiskia mbeya kuizidi Tanga ni mkoa wa Mbeya vs mkoa wa Tanga na si Tanga city vs Mbeya city. Kwasababu Tanga city ina viwanda vikubwa tena vingine ni vikubwa nchi nzima, Tanga iko na bandari ya pili kwa ukubwa Tz. Hiyo mbeya city uchumi wake ni upi.? Chanzo chake cha mapato ni kipi.?
Ni Mbeya CC sio Mkoa ndio maana Own source ya Mbeya ni 28bln vs Tanga CC 27bln na haijawahi izidi Mbeya.

1.Mbeya Ina small industries nyingi sana kuanzia vinuwaji vikali Hadi soft.

2.Mbeya Ina service industry kubwa kuliko Tanga kuanzia mabenki Hadi Huduma za Elimu.

3.Mbeya inapitiwa na malori mengi saaana nadhani unajua Tanzam ilivyo kuna Ushuru hapo.

4.Mbeya ndio soko kuu la bidhaa za Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ,wanakuja kuuzia hapo na makampuni makubwa yameweka depot's/viwanda zao hapo.

5.Ushuru wa Huduma yaani service levy ya viwanda,maleseni ya biashara nk nk ndio maana Leo hii Kuanzia Mbalizi(Mbeya DC) Hadi Uyole along Tanzam road ni eneo liko busy Kwa biashara na eneo la Mwanjelwa-Kabwe ni kama Kariakoo,Tanga hakuna kitu kama hicho.
 
😂😂😂😂 mbeya bwana. Kabwe ni kama kariakoo. Haya pitia hapo 2025/2026 report. 👇🏾
IMG_4571.jpeg
vs Tanga 👇🏾
IMG_4574.jpeg
makusanyo ya Tanga 2023/2024 ni makubwa kuliko makadirio ya makusanyo ya mbeya 2025/2026. kabwe sijui upuuzi gani kwa Tanga ni kama korogwe tu.
 
Hiyo ndiyo D by D policy kaka? Yaani Halmashauri ikusanye pesa kisha ipeleke TAMISEMI? Kaka kaka nakuita tena mara ya tatu.

TARURA ni Entity ya Serikali kuu ikiwa chini ya TAMISEMI kaka. TAMISEMI ni Serikali kuu inayosimamia Serikali za mitaa.
Kaka Serikali za mitaa zinaongozwa na madiwani. TARURA mara nyingi inapata pesa toka Road Fund na sio kwenye halmashauri. Hapo kaka ninakukatalia.

Sasa tueleze hizo pesa nyingi wanazokusanya hao mbeya zinaenda wapi? Je, wanagawana madiwani kwenye vikao vyao? Maana hatuoni maendeleo kwenye miundombinu hapo mbeya.
Ndo maana nakuambia hakuna unachojua, zile halmashauri zenye zaidi ya 10bil zinatakiwa zitoke pesa kwa ajili ya tarura mfano wa hizo ni dar zote Dodoma jiji,mbeya jiji arusha, mbeya jiji na mwanza jiji. Nyingine zote zinapata mgao kutoka serikali kuu na ndo maana kuna category A, B,C na D.
Mfano dar kimapato inajitosheleza hata zile oc( office charges) za mwez za idara hawapati .
 
😂😂😂😂 mbeya bwana. Kabwe ni kama kariakoo. Haya pitia hapo 2025/2026 report. 👇🏾 View attachment 3580922hizo kabwe sijui upuuzi gani kwa Tanga ni kama korogwe tu.
Shida Yako wewe ni uelewa duni.Unaelewa maana ya makisio?

Bahati nzuri umetaja Bajeti ya 2025/2026 ambayo tunaendelea nayo.

Haya Sasa Hadi Machi Kuna Bilioni 19,wewe Kwa Akili Yako Hadi June 2026 itakuwa bil.20.9? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DV-1vanjAuN/?igsh=YmsyNGJjaDM0cTNk

Mwisho ukitaka figures kamili tafuta Tamisemi wakupe Mapato ya mwaka 2024/2025 full financial year ndio Utajua .
 
😂😂😂😂 mbeya bwana. Kabwe ni kama kariakoo. Haya pitia hapo 2025/2026 report. 👇🏾 View attachment 3580922hizo kabwe sijui upuuzi gani kwa Tanga ni kama korogwe tu.
Taarifa haipatikani Instagram au google bali kwenye tovuti za tamisem au mawasilisho ya bunge. Ingependeza unge google na ya Tanga.
Kabla ya kupost unatakiwa ujue kuna mapato ya ndani na mapato yatokanayo serikali kuu yanayohusisha mishahara na oc
 
😂😂😂😂 mbeya bwana. Kabwe ni kama kariakoo. Haya pitia hapo 2025/2026 report. 👇🏾 View attachment 3580922vs Tanga 👇🏾View attachment 3580923makusanyo ya Tanga 2023/2024 ni makubwa kuliko makadirio ya makusanyo ya mbeya 2025/2026. kabwe sijui upuuzi gani kwa mbeya ni kama korogwe tu.
Screenshot_20260428-145346~2.jpg

Acha kujifurahisha . Ukitaka bajeti ya 2025/2026 bado mbeya ilikuwa na zaidi ya bil 25. Na lazima ujue mwaka 2025/2026 bado hujaisha wewe umetolea wap mapato wakati mwaka mpaka mwezi juni 30🤣🤣🤣🤣
 
Ndo maana nakuambia hakuna unachojua, zile halmashauri zenye zaidi ya 10bil zinatakiwa zitoke pesa kwa ajili ya tarura mfano wa hizo ni dar zote Dodoma jiji,mbeya jiji arusha, mbeya jiji na mwanza jiji. Nyingine zote zinapata mgao kutoka serikali kuu na ndo maana kuna category A, B,C na D.
Mfano dar kimapato inajitosheleza hata zile oc( office charges) za mwez za idara hawapati .
Kaka nimekuuliza swali simple tu. Niambie ni barabara ipi ya TARURA hapo mbeya inajengwa kwa bajeti ya Halmashauri?
 
Back
Top Bottom