Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dhahabu Kila Mkoa ipo Hadi Njombe suala ni scale.

Je wewe unataka Kila mkoa kuwe na Bandari?

Nakueleza kwamba Mbeya Ina Nguvu kubwa ya Uchumi hapa Tanzania na wewe unajua.

Mlikuwa mnalingia tugorofa haya kwenye picha unaona nini hapa 👇 👇

View: https://x.com/i/status/2042845853023412451

Ukisema Nguvu ya uchumi Mbeya inazidiwa na Shinyanga. Tena Shinyanga imezalisha mikoa miwili (Geita na Simiyu) But bado inaizidi Mbeya ki uchumi. But kwa maendeleo Tanga ipo juu ya mbeya
 
Haha wewe sema unaingisha kwenu tu ila ukweli kigoma Mchele hata UNGA uko bei ya juu kuliko hata dar
alafu huo mchele ndo ulikua unauzwa bei ndefu kuliko wote, nliupenda kwa sababu vipunje vyake ni virefu kuliko vimchele mwingine ila ulivopikwa ulitoka much better than zingine alafu upo more clear white
 
Vipimo hivi ndio vinasababisha matakatka kama mbeya kuitwa eti ni majiji na yenyewe. Miundombinu lazima iwe ni kipimo cha juu zaidi kwa mji kupewa hadhi ya ima town au city. Otherwise tutazipa hadhi our overpopulated villages/ over crowded villages tutazipa hadhi ya jiji. Mbeya is just a rondom overcrowded village.
Moja Cha kigezo Cha kuwa jiji ni idadi ya watu na mapato, huwez kujenga barabara au masoko bila kuwa na mapato makubwa , kwa Tanga nje ya Tanga mjini hakuna wilaya inayoweza zalisha hata bil 6 kwa mwaka kama mapato ya ndani sasa utajengaje miundombinu ? Hiyo ni moja ya dalili ya kutokuwa na economic activity.
Mbeya wilaya yenye mapato kidogo ni rungwe yenye 5bil .
Usidanganyike na majengo pia economic activity ni kipimo Cha kuwa jiji.
Ndo maana dar Ina mapato makubwa kuliko sehemu yoyote tz sababu ni economic hub
Sasa fikiria kama Tanga isingekuwa na bandari ingekuwa na hali gani kimapato , si ingekuwa chini ya bil 5 , je barabara wangejengaje?
Economic activity za Tanga ni bandari tu wakati mbeya Ina vyanzo vingi vya kuingiza mapato.
Ushafikiria mbeya ikiwa na dry port ya maana itakuwaje?
 
Kaka tukiongelea Population mikoa mingi inaizidi Mbeya lakini siyo majiji. Na ukingalia kwa mapato Shinyanga inaizidi Mbeya lakini siyo jiji:

Dar es Salaam5,383,728
Mwanza3,699,872
Tabora3,391,679
Morogoro3,197,104
Dodoma3,085,625
Kagera2,989,757
Geita2,977,608
Tanga2,615,597
Kigoma2,470,967
Mara2,376,315
Arusha2,356,255
Mbeya2,343,754
Shinyanga2,241,299
Simiyu2,140,497
Manyara1,892,502
Ruvuma1,848,794
Songwe1,644,353
Singida1,370,637
Kilimanjaro1,861,934
Pwani1,164,285
Mtwara1,634,985
Rukwa1,540,519
Njombe1,041,546
Iringa1,192,072
Lindi1,194,028
Katavi1,153,231
 
imewauma sasa wakina Teargass , ni kama haonekana tena online pamoja na nairobae and Nicxie

View: https://x.com/TheCitizenTz/status/2048772403895927003?s=20

Hakuna jinsi lazima mafuta yasafishiwe Tanga mahali pipeline inapo land for local consumption and exports via marine tankers and trucks. It also makes business sense to rope in DRC oil via a short pipeline to the EACOP na pia South Sudanese oil. Pipeline ya Kenya itabidi iende Uganda Kwanza ikaungane na ya South Sudan ndio ishuke Hoima then Tanga.
 
Video si ni hii.? Au kuna nyingine.? 😂😂😂 👇🏾
View: https://youtu.be/pw2Qy-ynvtY?si=sxoeexRhdMj7Ft9a. Usijui kijua ni kwamba miji yote Tz kuanzia majiji hadi zile zenye hazina hata hadhi ya town ziko na estates za kishua ka hii. 👇🏾
View: https://youtu.be/pw2Qy-ynvtY?si=sxoeexRhdMj7Ft9a.

That’s not even the good side of Elgon view estate. Hujaiona bado. There is another one baking at the moment. Sergoit Gated community and Golf resort.
 
Sasa tuambie kwanini Iringa siyo jiji? Also mikoa mingine huini hapo maana population ni kubwa sana kuzidi mbeya
Nimekwambia tafuta takwimu sahihi.

Iringa ni Kijiji Kilichongangamka hakuna Cha population Wala Mapato makubwa hata ya kukaribia Mufundi DC.

Kuwa na population kubwa pekee sio kigezo Kikuu Bali population na Mapato.

Mji kama Tanga una population ndogo chini ya Laki 3 inazidiwa hata na Sumbawanga ila ilibebwa na Mapato makubwa ya Jiji na makao Makuu ya Mkoa basi vinginevyo haitakiwi kuwa Jiji.

Mwisho Mbeya ni Mji wa 5 Kwa idadi kubwa ya watu Tanzania ikitanguliwa na Dar,Mwanza,Dom,Arusha ndio Mbeya.

View: https://x.com/i/status/2018729734306234818
 
Moja Cha kigezo Cha kuwa jiji ni idadi ya watu na mapato, huwez kujenga barabara au masoko bila kuwa na mapato makubwa , kwa Tanga nje ya Tanga mjini hakuna wilaya inayoweza zalisha hata bil 6 kwa mwaka kama mapato ya ndani sasa utajengaje miundombinu ? Hiyo ni moja ya dalili ya kutokuwa na economic activity.
Mbeya wilaya yenye mapato kidogo ni rungwe yenye 5bil .
Usidanganyike na majengo pia economic activity ni kipimo Cha kuwa jiji.
Ndo maana dar Ina mapato makubwa kuliko sehemu yoyote tz sababu ni economic hub
Sasa fikiria kama Tanga isingekuwa na bandari ingekuwa na hali gani kimapato , si ingekuwa chini ya bil 5 , je barabara wangejengaje?
Economic activity za Tanga ni bandari tu wakati mbeya Ina vyanzo vingi vya kuingiza mapato.
Ushafikiria mbeya ikiwa na dry port ya maana itakuwaje?
In fact Mikoa ya Kaskazini ya Nchi,Kati na Kanda ya Ziwa ukitoa pale Makao Makuu ya Mkoa huko kwingineko hakufai kuishi binadamu tofauti kabisa na Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ambayo maendeleo Yako Hadi Vijijini na Wilayani huko.

Nimewahi kufanya kazi Kilindi na Korongwe yaani ukiona maisha ya watu unasikitika kabisa au kule Kwa kin Aweso Pangani 😆😆😆😆😆

Lakini Mbeya hata ukija Busokelo mambo safi.
 
Nimekwambia tafuta takwimu sahihi.

Iringa ni Kijiji Kilichongangamka hakuna Cha population Wala Mapato makubwa hata ya kukaribia Mufundi DC.

Kuwa na population kubwa pekee sio kigezo Kikuu Bali population na Mapato.

Mji kama Tanga una population ndogo kuliko hata Sumbawanga ila ilibebwa na Mapato makubwa ya Jiji na makao Makuu ya Mkoa basi vinginevyo haitakiwi kuwa Jiji.

Mwisho Mbeya ni Mji wa 4 Kwa idadi kubwa ya watu Tanzania ikitanguliwa na Dar,Mwanza,Dom,Arusha ndio Mbeya.

View: https://x.com/i/status/2018729734306234818

Kwa mantik hiyo Mbeya pia
 
Kaka tukiongelea Population mikoa mingi inaizidi Mbeya lakini siyo majiji. Na ukingalia kwa mapato Shinyanga inaizidi Mbeya lakini siyo jiji:

Dar es Salaam5,383,728
Mwanza3,699,872
Tabora3,391,679
Morogoro3,197,104
Dodoma3,085,625
Kagera2,989,757
Geita2,977,608
Tanga2,615,597
Kigoma2,470,967
Mara2,376,315
Arusha2,356,255
Mbeya2,343,754
Shinyanga2,241,299
Simiyu2,140,497
Manyara1,892,502
Ruvuma1,848,794
Songwe1,644,353
Singida1,370,637
Kilimanjaro1,861,934
Pwani1,164,285
Mtwara1,634,985
Rukwa1,540,519
Njombe1,041,546
Iringa1,192,072
Lindi1,194,028
Katavi1,153,231
Screenshot_20260428-145346~2.jpg

Check mapato ya mbeya jiji ( own source revenue) hii ni kwa ngazi ya makusanyo ya jiji hatujafika tra
Screenshot_20260428-145542.png

Hii ndo shinyanga yako unayosema inaizid mbeya? Kweli kama wako hivi makusanyo ya tra yatakuwaje
 
Back
Top Bottom