stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,318
- 33,837
Kaka kigezo hicho tumekubaliana. Sasa twende vigezo vingine 2,3 na 4. Mbeya inakaaLeta data Mimi napenda data sio maneno matupu. Kama ni bandari, unajua bandari ya mtwara Iko busy sana kupakia makaa ya mawe daily na mizigo mingine kuizid Tanga? Ila pamoja na yote mtwara haipngozi kimapato.
Unajua Kila semi ya makaa ya mawe inayoingia mtwara bandari inalipa almost 30,000 tsh kwa siku na kuna semi zaid ya 500 hushusha mizigo ?
Wewe usibishe kqa maneno leta data.
Mimi nishakuwekea ya Tanga versus mbeya kwa miaka mitatu na hakuna mwaka Tanga imeizid mbeya
Basi wauza mchele wanatuzidi kimapato and it for obvious reasons.. ila ki miundombinu hakuna kitu, ni aibu tupu. Ni yale yale niliyosema Mbeya ni kijiji kikubwa chenye watu wengi.Leta data Mimi napenda data sio maneno matupu. Kama ni bandari, unajua bandari ya mtwara Iko busy sana kupakia makaa ya mawe daily na mizigo mingine kuizid Tanga? Ila pamoja na yote mtwara haipngozi kimapato.
Unajua Kila semi ya makaa ya mawe inayoingia mtwara bandari inalipa almost 30,000 tsh kwa siku na kuna semi zaid ya 500 hushusha mizigo ?
Wewe usibishe kqa maneno leta data.
Mimi nishakuwekea ya Tanga versus mbeya kwa miaka mitatu na hakuna mwaka Tanga imeizid mbeya
Kaka mimi sitaki kukukosea adabu. Japo kuwa unaipenda sana mbeya. Nafurahi maana vigezo uliviweka mwenyewe. Kigezo nambari moja tumekubaliana sasa naomba tuende kwenye vigezo hivi:
2. Shughuli za kiuchumi
Uchumi imara wenye biashara, viwanda, huduma, masoko, benki, na mapato ya ndani ya kutosha.
Uwezo wa kukusanya mapato ya kuendesha huduma za jiji.
3 .Miundombinu
Barabara za uhakika
Maji safi
Umeme
Hospitali
Shule
Mfumo wa taka
Huduma za usafiri
4. Mpango wa matumizi ya ardhi
Urban planning/master plan rasmi
Maendeleo yaliyopangwa badala ya makazi holela
Bongo tunafanya vitu vingi kwa siasa tu kaka. Mbeya haukapaswa kupewa hata hadhi ya Town, wafix kwanza miundombinu ndio wawafkirie kuwapa walau hadhi ya Town. Kwenye suala la hadhi ya jiji inafanaa kuwafkiria baada ya miaka 20 labda.Kaka kigezo hicho tumekubaliana. Sasa twende vigezo vingine 2,3 na 4. Mbeya inakaa
Mbeya jiji chanzo kikuu si mazao ,jielimishe kidogo hivi unajua kuna mbeya cc na mbeya DC .Basi wauza mchele wanatuzidi kimapato and it for obvious reasons.. ila ki miundombinu hakuna kitu, ni aibu tupu. Ni yale yale niliyosema Mbeya ni kijiji kikubwa chenye watu wengi.
Bongo tunafanya vitu vingi kwa siasa tu kaka. Mbeya haukapaswa kupewa hata hadhi ya Town, wafix kwanza miundombinu ndio wawafkirie kuwapa walau hadhi ya Town. Kwenye suala la hadhi ya jiji inafanaa kuwafkiria baada ya miaka 20 labda.
Mbeya mjini shughuli yake kubwa ya uchumi ni ipi heb tuanze hapo kwanza.? Ukiskia mbeya kuizidi Tanga ni mkoa wa Mbeya vs mkoa wa Tanga na si Tanga city vs Mbeya city. Kwasababu Tanga city ina viwanda vikubwa tena vingine ni vikubwa nchi nzima, Tanga iko na bandari ya pili kwa ukubwa Tz. Hiyo mbeya city uchumi wake ni upi.? Chanzo chake cha mapato ni kipi.?Mbeya jiji chanzo kikuu si mazao ,jielimishe kidogo hivi unajua kuna mbeya cc na mbeya DC .
Mbeya DC inaizunguka mbeya karibia pande zote na ndo inahusika na mazao , ni kama ilivyo dar kwa pwani .
Sasa wewe tuambie pale mbeya mjini mashamba ya Mchele yako wapi?
Hiyo ndiyo D by D policy kaka? Yaani Halmashauri ikusanye pesa kisha ipeleke TAMISEMI? Kaka kaka nakuita tena mara ya tatu.Sasa tuanzie hapo , kama shughuli za kiuchumi mbeya inaonesha kuwa inakusanya sana kuliko Tanga.
Kwa hivyo vigezo vingine nilitegemea uweke data.
Unajua mpaka Moshi inafanywa kuwa category b kwenye matumizi yake fedha ni sababu Ina mapato na hayatoshelezi shughuli za kuendesha manispaa ya Moshi.
Moshi inachangiwa na serikali kuu kujenga barabara za mitaani kupitia tarura ila mbeya inatakiwa kutoa pesa kwenda tarura kwa ajili ya barabara za ndani.
Category a zote hazipati hela ya tarura kwa ajili ya barabara, hivi unatakiwa uvijue kabla ya kujitapa .
Kaka mashine za kukoboa mpunga na mashine za kupukuchua mahidi hazilipi gawiwo kwenye jiji? Je, vipi kuhusu maduka ya pembejeo hayalipi kwenye halmashauri? Tukiongea kilimo tunaongea mnyororo wa thamani kaka.Mbeya jiji chanzo kikuu si mazao ,jielimishe kidogo hivi unajua kuna mbeya cc na mbeya DC .
Mbeya DC inaizunguka mbeya karibia pande zote na ndo inahusika na mazao , ni kama ilivyo dar kwa pwani .
Sasa wewe tuambie pale mbeya mjini mashamba ya Mchele yako wapi?
Wewe ndo utuambie kuwa chanzo chake kikuu ni Mchele umeitolea wapi?Mbeya mjini shughuli yake kubwa ya uchumi ni ipi heb tuanze hapo kwanza.? Ukiskia mbeya kuizidi Tanga ni mkoa wa Mbeya vs mkoa wa Tanga na si Tanga city vs Mbeya city. Kwasababu Tanga city ina viwanda vikubwa tena vingine ni vikubwa nchi nzima, Tanga iko na bandari ya pili kwa ukubwa Tz. Hiyo mbeya city uchumi wake ni upi.? Chanzo chake cha mapato ni kipi.?
Tunaomba utuambie kwa ushahidi barabara ipi imejengwa mbeya kutoka na mapato ya Halmashauri. Hii kaka umetupiga. For your information TARURA haipati pesa toka Halmashauri.Sasa Moshi inategemea pesa zitoke serikali kuu kwa ajili ya barabara utalinganisha na mbeya ambayo inatakiwa itoe pesa zake kwa ajili ya barabara za tarura. Vitu vingine mnapinga tu ila hiyo Moshi yako ukiipandisha kwenda category a hata madiwan itashindwa walipa
Kuna hotels kweli mbeya jamani.? Service lavy za viwanda.? Kweli mbeya kuna viwanda kaka.? Sheli.? Nadhani mbeya hivi vitu ni kama hakuna kabisa. Ujenzi.? Huu ujenzi ni ujenzi wa nini mkuu.?Wewe ndo utuambie kuwa chanzo chake kikuu ni Mchele umeitolea wapi?
Mimi nimekuambia vyanzo vikuu vya jiji la mbeya mazao hayapo bali ni vitu kama hotel levy, service levy za viwandani,sheli na ujenzi na ndo vyanzo vikuu vya manispaa na majiji yote.
Sasa kama Moshi inakusanya kidogo kuliko mbeya inamaana Ina hotel, viwanda ,maduka , parking chache kuliko mbeya.
Na ndo maana Moshi inadondokea kwenye category b ya manispaa sababu haijitoshelezi kuna vitu inabidi inchangiwe Toka serikali kuu kama bajeti ya tarura