ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,346
- 88,421
Kwa mantiki gani Sasa ,Mbeya ia vigezo vya Mapato/Uchumi na idadi ya watu.Kwa mantik hiyo Mbeya pia
Kwa mantiki gani Sasa ,Mbeya ia vigezo vya Mapato/Uchumi na idadi ya watu.Kwa mantik hiyo Mbeya pia
Mkuu naomba nitumie hii pdf yote nataka nione Mapato ya Hadi June 2024/2025View attachment 3580804
Check mapato ya mbeya jiji ( own source revenue) hii ni kwa ngazi ya makusanyo ya jiji hatujafika traView attachment 3580805
Hii ndo shinyanga yako unayosema inaizid mbeya? Kweli kama wako hivi makusanyo ya tra yatakuwaje
Tanzania, hadhi ya mji kuwa Manispaa au Jiji inaongozwa na Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) [Local Government (Urban Authorities) Act, Cap. 288], kwa idhini ya Waziri mwenye dhamana na Rais kwa hadhi ya jiji.Sasa tuambie kwanini Iringa siyo jiji? Also mikoa mingine huini hapo maana population ni kubwa sana kuzidi mbeya
Kigezo namba 3 kinaiodoa Mbeya kuwa jijiTanzania, hadhi ya mji kuwa Manispaa au Jiji inaongozwa na Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) [Local Government (Urban Authorities) Act, Cap. 288], kwa idhini ya Waziri mwenye dhamana na Rais kwa hadhi ya jiji.
Kwa kawaida, vigezo vikuu ni:
1. Idadi ya watu
Jiji: kawaida zaidi ya wakazi 500,000.
Manispaa: zaidi ya wakazi 80,000–100,000.
Mji mdogo (Town Council): zaidi ya wakazi 30,000.
2. Shughuli za kiuchumi
Uchumi imara wenye biashara, viwanda, huduma, masoko, benki, na mapato ya ndani ya kutosha.
Uwezo wa kukusanya mapato ya kuendesha huduma za jiji.
3 .Miundombinu
Barabara za uhakika
Maji safi
Umeme
Hospitali
Shule
Mfumo wa taka
Huduma za usafiri
4. Mpango wa matumizi ya ardhi
Urban planning/master plan rasmi
Maendeleo yaliyopangwa badala ya makazi holela
Una uhakika , vipi ebu kadownload data Toka nbs buana ujidhihirishe usidanganyweKigezo namba 3 kinaiodoa Mbeya kuwa jiji
Babu jinga mbona mnapenda kujipa umuhimu na TZ,runner gani wa TZ anayetrain ukunyan?Keep telling yourself that . I guess that’s why Tanzania runners flock to Eldoret for training and become pros. You should become their financial consultant and advise them to quit . Probably they can earn lots of money like you by being keyboard warriors in Tandale..😆😆😆
Ukiangalia kwa umakini Manispaa ya Moshi inaizidi Mbeya kwa vigezo karibia vyote.Una uhakika , vipi ebu kadownload data Toka nbs buana ujidhihirishe usidanganywe
Ila wewe Jamaa unachekesha.Kigezo namba 3 kinaiodoa Mbeya kuwa jiji
Bahati mbaya kigezo sio kimoja na vigezo vinabeba weights tofauti.Ukiangalia kwa umakini Manispaa ya Moshi inaizidi Mbeya kwa vigezo karibia vyote.
Kwenye miundombinu Moshi ipo juu sana kuizidi mbeya, huu ni ukweli
Vigezo hivi vinaitupa nje Mbeya, Mbeya ni shamba la nchiBahati mbaya kigezo sio kimoja na vigezo vinabeba weights tofauti.
By the way size ya Manispaa ya Moshi vs size ya Mbeya ni vitu vitu 2 tofauti.
Maspana ya Moshi Iko kwenye daraja la pili ambapo inatakiwa kutumia 60% ya mapato yake kwa ajili ya maendeleoa inamaaa mapato yake hayajafika bil 9.Ukiangalia kwa umakini Manispaa ya Moshi inaizidi Mbeya kwa vigezo karibia vyote.
Kwenye miundombinu Moshi ipo juu sana kuizidi mbeya, huu ni ukweli
Vyanzo vya mapato jiji au mbeya jiji sio kilimo , kilimo hakifanyiki mjini.lazima kwanza ujue mbeya jiji inaanzia wapi na kuishia wapi.Vigezo hivi vinaitupa nje Mbeya, Mbeya ni shamba la nchi
2. Shughuli za kiuchumi
Uchumi imara wenye biashara, viwanda, huduma, masoko, benki, na mapato ya ndani ya kutosha.
Uwezo wa kukusanya mapato ya kuendesha huduma za jiji.
3 .Miundombinu
Barabara za uhakika
Maji safi
Umeme
Hospitali
Shule
Mfumo wa taka
Huduma za usafiri
4. Mpango wa matumizi ya ardhi
Urban planning/master plan rasmi
Maendeleo yaliyopangwa badala ya makazi holela
Babu jinga mbona mnapenda kujipa umuhimu na TZ,runner gani wa TZ anayetrain ukunyan?
Mbona unachagua kaka vigezo. Vigezo umeweka mwenyewe. Nimeongelea Kigezo nambari 3 kama ulivyosema. Moshi ipo na miundo mbinu na services bora sana Mbeya haiwezi hata kukaribia. Je unakubaliana na mimi Mbeya inazidiwa miundombinu na Moshi?Maspana ya Moshi Iko kwenye daraja la pili ambapo inatakiwa kutumia 60% ya mapato yake kwa ajili ya maendeleoa inamaaa mapato yake hayajafika bil 9.
Mbeya Iko daraja la kwanza ambapo inatumia 70% ya mapato yake kwenye maendeleo Ina maana mapato yake ni zaidi ya bil 9 . Moshi bado Iko nyuma sana ndugu