Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwenyew ulidhani hiki ni kichaka chako cha kujicha eeh. .? 😂😂😂 Tanga iko na airport hata kabla ya JNIA tena sahii hadi air tz zinashuka. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/C-7zUtoChhJ/?igsh=eHN5MWFobzRmOGsx.

Tufanye uwanja mnao haya jengeni Barabara kwanza ndio mje tujadili uchumi 🔥🔥👇👇
Screenshot_20260323-082007.jpg
 
Sawa. Upo mkoa wa Mbeya lakini ki ukweli mbeya haiwezi kuifikia Tanga. Mimi siyo mtu wa Tanga lakini nimewahi ishi Tanga na Mbeya. Sijaua mpaka leo kwanini Mbeya iliitwa jiji. Inazidiwa na Moshi.
Moshi town
Iringa town
Morogoro town
Shinyanga town
Bukoba town
Geita town
Musoma town
Singida town

Hizi zote ni zaidi ya Mbeya. Sijui ni nani aliipa hiyo mbeya hadhi ya jiji, aibu tupu wanatutia, jiji gani linapitiwa na barabara moja ya lami mji mzima.? 😂😂😂
 
Moshi town
Iringa town
Morogoro town
Shinyanga town
Bukoba town
Geita town
Musoma town
Singida town

Hizi zote ni zaidi ya Mbeya. Sijui ni nani aliipa hiyo mbeya hadhi ya jiji, aibu tupu wanatutia, jiji gani linapitiwa na barabara moja ya lami mji mzima.? 😂😂😂
Ujiji unalipima kwa mapato na idadi ya watu
 
Mkimaliza bishana leten mapato ya Tanga na mbeya , mbeya jiji Ina bil28 Tanga Iko na 27bil kimkoa Tanga Iko na 60bil mbeya Iko na 90bil ,amueni nyinyi sasa nani yuko juu
Tanga Bado ni Kijiji sana tuu Kwa Mbeya,yaani hapo wanaponea hako kabandari 😆😆
Huwezi Kuta fairly distribution ya income Kwa Halmashauri za Tanga kama ilivyo Mbeya.

Kila kitu wanaitegemea pale mjini ndio maana kwingineko kumejaa mafukara tuu

View: https://www.instagram.com/p/DV-1vanjAuN/?igsh=YmsyNGJjaDM0cTNk
 
Ujiji unalipima kwa mapato na idadi ya watu
Vipimo hivi ndio vinasababisha matakatka kama mbeya kuitwa eti ni majiji na yenyewe. Miundombinu lazima iwe ni kipimo cha juu zaidi kwa mji kupewa hadhi ya ima town au city. Otherwise tutazipa hadhi our overpopulated villages/ over crowded villages tutazipa hadhi ya jiji. Mbeya is just a rondom overcrowded village.
 
Moshi town
Iringa town
Morogoro town
Shinyanga town
Bukoba town
Geita town
Musoma town
Singida town

Hizi zote ni zaidi ya Mbeya. Sijui ni nani aliipa hiyo mbeya hadhi ya jiji, aibu tupu wanatutia, jiji gani linapitiwa na barabara moja ya lami mji mzima.? 😂😂😂
Hata Kahama kaka kwa namna hiyo inaweza kuwa Jiji
 
Kaka unataka kila madini yanayochimbwa Mbeya yachimbwe Tanga. Hata hivyo

Mgodi wa Dhahabu wa Magambazi-Handeni,Tanga.


View: https://www.instagram.com/reel/DJgL0kXMvTj/

Dhahabu Kila Mkoa ipo Hadi Njombe suala ni scale.

Je wewe unataka Kila mkoa kuwe na Bandari?

Nakueleza kwamba Mbeya Ina Nguvu kubwa ya Uchumi hapa Tanzania na wewe unajua.

Mlikuwa mnalingia tugorofa haya kwenye picha unaona nini hapa 👇 👇

View: https://x.com/i/status/2042845853023412451
 
Back
Top Bottom