stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,508
- 34,084
Unapiga kelele nyingi sana na hako kamji kako ka kichovu kalikijaa tembe na umaskini hakana hata watu.Bwana we teseka na kijiji ya mbeya. 😂😂😂 takataka. Ila Tanga is something.. mbeya ni upuuzi mtupu.
Tanga malizenj kwanza nyumba za tembe harafu mkijenga airport ndio mje Sasa kushindana na the Mighty Mbeya.Miradi ya Tanga ikiisha heshima ya miji ya pwani itarudi kama ilivyokua zamani. Hizo takataka sijui mbeya sijui wapi zitabakia kuwa nyuma milele. 😂😂😂 mtapiga kelele tu kama jirani zetu kundustan.
alafu kweli Geza Ulole wakipiga dry port moja pale Kigoma si tunaongea mengine pale kigoma
View: https://x.com/Adambrv/status/2048821390380237033?s=20
Bora tusikuwe banned na WORLD ATHLETICS, izo zingine ni takataka tu, infact hatujai fika ata world cup since 1963!!!And finally FIFA is in, wale wa AFCON Teargass Nicxie mwaiofhawaii nairobae mtacheza AFCON kwenye skyboxes, its over for you
View attachment 3579538
View attachment 3579539
Maneno ya mkosajiBora tusikuwe banned na WORLD ATHLETICS, izo zingine ni takataka tu, infact hatujai fika ata world cup since 1963!!!
So nothing to loose
Our aim is world stage level,
Olympics los Angeles CA Iko njiani.
Iyo tu ndio itatuuma sio hizi zingine.
Unapiga kelele nyingi sana na hako kamji kako ka kichovu kalikijaa tembe na umaskini hakana hata watu.
Mkipata uwanja wa ndege uje kushindana na Mbeya Third largest Economy in 🇹🇿🇹🇿👇👇
View: https://youtu.be/AUXGjfCAjX8?is=O1vYzizA1fAes33N
Jinga wewe,Songwe Airport ni jina la uwanja kuwakikisha mto Songwe.Kumbe songwe region ni mbeya eeh.? 😂😂😂
sema ukiweka dry port pale kigoma, tutakosa ela nyingi sana, wafuate bana mizigo ndanbuild dry ports n leave the rest to set itself! Mambo ya kulazimisha landlocked countries wachukulie wapi should be on demand and supply basis! Kuna mikoa hata ukihamisha Dar port kwenda huko haitaweza kusimama kama yenyewe! Angalia miradi Kigoma imepewa (SGR, mabarabara, modern airport, upanuzi wa bandari na ujenzi wa bandari mpya, Grid connection na HPE Project, kilimo cha mawese na bado kelele online!) na bado hawaoni na watabaki wakihitaji kubebwa, sisi tuache tu na umwinyi wetu!