Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miradi iliyokusudiwa kujengwa Tanga ikiisha, itaifanya ule mji kuwa namba mbili kimaendeleo behind Dar.
Tanga hamna hata uwanja wa ndege harafu mnaongea nini?

Hakuna miradi yeyote ya maana zaidi ya maviwanda ambayo hayana maana kwenye maisha ya nyie wakazi wa Tanga.

Jikiteni kwenye Kilimo na ufugaji vinginevyo mtaishia kuwa anamba na kuishi kwenye tembe maisha Yenu yote.

Mwisho mtavuka GDP ya Mbeya na Mwanza lini Hadi muwe namba 2?
 
Hiyo refinery inaweza Kufikia huo mgodi na kiwanda chake?

Si ulinganishe, Trilioni 2 za direct Kwa Serikali kiwanda atapata hela Dangote.

Watu wa Tanga Traveller D &Co mpo? Mikoa 11 Yenye Nyumba Duni Tanzania: Zimejengwa na Kuezekwa kwa Udongo, Miti, Mabanzi na Nyasi. Imo Mikoa Maarufu ya Arusha, Kagera na Mwanza | JamiiForums Mikoa 11 Yenye Nyumba Duni Tanzania: Zimejengwa na Kuezekwa kwa Udongo, Miti, Mabanzi na Nyasi. Imo Mikoa Maarufu ya Arusha, Kagera na Mwanza
Wew kweli ni bazuka, Tanga iko na bomba la mafuta, oil refinery ikiisha, tukimaliza kuongeza berth 4 tu bandari + SGR . Miradi hii itaifanya Tanga iwe kimbilio la watz na foreigners. Ndio kwanza bomba la mafuta limeanza (under construction) tayari real estate imeanza kukua, vipi tukimaliza hii miradi.?

Unajua ni container deport ngapi zitajengwa Tanga .? Gari ngapi zitafuata mafuta Tanga.? Viwanda vingapi vitajengwa.? Yaani kwa kifupi Tanga itapitwa maendeleo na Dar tu hiyo miradi ikiisha.

Kwanza hiyo miradi ikijengwa kaskizini yote itaitegemea Tanga kuingiza mizigo yao, sijui ni trillions ngapi Tanga itakua ikipiga, hatutategemea chochote kutoka Dar from there on.
 
Tanga hamna hata uwanja wa ndege harafu mnaongea nini?

Hakuna miradi yeyote ya maana zaidi ya maviwanda ambayo hayana maana kwenye maisha ya nyie wakazi wa Tanga.

Jikiteni kwenye Kilimo na ufugaji vinginevyo mtaishia kuwa anamba na kuishi kwenye tembe maisha Yenu yote.

Mwisho mtavuka GDP ya Mbeya na Mwanza lini Hadi muwe namba 2?
Hivyo viwanda vya madini sijui migodi vipo vingapi Tz.? Dar kuna migodi.? Dar kuna kilimo.? Dar kuna mbuga za wanyama.? Mbona hiyo miji haikaribii maendeleo ya Dar hata robo.?

Unatakiwa ujue bandari na mafuta ni vichocheo vikubwa vya uchumi na maendeleo ya watu kuliko takataka yoyote. Kwahiyo nyie mtaendelea kuwa chini tu.
 
Miradi ya Tanga ikiisha heshima ya miji ya pwani itarudi kama ilivyokua zamani. Hizo takataka sijui mbeya sijui wapi zitabakia kuwa nyuma milele. 😂😂😂 mtapiga kelele tu kama jirani zetu kundustan.
 
Wew kweli ni bazuka, Tanga iko na bomba la mafuta, oil refinery ikiisha, tukimaliza kuongeza berth 4 tu bandari + SGR . Miradi hii itaifanya Tanga iwe kimbilio la watz na foreigners. Ndio kwanza bomba la mafuta limeanza (under construction) tayari real estate imeanza kukua, vipi tukimaliza hii miradi.?

Unajua ni container deport ngapi zitajengwa Tanga .? Gari ngapi zitafuata mafuta Tanga.? Viwanda vingapi vitajengwa.? Yaani kwa kifupi Tanga itapitwa maendeleo na Dar tu hiyo miradi ikiisha.

Kwanza hiyo miradi ikijengwa kaskizini yote itaitegemea Tanga kuingiza mizigo yao, sijui ni trillions ngapi Tanga itakua ikipiga, hatutategemea chochote kutoka Dar from there on.
Jamani huu uzi siyo wa Tanga vs Mbeya
 
Why are you so obsessed with stupidity…. You think racing is just about the race itself?… please I hope one day you make it to Eldoret. Just visit Elgon view estate ( home of Kenya athletes)… Elgon View estate is in the 5th largest city in Kenya but has more mansions than any estate in Tanzania ( including those in Dar). Watch a new YouTube video titled “ the villa is complete.”(Go concept construction. Elgon view estate).. keep your eyes beyond the mansion and watch the neighborhood… then come back and report
unaongea kwa uchungu sana 🤣 , BTW nairobi hata zije kumi hautaiweza you will end up posting the same same place GTC then thats all you have
 
The weird part about Bongostan is that you are only achieving modernity in recent times . As recently as the 90s , you were still in stone age . No wonder y’all get excited over trivial things. To make my case for example. I was watching a documentary about AirForce one ( US Presidential jet) and they had a story on President Bush trip to Tanzania. That was in 2008 . I noticed the new JNiA terminal was absent . Oh my goodness, I thought Bush landed literally in the bush of Serengeti. Before that mabati rolling mills terminal, your Airport was so primitive and a shameful sight . Yet JKIA Nairobi was built in 1978 . And you still wanna compete with Kenya !.. Lord have mercy…😆😆😆
alafu kibera itakua 2050 sio
 
As recently as 2008 and beyond, Tanzania had a kibanda for an Airport in Dar is a slum . When was your Any Time Cancellation Airline ( ATCL) revived again?🤣🤣🤣🤣🤣
their is Pain in this sentence 🤣🤣, Ongea vizuri bila kulia
 
Why are you so obsessed with stupidity…. You think racing is just about the race itself?… please I hope one day you make it to Eldoret. Just visit Elgon view estate ( home of Kenya athletes)… Elgon View estate is in the 5th largest city in Kenya but has more mansions than any estate in Tanzania ( including those in Dar). Watch a new YouTube video titled “ the villa is complete.”(Go concept construction. Elgon view estate).. keep your eyes beyond the mansion and watch the neighborhood… then come back and report
Video si ni hii.? Au kuna nyingine.? 😂😂😂 👇🏾
View: https://youtu.be/pw2Qy-ynvtY?si=sxoeexRhdMj7Ft9a. Usijui kijua ni kwamba miji yote Tz kuanzia majiji hadi zile zenye hazina hata hadhi ya town ziko na estates za kishua ka hii. 👇🏾
View: https://youtu.be/pw2Qy-ynvtY?si=sxoeexRhdMj7Ft9a.
 
Back
Top Bottom