Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka kigoma sio kwamba itaendelea kubaki nyuma, bali shida ilikuwa barabara na umeme. Imagine cement mpaka leo Iko 27,000 maendeleo yanapatikanaje kwa uhaba huo, kigoma kuna kipindi hata kupata soko la maharage ilikuwa shida.
Ila tembelea kigoma sasa hivi uone mabadiliko hasa baada ya umeme na barabara ya tabora kukamilika
mimi ni Mkigoma unajua ile mentality ya Ujiji bado ipo kaka! sasa imagine agenda ya kulazimisha landlocked kuchukua mizigo toka dryport Kigoma inatoka wapi!? Yani hatuoni fursa na haturidhiki! BTW kuna kiwanda cha saruji malagarasi pia sukari Kigoma!
 
Ni takataka mzee usilazimishe bumunda kuwa baga. To cut the long story short. This is an aerial view of your so called city 😂😂😂 hii ni kama mkinga village in Tanga city 👇🏾View attachment 3580713mji mzima uko na barabara moja ya lami 😂😂😂 hii ni kijiji iliyopitiwa na barabara. Kwasababu ya upumbavu wa watu wa huko mkalazimisha eti na enyewe ipewe hadhi ya jiji.
Kwa hiyo unalazimisha picha za kitambo au? 😂😂
20240903_174559.jpg
20240903_174552.jpg
20230615_130920.jpg
 
Wewe kula Mchele wa kilosa tu, wa shinyanga ni WA exportation, kuna bei nzuri ya Uganda kuliko kuleta dar.
hapana natumiaga wa kigoma, mm sinaga shida na bei yaani cha muhimu mchele wa maaana! mfano huu wa kigoma kuna kipindi tulifululiza, bonge moja la MCHELE
 
Back
Top Bottom