ndio maana yake! soma ujumbe wa Museveni hapo chini kwenye banter , the puppies r Tanzania and Kenya! Kuna sababu kwann natumia picha yake1 THE GUY IS STRATEGIST! Kenya has played Uganda dirty for years and he will not allow them control that oil! Juzi alikuja Tanzania akasaini makubaliano na mama, umejiuliza since them ma-deal mangapi Kenya imeingia king in advantage of Uganda? Hiyo ni Kneejerk reaction? Imeuza pipeline, imesaini ujenzi wa Naivasha-Malaba, kabla ya ku-flex muscles na kuenda Mozambique na kusaini LNG supply deal wakati Rostam ana mpango wa ku-extend gas pipeline kutoka Dar mpaka Mombasa na sasa Ruto anaongelea ujenzi wa refinery Tanga na si Mombasa, ni ameshikwa kende hana ujanja na inabidi a-play along! Ukimjua Mchawi wako hakupi shida, tanzania wala haija-respond, kuna kitu kinapikwa!
View: https://youtu.be/brrauuTUdSg?si=RPpRYPXsYWIN_xyZ
View: https://x.com/AfricaViewFacts/status/2048256008154140744