Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sema ukiweka dry port pale kigoma, tutakosa ela nyingi sana, wafuate bana mizigo ndan
Mimi ujue nashangaa mtu kutoka mkoa kama Kigoma, Mwanza au Dodoma kulalamika kuhusu miundombinu kipindi hiki ambacho budget kubwa inaelekezwa huko! Ni uvivu wa kufikiri! Tena na meli zinajengwa!
 
Bora tusikuwe banned na WORLD ATHLETICS, izo zingine ni takataka tu, infact hatujai fika ata world cup since 1963!!!
So nothing to loose
Our aim is world stage level,
Olympics los Angeles CA Iko njiani.
Iyo tu ndio itatuuma sio hizi zingine.
sasa those hazina ela, kwa mfano ukishinda marathon thats a personal achievement rather than a national achievement, For example if you win AFCON thats like 500 new people on the world stage

Your talking of coaches, players, media, health(Doctors inside the field), security ... the list Goes on! Alafu marathon glory ni ya siku moja, if you win Gold medal that fame roughly goes for a week imeisha, But football its generational

For example we know AFCON winners since the 90's and the list goes on, also Football is the biggest sports on Earth nothing comes close to football
 
Tanga malizenj kwanza nyumba za tembe harafu mkijenga airport ndio mje Sasa kushindana na the Mighty Mbeya.

View: https://youtu.be/E3DBRRrq0Dk?is=-p9giw59QwPtIpsu

Nimefurahi sana mtu kutoka huku upumbavuni ananipigia kelele. Mbeya/upumbavuni city 👇🏾😂😂😂
IMG_4558.jpeg
IMG_4559.jpeg
while Tanga city 👇🏾
IMG_3915.jpeg
IMG_3919.jpeg
IMG_4560.jpeg
IMG_4567.jpeg
mbeya ni hadhi ya vijiji kama Pangani Tanga or Korogwe. 😂😂😂 you ain’t even close to Tanga city. Mji uliopewa hadhi ya jiji kishabiki. Takataka 🚮
 
Mimi ujue nashangaa mtu kutoka mkoa kama Kigoma, Mwanza au Dodoma kulalamika kuhusu miundombinu kipindi hiki ambacho budget kubwa inaelekezwa huko!
unajua sio kila mtu ana spirit ya kufanya kitu kipya kama Biashara, kwahio lazima uende naopole pole, BTW mm mdau sana wa mchele wa kigoma, watu wanajua wa mbeya ila wa Kigoma funga kazi
 
Nimefurahi sana mtu kutoka huku upumbavuni ananipigia kelele. Mbeya/upumbavuni city 👇🏾😂😂😂View attachment 3580681View attachment 3580682while Tanga city 👇🏾View attachment 3580684View attachment 3580685View attachment 3580693View attachment 3580694mbeya ni hadhi ya vijiji kama Pangani Tanga or Korogwe. 😂😂😂 you ain’t even close to Tanga city. Mji uliopewa hadhi ya jiji kishabiki. Takataka 🚮
hili bifu lenu limeanza lini? mbna mshakua personal sana
 
unajua sio kila mtu ana spirit ya kufanya kitu kipya kama Biashara, kwahio lazima uende naopole pole, BTW mm mdau sana wa mchele wa kigoma, watu wanajua wa mbeya ila wa Kigoma funga kazi
Kigoma inajengwa aisee pitia


uone taasisi za elimu, masoko, vituo vya mabasi n.k. vinazojengwa!

Kuna mkoa kama Mara ungepewa hii miradi usingeona kampeni za ajabuajabu online wangeingia kazini kimya kimya!
 
unajua sio kila mtu ana spirit ya kufanya kitu kipya kama Biashara, kwahio lazima uende naopole pole, BTW mm mdau sana wa mchele wa kigoma, watu wanajua wa mbeya ila wa Kigoma funga kazi
Kaka mchele wa Shinyanga unaujua? Huo unauzwa Congo, Burundi, Rwanda, Uganda n.k. Waganda mpaka walianza kulalamika kuwa mchele wa Tanzania mzuri sana unaua soko la locals.
 
build dry ports n leave the rest to set itself! Mambo ya kulazimisha landlocked countries wachukulie wapi should be on demand and supply basis! Kuna mikoa hata ukihamisha Dar port kwenda huko haitaweza kusimama kama yenyewe! Angalia miradi Kigoma imepewa (SGR, mabarabara, modern airport, upanuzi wa bandari na ujenzi wa bandari mpya, Grid connection na HPE Project, kilimo cha mawese na bado kelele online!) na bado hawaoni na watabaki wakihitaji kubebwa, sisi tuache tu na umwinyi wetu!
Kaka kigoma sio kwamba itaendelea kubaki nyuma, bali shida ilikuwa barabara na umeme. Imagine cement mpaka leo Iko 27,000 maendeleo yanapatikanaje kwa uhaba huo, kigoma kuna kipindi hata kupata soko la maharage ilikuwa shida.
Ila tembelea kigoma sasa hivi uone mabadiliko hasa baada ya umeme na barabara ya tabora kukamilika
 
Ni takataka mzee usilazimishe bumunda kuwa baga. To cut the long story short. This is an aerial view of your so called city 😂😂😂 hii ni kama mkinga village in Tanga city 👇🏾
IMG_4558.jpeg
mji mzima uko na barabara moja ya lami 😂😂😂 hii ni kijiji iliyopitiwa na barabara. Kwasababu ya upumbavu wa watu wa huko mkalazimisha eti na enyewe ipewe hadhi ya jiji.
 
Back
Top Bottom