Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi hakuna uswahilini?Africa Ni ileile acheni kujitekenya
Africa imebadilika kaka na bado nyie mko kikundi cha nchi ambazo zimelemewa na umasikini na kuivuta chini Africa kiuchumi na maendeleo.
 
Kichaa sio lazima utembee uchi, kwanza neno wadosi huku kwetu unamaanisha wahindi, huko kwenu sijui unamaanisha nini, ila mitaa ambayo inakaa diplomats na wazungu ni Oysterbay na Masaki, hiyo ndiyo mitaa ya level ya juu kabisa, ukishuka hapo ni Mbezi beach ambayo 80% ni watanzania wenye kipato middle na 20% high income, zilizobaki zote nilizokutajia ni 95% middle income earners.
So Dar mitaa za level ya juu kabisa ni mbili? Nairobi ziko sita au saba ndo ufikie mitaa zungine kama Westlands, hurligham na zinginezo. I think what you call upper midlle class ndio lower middle class hapa Nairobi. Yote tisa, kumi ni kwamba Nairobi has better estates than Dar na hiyo mnafaa tu kukubi. Sio vibaya kukubi vitu zingine
 
So Dar mitaa za level ya juu kabisa ni mbili? Nairobi ziko sita au saba ndo ufikie mitaa zungine kama Westlands, hurligham na zinginezo. I think what you call upper midlle class ndio lower middle class hapa Nairobi. Yote tisa, kumi ni kwamba Nairobi has better estates than Dar na hiyo mnafaa tu kukubi. Sio vibaya kukubi vitu zingine
sio mimi ni world bank na povu ruksa😀😀

World Bank values Dar’s real estate $3b more than Nairobi

mufanye kazi sana kuikamata dar, kama mawazo yenu yaliganda ndio ile dar ya 90s basi mushachelewa
 
The real Zanzibar where locals stay
a366d9f207777f957b582593a8bbd6c4.jpg
f15d95e38c9c34081132fd10288c735e.jpg
a7c1fead6b37cbd18c6b154d7a3b264c.jpg
5f70343b34e9490931ab9bded48ecd62.jpg
9901c7b88d146e519f552250c667bcf9.jpg
3bf43cb1a9996fb07fa0400db2ae229e.jpg
543ad59e90b52d9b488638e39378dc06.jpg
adb8d8b4a0e55556f243e31c041e8e7f.jpg
 
google is ur friend😀😀😀😀 hunilipi mshahara mm kama unamaumivu sana na hasira shika transformer ya kenya power
Sema tuuu hamna hizo picha siyo kwamba tutakumeza wewe kubali Mkono chini yaishe.
 

Uhuru Kenyatta angefikia japo nusu ya utendaji kazi wa uncle Magu, Kenya isingepata njaa hata siku moja, sikiliza chuma hicho.
 
Kwa real estate hamtugusi hata wewe unajua hilo. how can you have a higger real estate value na hizo mikebe za nyumba za uswahili mnaita nyumba? Halafu ile link ya Dar port ilifikaje? Bado nalisubiri


world bank
Kwa real estate hamtugusi hata wewe unajua hilo. how can you have a higger real estate value na hizo mikebe za nyumba za uswahili mnaita nyumba? Halafu ile link ya Dar port ilifikaje? Bado nalisubiri
povu ruksa tena lia vizuri😀😀😀😀😀
E809DAB1-45F3-4D51-A95E-C024336F6571.jpeg
 
The real Zanzibar where locals stay
a366d9f207777f957b582593a8bbd6c4.jpg
f15d95e38c9c34081132fd10288c735e.jpg
a7c1fead6b37cbd18c6b154d7a3b264c.jpg
5f70343b34e9490931ab9bded48ecd62.jpg
9901c7b88d146e519f552250c667bcf9.jpg
3bf43cb1a9996fb07fa0400db2ae229e.jpg
543ad59e90b52d9b488638e39378dc06.jpg
adb8d8b4a0e55556f243e31c041e8e7f.jpg
Am sure most people residing in this shanties have never seen a swimming pool in real life just because some of their leaders are sleeping on their job and misplaced priorities such as building a 90k capacity stadium in a Country where only a mere 24% have access to electricity.
 
So there is an Interchange in Virginia and an Interchange in Kisumu. Is there one in Mwanza or Dar es salaam and if so please post a picture of it.
I guess America's capital, Washington DC has nothing on Kisumu let alone Nairobi! I guess Your dreams are "valid" or should we say stupid?
 
Back
Top Bottom