ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ukipata unitag i will be waiting😀😀😀😀lol........just Google all the gated communities in Kenya
ukipata unitag i will be waiting😀😀😀😀lol........just Google all the gated communities in Kenya
hatari sana

One of a kind!! What can i say to fellow who thinks Kisumu and washington Dc are on the same track?!!Washington DC is fed by an interchange, Kisumu and Nairobi has an Interchange therefore both countries are in the same track. Does Tanzania have an existing one so far?
You don't have single interchange, you won't have a single one in near future, keep on dreaming to console yourselves.Washington DC is fed by an interchange, Kisumu and Nairobi has an Interchange therefore both countries are in the same track. Does Tanzania have an existing one so far?
Fedhea ni kufa kwa njaa na kulala ndani ya mabanda ya nguruwe huku dunia ikianza kuwaogopa kwa kuwa na deni lisilolipikammeanza kuunda estates angalau...that's good ......mkiunda kama estates elfu moja kama hizo mnaweza kujitoa katika kundi la fedheha
Mnaanza kupoteza mwelekeo kwasababu kila eneo mnalogusa lipo joto, picha kama hizi unaxoweka zisozokuwa na uthibitisho kwamba ni nchi gani, zimejaa tunaweza kuzitafuta na kuziwezka na kusema hii ni Kenya, Tanzania hatuwezi kuwa na miji kama hii, only Kenya ndiyo utapata maisha duni kama hayo na zaidisiliamshi dude
![]()
![]()
MasakiSo Dar mitaa za level ya juu kabisa ni mbili? Nairobi ziko sita au saba ndo ufikie mitaa zungine kama Westlands, hurligham na zinginezo. I think what you call upper midlle class ndio lower middle class hapa Nairobi. Yote tisa, kumi ni kwamba Nairobi has better estates than Dar na hiyo mnafaa tu kukubi. Sio vibaya kukubi vitu zingine

GDP yao hawa imepikwa mpaka ikaungua, na siku zote ninawaambia middle economy yao iko kwenye makaratasi😀😀😀😀 dhiki zimewaganda kama kupe kwenye ngozisay rip to the lost soul.
![]()
you better live in an ldc country where you can have a job before you turn 30 than living with no job in a "mido ekonomi" country.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
GDP yao hawa imepikwa mpaka ikaungua, na siku zote ninawaambia middle economy yao iko kwenye makaratasi😀😀😀😀 dhiki zimewaganda kama kupe kwenye ngozi

Of course they both belong to non LDC countries that's for sure and an undisputable fact😀😛🙁One of a kind!! What can i say to fellow who thinks Kisumu and washington Dc are on the same track?!!
Hivi kumbe miraa inastimu kali hivi kaaaaOf course they both belong to non LDC countries that's for sure and an undisputable fact😀😛🙁
They belong to a country where people still die of hunger,a country which receives aid donations to feed its peopleOf course they both belong to non LDC countries that's for sure and an undisputable fact😀😛🙁
Usitutajie ukubwa wa Dar hapa. Sote tunajua Dar ni kubwa kushinda hata New York in square kilometers but you can't compare that glorified village with the mighty New York simply because it has a bigger area.The same way Dar is three times bigger than Nairobi but Nairobi is way better than that slummy village you call a city. There are certain facts that will never change however much you try to sugarcoat themWewe ni mchezaji, wewe ni referee, wewe umemaliza kila kitu. Ukubwa wa Dar, ni mara tatu ya Nairobi, kwahiyo nikisema Masaki, inaweza kuwa ni 40% ya Nairobi, wewe unaangalia idadi ya sehemu bila kujali ukubwa wa eneo.
Tanzania malengo yetu ni kuongeza middle income na sio higher income, ndiyo sababu nikakutajia maeneo mengi sana ya middle income, kule Oysterbay na Masaki nilitaja Diplomats na wazungu
Kumbuka kwamba, Tanzania hatuna tofauti kubwa ya kiuchumi, ndiyo sababu hatuna Masikini wengi kama Kenya. Kitu ambacho huwa ninawadharau sana wakenya ni kuona ni kwa jinsi gani mnavyosifia kuwepo kwa matajiri wachache wakati wananchi wenu wengi zaidi wanaishi kwenye slums za kutisha, ingekuwa hizo slums zipo Tanzania, tungejisikia vibaya sana kushabikia maisha ya matajiri wachache wakati millions mwananchi anaishi maisha ya ajabu na aibu kama hizo slums za Kenya. Are you Kenyans mentally ok?
Kijitonyama tumeona picha yake hapa mara mingi sana na most of the time you bring those pictures mkijaribu kucompare kijitinyama na upperhill. Leo tena imekuwa residential area?Masaki
Oysterbay
Mbezi beach
Mikocheni
Izo ni zile super kabisa ata maboss wakimataifa hukaa, Upanga ni maghorofa sana sana sasa wengi hupenda kukaa uko ni watu wa Asia kwa sana japo ba penyewe kumeiva vyema
Bahari beach
Kigamboni
Kijitonyama
Sinza
Madale
Kimara
Mbezi luis
Chang'ombe nk uko ni Middle kwa sana