ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,676
- 90,163
Hosting feee mshamaliza ?Deni gani nyamwezi?
it was a matter of time tu, sjui mtapeleka wap hio stadiums na deni
View: https://x.com/Kvaati/status/2034912518443831580?s=20
Kwani hawa wajinga huwa hawajifunzi.Motsepe we are ready bana 🤣 🤣 🤣 , seats na light tutamalizana kwenye fees, btw contractor kakimbia
View attachment 3560789
Hawa wajinga mwaka jana mwishoni serikali yao ili sponsor bloggers online kuandika Tanzania inyanganywe kuhost AFCON wapewe Rwanda.Hosting feee mshamaliza ?
Vipi mkandarasi nyayo mbona katoa vifaa kwa sababu ya madeni ambayo hamjamlipa
Yule jamaa wa Ukunduni anayepiga kelele yuko wapi?
level ya Talanta!Hourly Dose
View attachment 3561023