stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,832
- 15,746
Anayetia huruma ni huyu hapamnatia Huruma 🤣 🤣 its over for you
Hii ni kinyamwezi ama kiingereza umeandika hapa?most big companies only open regional offices and not operational companies,
Lakini hajashindwa kulipa deni ? Na bado anaendelea kujengaCha kushangaza ni kwamba anayeongea haya yote ameenda kutembeza bakuli uchina kwa minajili ya AFCON 😂
Uzuri tutakua hapa Mungu akitujalia uhai. Hii story ya AFCON mibongolala yametabiri mabaya kwa upande wa Kenya since day one. Baada ya kupewa za uso, Kuna waliotaliki uzi hawataki kutia pua humu tena. Akina Ichoboy na watchman Thebest007 even swore in the name of God kwamba Talanta haitajengwa. They even profecized that we'll never host CHAN. Leo wako wapi? Walikosa hamu na uzi kabisa wanachungulia dirishani. You won't be any differentlabda slum finals 🤣
i understand the pain your going through but you have no any other choice, its over for youAnayetia huruma ni huyu hapa View attachment 3560778
Deni gani nyamwezi?Lakini hajashindwa kulipa deni ? Na bado anaendelea kujenga
Ikifika thursday ntakua nshajua final decision and i will tell you kama it wont happen or,i will need us to bid 5M Tsh on my side and you put the same amount and we give it to someone to hold itUzuri tutakua hapa Mungu akitujalia uhai. Hii story ya AFCON mibongolala yametabiri mabaya kwa upande wa Kenya since day one. Baada ya kupewa za uso, Kuna waliotaliki uzi hawataki kutia pua humu tena. Akina Ichoboy na watchman Thebest007 even swore in the name of God kwamba Talanta haitajengwa. They even profecized that we'll never host CHAN. Leo wako wapi? Walikosa hamu na uzi kabisa wanachungulia dirishani. You won't be any different
Uganda na Tanzania wote washalipa $30M, its only kenya failed and badly contractor wa kasarani kaondoka kaacha uwanja, and per reports ata speed ya talanta imepungua not much is happening pale, mpaka leo the same seats namba zilizowekwa hazijaongezekaDeni gani nyamwezi?
cha muhimu umeelewa, i amnot from BritainHii ni kinyamwezi ama kiingereza umeandika hapa?
Wewe masikini tunza hizo uje nazo Nairobi kutazama finals Talanta mwakani. Life isn't cheap here as it is in your glorified fishing village. That money will come in handy for you next yearIkifika thursday ntakua nshajua final decision and i will tell you kama it wont happen or,i will need us to bid 5M Tsh on my side and you put the same amount and we give it to someone to hold it
Sasa hosting rights fee imekuwa deni? Mibongolala yanatia huruma sanaUganda na Tanzania wote washalipa $30M, its only kenya failed and badly contractor wa kasarani kaondoka kaacha uwanja, and per reports ata speed ya talanta imepungua not much is happening pale, mpaka leo the same seats namba zilizowekwa hazijaongezeka
Sijaelewa chochote hapocha muhimu umeelewa, i amnot from Britain