Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

New Konza city solar manufacturing plant
1000026793.jpg

1000026794.jpg
1000026795.jpg
 

sema itakua magoli sana, imagine unatoka moro unaenda mpaka kigali, bujumbura, kampala & kinshasha kwa treni non stop alafu unafika on time, izi cross border zitakua magoli sana

Hata cost ya kutuma mizigo nayo itakua nzuri tu, itakua the only one in afrika unaweza piga cross border nchi zote 4 in high speed train, itakua worse kwa wanaotaka kuja bongo from mathare as they will have to drop at the border
 
Vile ichoboy ameanza kuroast Tanzania ndio nimedhibiti ile kitu mimi husema. Hawa watu wanatufuatilia ila sisi hatuwafuatilii. Huu uozo wao ni wa juu hata kushinda wetu yet wapo busy kupost wetu. Ni kama wanatufualia kuliko wanvyojifuatilia. 🤣 🤣 🤣
Napenda vile ichoboy01 anawavua nguo😂😂🤣
 
Back
Top Bottom