Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🔥🔥
1000111373.jpg
1000111370.jpg
1000111371.jpg
 
Motsepe we are ready bana 🤣 🤣 🤣 , seats na light tutamalizana kwenye fees, btw contractor kakimbia
View attachment 3560789
Kwani hawa wajinga huwa hawajifunzi.
SGR wamejengewa kwa gharama kubwa bila sababu za msingi.
Na sasa wanajengewa uwanja kwa gharama kubwa bila sababu za msingi.
Na huwezi waona walijadili ufisadi wanaofanyiwa, poor kunyans. 😂😂😂
 
Hosting feee mshamaliza ?
Vipi mkandarasi nyayo mbona katoa vifaa kwa sababu ya madeni ambayo hamjamlipa
Hawa wajinga mwaka jana mwishoni serikali yao ili sponsor bloggers online kuandika Tanzania inyanganywe kuhost AFCON wapewe Rwanda.
Cha kushangaza pamoja na kelele zote hizo kumbe hawajalipa hosting fee. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom