stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,070
- 39,127
si ndo vizuri walipe madeni hewa, mpaka wanyookeKwani hawa wajinga huwa hawajifunzi.
SGR wamejengewa kwa gharama kubwa bila sababu za msingi.
Na sasa wanajengewa uwanja kwa gharama kubwa bila sababu za msingi.
Na huwezi waona walijadili ufisadi wanaofanyiwa, poor kunyans. 😂😂😂