Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uganda na zanzibar waliambiwa waongeze uwanja mmoja mmoja, kuna uwanja uganda wanajenga unaitwa "AKIBUA" alafu kuna mpya unajengwa zanzibar unaitwa "FUMBA" apo tayar viwanja vimekamilika maaana kenya walikua na viwili talanta na kasarani ila sasa ndo ivo mkandarasi kanuna akavunja vifaa 🤣

ila hili tuliliona toka mda tukawa tunasema apa chance yao ni ndogo sana, ukizingatia hata fees za caf yenyewe hawajalipa
Hey!
Mkandarasi kavunja vifaa lini tena??
Mbona sijasikia hii?
 

Attachments

  • IMG_8600.jpeg
    IMG_8600.jpeg
    450 KB · Views: 2
4 large cargo vessels built at Karema Port are nearly ready, with 95% completion & all ships afloat for final checks. Supported by Zijin Mining’s Gold Voyage Logistics, these 8,000-tonne ships will boost trade along Lake Tanganyika, linking Tanzania with DRC, Zambia & Burundi. They will efficiently carry minerals & agricultural goods, create local jobs, upgrade connectivity, and drive growth in Rukwa, Katavi & Kigoma.

Meli kubwa 4 za mizigo zilizojengwa katika Bandari ya Karema zinakaribia kukamilika, zikiwa zimefikia asilimia 95 ya ujenzi, na zote ziko majini zikifanyiwa ukaguzi wa mwisho. Zikiungwa mkono na Gold Voyage Logistics ya Zijin Mining, meli hizi zenye uwezo wa kubeba tani 8,000 zitaimarisha biashara katika Ziwa Tanganyika, kwa kuunganisha Tanzania na DRC, Zambia na Burundi. Zitasafirisha kwa ufanisi madini na mazao ya kilimo, kuunda ajira za ndani, kuboresha miundombinu ya mawasiliano, na kuchochea maendeleo katika mikoa ya Rukwa, Katavi na Kigoma.
 
Hey!
Mkandarasi kavunja vifaa lini tena??
Mbona sijasikia hii?
Natamania kenya mpoteze hii nafasi
View attachment 3560590
The levels of desperation in this page is just out of this world. Badala watu waandae pesa waje watizame fainali Talanta Nairobi, bado wapo busy with wishful thinking! 😂😂😂

Mtaumia sana minyamwezi. Nakumbuka hivi ndivyo mlitabiri hatutajenga Talanta. Now that it's here with us and ready to host finals next year, you are now licking your wounds na kujifariji na story za vijiweni
 
Back
Top Bottom