Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo taa hazina tofauti na hii
f77e9be5092a9df93b2fe051f7a421c1.jpg


vintage and beautiful....najua ndani moyoni umependa hiyo taa
 
Sisi tunakuza domestic tourist iyo DSR yenu walalas wamezoea Hanna domestic tourist kabisa...sisi...Mombasa wakati wa holiday utawaona ..wakikuyu wajaluo wasomali.wakamba wamijikenda.wa nandi...kwa beach
na alashabab wanakuja pia beach 😀😀😀
 
huo mji wa Dar hapana.........outside the cbd kariakoo and upanga areas kwengine kote ni ugly sana
Masaki
Osterbay
Mbezi beach
Mikocheni
Izo weka mbali na watoto. ...uko kwenu mngesema ni Miji ndani ya jiji
 
Back
Top Bottom